Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Sasa Mbona humshauri na Freeman Aikael Mbowe aachane na mipango yake ya mikutano ya hadhara kuanzia mwezi ujao?
 
Nisizunguke sana.

Stieglers gorge ina wafanyakazi wasiopungua 3,000 mpaka sasa na kuna mchanganyiko wa wageni wengi toka china na Misri.

Na huwa wanachukua likizo baada ya miezi mitatu wanaenda makwao na kurudi kwa sababu viza zao ni za miezi mitatu mitatu. Nina mashaka wanaweza kuwa wamerudi na virusi.

Tukumbuke wafanyakazi wa huu mradi wapo wanaolala site na wengine wanaingia na kutoka kila siku.

Kwa SGR vivyo hivyo inaje gwa na wageni na muingiliano na mkusanyiko wa raia ni mkubwa pia.
Ihusishe na akili hata kidogo kabla ya kutiririka! Maisha lazima yaendelee! Kuna vifaa vya kujikinga na pia check-up za afya zinafanyika! Na hata wakiuhua watatibiwa! Ujenzi wa taifa lazima uendelee maana tumechelewa sana!
 
Nisizunguke sana.

Stieglers gorge ina wafanyakazi wasiopungua 3,000 mpaka sasa na kuna mchanganyiko wa wageni wengi toka china na Misri.

Na huwa wanachukua likizo baada ya miezi mitatu wanaenda makwao na kurudi kwa sababu viza zao ni za miezi mitatu mitatu. Nina mashaka wanaweza kuwa wamerudi na virusi.

Tukumbuke wafanyakazi wa huu mradi wapo wanaolala site na wengine wanaingia na kutoka kila siku.

Kwa SGR vivyo hivyo inaje gwa na wageni na muingiliano na mkusanyiko wa raia ni mkubwa pia.
Solution ni kuzuia wasiingie wala kutoka site
Kama kuna ulazima wa mtu kuingia awekwe kwanza karantini siku 14
 
Nisizunguke sana.

Stieglers gorge ina wafanyakazi wasiopungua 3,000 mpaka sasa na kuna mchanganyiko wa wageni wengi toka china na Misri.

Na huwa wanachukua likizo baada ya miezi mitatu wanaenda makwao na kurudi kwa sababu viza zao ni za miezi mitatu mitatu. Nina mashaka wanaweza kuwa wamerudi na virusi.

Tukumbuke wafanyakazi wa huu mradi wapo wanaolala site na wengine wanaingia na kutoka kila siku.

Kwa SGR vivyo hivyo inaje gwa na wageni na muingiliano na mkusanyiko wa raia ni mkubwa pia.
Unawaza bila kutafakari, kama manesi na madakitari wetu wakiwa waoga kama wewe, tutajikuta hospitali zote zimefungwa
 
Acha kutisha watu,
mtanzania bwana ni mtu mmoja wa propaganda sana, kipindi kile aliwaponda sana ndugu zetu waliopo China muda wote ni utani utani tu, lakini kama ndugu zetu waliopo China Bado wana survive basi huu ndio muda wakuwauliza wao wana survive vipi huko walipo.
Hatutishani. Tunakumbushana kuchukua tahadhari. Na katika hili, kwa mujibu wa Shirika la afya Duniani(WHO) na Kituo Cha kudhibiti magonjwa(CDC) Cha nchini Marekani. Virus vya Corona vinaweza kudumu kwenye hard surfaces kitaalamu tunaita Fomites karibu masaa 72. Na ikumbukwe modes of transmission of Corona virus can be Human-human or surface(Fomites) -humani. Tusikomalie njia moja tuu tukasahau kuzua routes zingine.
Otherwise, Tuwe watulivu, tuzingatie taratibu za afya. Ukihisi huielewi Hali yako, wahi hospital Mara moja.
 
Wac

Wachina wao kazi zilikua haziendelei? Kwa taarifa yako wachina wengine walikua wanaendelea ujenzi wa hospitali mpya, wengine walikua wakiendelea kuzalisha maski, wengine walikua wanaendelea kuuza mask, wengine walikua wanaendelea kuuza maduka na supermarket, manesi na madokta ndio usiseme walikua busy, na kutibu watu. Ila walikuwa wakivaa mavazi maalum ya kuwafunika sehemu zao za mwili, pua na mdomo ili kuzuia ueneaji.
 
Baada ya Corona kuingizwa Arusha na mrembo na tajiri mwenye shule za binafsi, sasa muda wowote itaingia Dar kupitia wasanii wa Bongo Fleva wanaotoka kupiga Show ulaya.

Ili kuzuia hatua zifuatazo zichukuliwe leo hii:

1. Harusi zote zisitishwe

2. Misiba wahudhurie ndugu tu, wasizidi 20.

3. DART-mwendokasi upigwe marufuku

4. Machinga wote waliozagaa mjini kwa tamko la JIWE waondoshwe na kurudishwa makwao.

5. Mabasi yaendayo nje ya nchi yasitshe safari.

6. JKT WARUDISHWE NYUMBANI.

7. MAHABUSU WOTE NA WALE WALIOPO VITUONI WAPEWE DHAMANA

8. KWARESMA NA NJIA YA MSALABA IPIGWE MARUFUKU

9. BEACH ZOTE ZA UMMA zipigwe marufuku.

10. Betting offices zifungwe

11. Wale makahaba wote wa Sinza, Buguruni walipwe fedha/ruzuku, ili wakae nyumbani.

12. Kupanda daldala iwe LEVEL SEAT, NA KUINGIA KWA FOLENI/MSTARI na kila mtu alipe kwa tigo pesa.

13.Traffic akikukamata hakuna kumpa leseni, wataeneza ugonjwa.

14. Gest houses zote zifungwe na zibaki hoteli tu.

15. CCM LUMUMBA vile vijiwe vya kahawa vifungwe vyote
Siyo lazima serikali iweke sheria kila kitu. Serikali imeweka sheria kwenye vile iliyo na mamlaka navyo. Vitu kama ibada serikali imetoa tu suhauri kuwa mikusanyiko ya watu wengi ipunguzwe. Jukumu ni la waumini wakishirikiana na viongozi wao wa dini kuona ni nini cha kufanya.
 
Tanzania izuie mikusanyiko ya aina yoyote ile kuzuia haya maambukizi yanayoenda kwa kasi zidi. Wafanye kama Ufaransa wanavyofanya.

====
France will deploy 100,000 police to enforce a lockdown ordered by President Emmanuel Macron aimed at curbing the coronavirus outbreak, the country's interior minister said on Monday, and fixed checkpoints will be set up across the country.

"Stay at home," Interior Minister Christophe Castaner said, adding that fines of up to 135 euros would be handed out to those flouting the toughened restrictions.

In a sombre address to the nation, Macron said that from Tuesday midday (1100 GMT) people should stay at home unless it was to buy groceries, travel to work, exercise or for medical care.

France had already shut down restaurants and bars, closed schools and put ski resorts off limits, but Macron said measures unprecedented in peacetime were needed as the number of infected people doubled every three days and deaths spiralled higher.

Anyone flouting the restrictions, in place for at least the next two weeks, would be punished.

"I know what I am asking of you is unprecedented but circumstances demand it," Macron said.

"We're not up against another army or another nation. But the enemy is right there: invisible, elusive, but it is making progress."

Macron said tougher action was needed after too many people ignored earlier warnings and mingled in parks and on street corners over the weekend, risking their own health and the wellbeing of others.

In France the coronavirus has killed 148 people and infected more than 6,600.

Army moblised
Under the new measures, soldiers would help transport the sick to hospitals with spare capacity and a military hospital with 30 intensive-care beds would be set up in the eastern region of Alsace, where one of the largest infection clusters has broken out.

Macron said he was postponing the second round of local elections on Sunday. Because the government's sole focus needed to be fighting the pandemic, he said he was suspending his reform agenda, starting with his overhaul of the pension system.

The government would, when necessary, legislate by decree to fight the coronavirus, he said.

Coronavirus infections and fatalities in France and Spain have been surging at a pace just days behind that of Italy, the epicentre of the outbreak in Europe where hospitals in the worst-hit northern regions are stretched to breaking point.

Seeking to offer further reassurance to businesses, Macron said the government would guarantee 300 billion euros worth of loans. The loan guarantee plan would be submitted to parliament in coming weeks and would be retroactive, a finance ministry source said.

Rent and utility bills owed by small companies would also be suspended to help them weather the economic storm, he added.

"No French company, whatever its size, will be exposed to the risk of collapse," Macron said.

(FRANCE 24 wth REUTERS and AFP)
 
msijisahau, mikusanyiko mingine ipo katika usafiri, mabas nk, inatosha kabisa kuambukizana corona!
 
Wanakuwa mbali mbali wanajeshi, gari la washa washa halihitaji mwanajeshi ama police zaidi ya mmoja.
 
Ilo nalo neno
20200317_185633.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
France will deploy 100,000 police to enforce a lockdown ordered by President Emmanuel Macron aimed at curbing the coronavirus outbreak, the country's interior minister said on Monday, and fixed checkpoints will be set up across the country.

ADVERTISING

"Stay at home," Interior Minister Christophe Castaner said, adding that fines of up to 135 euros would be handed out to those flouting the toughened restrictions.
In a sombre address to the nation, Macron said that from Tuesday midday (1100 GMT) people should stay at home unless it was to buy groceries, travel to work, exercise or for medical care.
France had already shut down restaurants and bars, closed schools and put ski resorts off limits, but Macron said measures unprecedented in peacetime were needed as the number of infected people doubled every three days and deaths spiralled higher.
France to deploy 100,000 police to enforce coronavirus lockdown
 
Kama umemsikia vizuri: huyo dada akiwa anajua ana virusi vya corona alitembelea Uingereza, Uswizi na Ubelgiji huko ulaya. Kote huko ulaya alikopita hawakuweza kumgundua. Kuna uwezekano akiwa huko Ubelgiji alimtembelea kamanda wetu wa huko na kumpa mkono na kumu hug. Mungu apishe mbali kama tetesi hizi ni za kweli.

Alipofika kwao Tanzania kwa usafiri wa Rwanda Air na sisi hatukuweza kumgundua kwa scanner za pima joto kwani hakuwa na homa. Tetesi zinasema alikuwa akutane na kiongozi mmoja ampe salamu na ujumbe maalum kutoka kwa kamanda wa Ubelgiji. Lakini uzalendo ulimuijia na kuamuru kwenda kujisalimisha hospitali ya Mt Meru. Madaktari wetu hawakuamini kama kweli dada huyo ni muathirika wa gonjwa hilo la corona maana alionekana mzima wa afya tele. Dada akawaomba wamufanyie vipimo kama hawaamini. Vipimo vikachukuliwa na kupelekwa DSM. Majibu yakawa positive na hapo ndipo tukazinduka.

Hivi virusi wakati mwingine vinasambazwa kwa makusudi na watu au tasisi au mataifa kwenda kuangamiza wabaya wao wa mbali nk. Wanatumiwa vijana kama dada huyu kama walivyokuwa wanatumika kusambaza madawa ya kulevya. Corona ni silaha ya kibaiologia (biological weapon) ambayo ni ya kimaangamizi ile mbaya. Jiulize ilikuwaje silaha hizi baada China zilienda kuishambulia sana Iran na Italy? Vita hizi za kibiolojia ni ngumu sana kuzipigana.
Kwa matazamo huo ina maanisha dada alikubali kuangamiza jamii yake kwa kushirikiana na hayo mataifa au taasisi unazo zituhumu? Dunia nzima ina uelewa wa kwamba ukijichanganya na mtu aliye athirika upo uwezekano mkubwa na wewe kuathirika. Kwa nini dada asitoe taarifa hizo mapema ili afikishwe moja kwa moja kufanyiwa vipimo? Ulicho kiita uzalendo sio sahihi, ukiangalia video ya maelezo ya mkuu wa mkoa mh Gambo utaona msafara mkubwa uliokwenda kumchukua huyo dada na kumpeleka hospitalini, hii inamaanisha hakujisalimisha hospitalini moja kwa moja kwa ajili ya uchunguzi. Na hoteli ikafungwa muda huo huo. Na kwa taarifa nyingine Gambo amesema walimtafuta dereva taxi alie mpeleka hotelini walipo mpata ikabainika kwamba alipo muacha huyo dada hotelini alichukua abiria wengine na kuwapeleka karatu, huo ndio uzalendo? Ukilifuatilia hili sakata zima utagundua dada alijijua kwamba ni muathirika, ila njia alizotumia hazikuwa sahihi. Jiulize kwa nini hakwenda nyumbani, aliamua kwenda hotelini? Hii nikuilinda familia yake lakini akaziingiza familia nyingine katika mshtuko ama matatizo. Huo sio uzalendo.
 
Naomba uzi huu usiungwe...

Natambua hatua ambazo Serikali Inachukua kuepusha kuenea kwa maambukizi ya Virusi wa Corona

Lakini Kuna ushaghalabaghala wa Usafiri wa daladala Dar naona Serikali haisemi chochote na mle tunasafiri watu kibao wana Mafua na wanapiga chafya za hatari...So inakuwaje?

Hivi ukifunga shule, halaf utaratibu wa hovyo wa usafiri wa Umma Dar ukaachwa uendelee kama ulivyo si Serikali inakuwa inajitaabisha tu?

Naona serikali kama imejigusagusa tu lakini inashindwa kuchukua hatua madhubuti kwa ujumla wake..

Daladala na Mwendokasi wanapaswa kuelekezwa wasipakie abiria wa kusimama, na zaidi wadhibitiwe kuhusu usafi wa magari yao maana mengi ni machafu mno.

Na hata sijasikia waseme chochote kuhusu kufunga Viwanja vya Ndege...

IT SHOULD BE A TOTAL LOCKDOWN ...wanahofia kukosa mapato? We cannot prioritize money over lives, Come on guys!
 
Back
Top Bottom