Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Watanzania wanataka kila kitu waambiwe sijui kujiongoza wenyewe hawawezi.Siyo lazima muambiwe msipande daladala.
Jiongezeni wenyewe.
Za kwenu mchanganye na za wengine.
Watanzania wanataka kila kitu waambiwe sijui kujiongoza wenyewe hawawezi.
Siyo lazima muambiwe msipande daladala.
Jiongezeni wenyewe.
Za kwenu mchanganye na za wengine.
Mtu kama unaona vipi...usipande daladala na mwendokasi.
Tembeeni. Endesheni baskeli, bodaboda, bajaji.
Pandeni maguta.
Kwani kuhusu usafiri wa umma unatakaje? Serikali imnunulie kila mwananchi usafiri wake au?Naomba uzi huu usiungwe...
Natambua hatua ambazo Serikali Inachukua kuepusha kuenea kwa maambukizi ya Virusi wa Corona
Lakini Kuna ushaghalabaghala wa Usafiri wa daladala Dar naona Serikali haisemi chochote na mle tunasafiri watu kibao wana Mafua na wanapiga chafya za hatari...So inakuwaje?
Hivi ukifunga shule, halaf utaratibu wa hovyo wa usafiri wa Umma Dar ukaachwa uendelee kama ulivyo si Serikali inakuwa inajitaabisha tu?
Naona serikali kama imejigusagusa tu lakini inashindwa kuchukua hatua madhubuti kwa ujumla wake..
Na hata sijasikia waseme chochote kuhusu kufunga Viwanja vya Ndege...
IT SHOULD BE A TOTAL LOCKDOWN ...wanahofia kukosa mapato? We cannot prioritize money over lives, Come on guys!
Umeshau vivuko vya Ferry kigamboni!!Baada ya Corona kuingizwa Arusha na mrembo na tajiri mwenye shule za binafsi, sasa muda wowote itaingia Dar kupitia wasanii wa Bongo Fleva wanaotoka kupiga Show ulaya.
Ili kuzuia hatua zifuatazo zichukuliwe leo hii:
1. Harusi zote zisitishwe
2. Misiba wahudhurie ndugu tu, wasizidi 20.
3. DART-mwendokasi upigwe marufuku
4. Machinga wote waliozagaa mjini kwa tamko la JIWE waondoshwe na kurudishwa makwao.
5. Mabasi yaendayo nje ya nchi yasitshe safari.
6. JKT WARUDISHWE NYUMBANI.
7. MAHABUSU WOTE NA WALE WALIOPO VITUONI WAPEWE DHAMANA
8. KWARESMA NA NJIA YA MSALABA IPIGWE MARUFUKU
9. BEACH ZOTE ZA UMMA zipigwe marufuku.
10. Betting offices zifungwe
11. Wale makahaba wote wa Sinza, Buguruni walipwe fedha/ruzuku, ili wakae nyumbani.
12. Kupanda daldala iwe LEVEL SEAT, NA KUINGIA KWA FOLENI/MSTARI na kila mtu alipe kwa tigo pesa.
13.Traffic akikukamata hakuna kumpa leseni, wataeneza ugonjwa.
14. Gest houses zote zifungwe na zibaki hoteli tu.
15. CCM LUMUMBA vile vijiwe vya kahawa vifungwe vyote
From Pugu to Tegeta daily tutakua tunatembea kwa mapumb.u tu aisee.
Kaeni tu home serikali yetu sikivu itawapa pesaFrom Pugu to Tegeta daily tutakua tunatembea kwa mapumb.u tu aisee.
Itakuwa ndio anachomaanisha aisee!Kwani kuhusu usafiri wa umma unatakaje? Serikali imnunulie kila mwananchi usafiri wake au?
Ndio mkuuupo sahihi kabisa, tena vyuoni unakuta mpo watu 400 darasa moja ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu sahihi kabisa. Sio kila kitu uambiwe.Siyo lazima muambiwe msipande daladala.
Jiongezeni wenyewe.
Za kwenu mchanganye na za wengine.
Mtu kama unaona vipi...usipande daladala na mwendokasi.
Tembeeni. Endesheni baskeli, bodaboda, bajaji.
Pandeni maguta.
Mkuu, huu ugonjwa hauna mtu mzima wala mtu mdogo.. Kwani muathirika was Corona unaweza kumjua kwa macho..?Vyuoni wapo watu wazima wanaojua hata matumizi ya kondomu wanajua namna ya kuishi kwa tahadhari.