Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Dr Akili,
But Dr.hoja yako ni nzuri but middle class wewe mbona unajifanya huyaoni yanayotokea katika maisha yetu ya kila siku?,why umetoa mfano wa CDM na sio ziara za our no 1,au SG wa chama dola,au michezo mbalimbali inayoendelea kufanyika?

hili suala its not a joke au usiliweke kisiasa,na kwanza tumechelewa ilitakiwa tufunge vyuo na mashule yote,funga mipaka yote ,bakisha ile muhimu kwa uchumi wa nchi na idhibitiwe,visa zote futa hasa kutoka zile nchi zenye maambukizi makubwa kama china, iran,Italy, uk, usa.

misiba,harusi zithibitiwe ili kupunguza msongamano wa watu,public transport ziwe na sanitisers,na mwisho wananchi waelimishwe kuwa nawa nawa nawa nawa nawa nawa MIKONO YAKO ,JIKAUSHE KWA TISSUE AND KUWA MWANGALIFU NA KUPELEKA MIKONO YAKO USONI AU KUSALIMIANA KWA MIKONO.pamoja tunaweza kuushinda ugonjwa huu,leave politics for now please kwenye hii issue.
 
Vita dhidi ya corona haina chama wala dini wala ukabila. Kuna uwezekano hata ibada za siku kuu za Pasaka mwaka huu hazitakuwepo.

Huko Italy na Vatican, wananchi wote wako under house quaranteen (hawatoki nje ya nyumba zao) isipokuwa watoa huduma wa hospitalini tu na polisi. Sisi tunataka kufanya maandamano na mikutano ya hadhara isiyo na kikomo kila siku kama ile ya UKUTA ya 2017! Hata jumuiya za kimataifa zitatushangaa!
Vp tuliporuhusu ndege iliyoleta wachina, hizo jumuiya hazikutushangaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi subirini mpukutike kwa corona huku mkisubiri kwenda kutundikwa kwa pilato pale The Hague

In God we Trust
Bahati nzuri corona haina upendeleo inatafuna wote hata wanaotegemea heague
 
Kwa janga hili Mbowe asubiri kwanza lipite ndo tutakuja kwenye mikutano yao,Kwa sasa hivi Wawe wanarecod kwa sana clip za kampeni wanatupia hizi Hazina cha intelligence ya polisi zisiwe za uchochezi tu.Pia ccm imeshawafanyia kampeni tosha Kwa kutusomesha namba mwaka wa tano sasa ccm haina jipya nje ya ndege, sgr,stiglers
Hata hivi ulivyovitaja hakuna chenye tija kwa mwananchi mpaka sasa, labda ndege ndiyo kilichokamilika lakini ni hasara tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashauri taarisi zinazohusika na usafiri wa umma tulianza na TABOA safari za mikoani/ UDART kwa safari za ndani DSM/DALADALA/ na TAMESA kama wasimamizi wa vivuko vya majini kujitahidi kucomply na at least kanuni za afya zinazoweza kupunguza au kuzuia maambukizi ya Corona.

Kwa sehemu kama kivuko cha Kigamboni tafadhari kwa wakati huu TAMESA mwekeni utaratibu mzuri wa kusaidia kuepuka maambukizi ya Corona katika vivuko vyenu vyoote!

Kwa ujazaji wa abiria hasa kwa mida ya asubuhi na jioni ni dhahiri hakutakuwa na pakuponea.

Lkn mbaya zaidi ni kwanini hawataki kuina juhudu zinazofanywa na hata rahisi kuhusu kuhamasisha juu ya kuepukana na huu ugonjwa, nilitegemea tangu juzi nione mechanisim yyt ya kusafisha mikono kama inavyoshauriwa kitaalam hapo kivukoni lkn ninyume kabisa na tarajio langu na ushawishi wa viongozi wakuu.

Niwaombe pia wafafirishaji wengine wa abiria kuweka utaratibu wa kuandaa mazingira ya abiria kujisafi mikono kabila na baada ya kupanda kwenye vyombo vya moto.
IMG-20200317-WA0054.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya Corona kuingizwa Arusha na mrembo na tajiri mwenye shule za binafsi, sasa muda wowote itaingia Dar kupitia wasanii wa Bongo Fleva wanaotoka kupiga Show ulaya.

Ili kuzuia hatua zifuatazo zichukuliwe leo hii:

1. Harusi zote zisitishwe

2. Misiba wahudhurie ndugu tu, wasizidi 20.

3. DART-mwendokasi upigwe marufuku

4. Machinga wote waliozagaa mjini kwa tamko la JIWE waondoshwe na kurudishwa makwao.

5. Mabasi yaendayo nje ya nchi yasitshe safari.

6. JKT WARUDISHWE NYUMBANI.

7. MAHABUSU/wafungwa WOTE NA WALE WALIOPO VITUONI WAPEWE DHAMANA[Iran imeachia wafungwa karibu wote kila mtu akapambane na hali yake]

8. KWARESMA NA NJIA YA MSALABA IPIGWE MARUFUKU

9. BEACH ZOTE ZA UMMA zipigwe marufuku.

10. Betting offices zifungwe

11. Wale makahaba wote wa Sinza, Buguruni walipwe fedha/ruzuku, ili wakae nyumbani.

12. Kupanda daldala iwe LEVEL SEAT, NA KUINGIA KWA FOLENI/MSTARI na kila mtu alipe kwa tigo pesa.

13.Traffic akikukamata hakuna kumpa leseni, wataeneza ugonjwa.

14. Gest houses zote zifungwe na zibaki hoteli tu.

15. CCM LUMUMBA vile vijiwe vya kahawa vifungwe vyote


HATUA ZA KUCHUKUA
1. mawaziri wote watoke ofisini wakapime watu mipakani na viwanja vya ndege

2. Magufuli aaachie zile 1.5 T zinunulie vipimaji uginjwa na sanitisers

3. Serikali imuwajibishe Ummy mwalimu kwa kushindwa kuchukua hatua mapema ilhali alijua huku nguvu kubwa akielekeza kwenye kufungua warsha na semiana na kushinda saluni kujipodoa.

4. Wabunge wote ewaliopinga hoja ya msigwa ya mwezi wa pili mwaka huu kuhusu kujadili Corona wafunguliwe mashitaka ya CCM yyani uhujumu uchumi, maana wangekubali hili jambo lisingekuwa hivi
 
Back
Top Bottom