Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Katibu wa uenezi wa CCM katoa taarifa hiyo kwa wana-CCM ili kukabiliana na Corona.

My take;
Wale wanachama wa chama cha Corona (CHADEMA) endeleeni kushawishi wanachama wenu ili wakapoteze maisha.
 
Inawezekana tangazo la kuwa Corona imeingia nchini liko kisiasa na ndio maana hatuoni wakikataza ndege kuingia nchini,kufunga mashule na vyuo,kuzuia mikusanyiko,n.k.

Labda niulize,hivi nchi nyingine huficha wagonjwa wanaokutwa na huu ugonjwa?

Je,kuna picha zozote zinazoonyesha watu wa afya na maafisa wa usalama wakikagua hoteli aliyofikia mtu anaetajwa kuupata ugonjwa huu?
 
Katibu wa uenezi wa ccm katoa taarifa hiyo kwa wanaccm ili kukabiliana na corona.
My take;
Wale wanachama wa chama cha corona (cdm) endeleeni kushawishi wanachama wenu ili wakapoteze maisha.
Namsikia Polepole akijikanyaga huko You tube.. Kuhusu CHADEMA na mikutano alisema Mbowe ya nchi nzima. Nimwambie huyo Polepole hana akili kuliko Watanzania na hana hata nusu ya akili ya Mbowe.

Tangazo la Mbowe lilitoka kabla ya Mh Ummi kutoa taarifa za Corona. Na kwamba hata ingekuwa kinyume bado Mbowe alisema watafuata taratibu zote za kisheria.
Sasa huyu mwenezi wa Ccm sijuinna yeye ni wa jalalani!!?? /maana haeleweki anacho zungumza. Na asitumie huu ugonjwa kutuletea siasa za maji taka.

Kama kweli ana huruma na Watanzania mbona kaweka mkutano na waandishi wa habari? / ambao amesahau hata kuwawekea maji ya kunawa mikono sembuse musks.. Au hao waandishi anao ongea nao sio Watanzania??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndiyo ukomavu wa kisiasa. Kama unafanya siasa kwa ajili ya maendeleo ya watu, lazima utawiwa kulinda usalama na uhai wa watu wako kuliko siasa. Ila kama unalenga kujinufaisha binafsi, hutojali hatari iliyo mbele ya watu bali kujineemesha.

Jana Mbowe hakuthubutu hata kuzungumza lolote juu ya hatari hii ya corona, walau hata kuwatahadharisha wale waliomchangia atoke jela kamahakupenda kuwajulisha wanachama wake na watanzania kwa ujumla wake.

Mbowe, licha ya kuwa hata corona isingekuwepo hiyo mikutano usingefanya kwa utaratibu huo uliotangaza, sasa sahau kufanya mikusanyiko kwa usalama wa watanzania.
 
Katibu wa uenezi wa ccm katoa taarifa hiyo kwa wanaccm ili kukabiliana na corona.
My take;
Wale wanachama wa chama cha corona (cdm) endeleeni kushawishi wanachama wenu ili wakapoteze maisha.

Cdm wakifanya mikutano tu ndio kutakuwa na Corona, ila ligi kuu kuendelea watu hawawezi kupata hiyo Corona? Huko kwenye nyumba za ibada hakuna mikusanyiko, ila Corona inasubiri tu cdm wakusanyike?
 
buberwa D

Mnatetemeka kusikia CHADEMA watafanya mikutano, mbona nyumba za ibada na ligi haisimamishwi ili tuone kuwa mikusanyiko haitakiwi?
 
Mnavyo wapotezea maisha mnakuwa mmesahau kuwa wana haki ya kuishi?
Katibu wa uenezi wa CCM katoa taarifa hiyo kwa wana-CCM ili kukabiliana na Corona.

My take;
Wale wanachama wa chama cha Corona (CHADEMA) endeleeni kushawishi wanachama wenu ili wakapoteze maisha.

In God we Trust
 
CHAMA CHA MACORONA
Chadema
Tahadharini na mikutano au mkusanyiko ya Watu. Mutapigwa sio kwa siasa bali mutapigwa Kwa kutaka kujiua kutokana na katazo la mkusanyiko. Ni Kama mtu ana corona halafu mnajazana ili muambukizwe kufa.

Serikali itawafungulia kesi ya kutaka kujiua Wataacha kuwa mlikusanyika Kwa ajili ya siasa. Hii nchi ina chinichini Sana kuweni makini

Ni mimi
Mwakilishi chama cha macorona Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wake na wapenzi na wana chama wa cdm hawanunuliki ndiyo maana wanachukiwa sana na mnunuzi ccm
Bado mpo na chadema tu hivi kwanini ccm wanaigopa chadema

In God we Trust
 
Wakati nyinyi mlificha na kuamua kukaa kimya mh Mbowe ni akili kubwa siyo kama hao wana futuhi wenu BUBERWA D.,

In God we Trust
 
Back
Top Bottom