Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Daladala panda banana humohumo, vaa face mask, vaa gloves ikibidi, hakikisha baada ya kushuka nawa mikono vizuri kwa sabuni endelea na kazi zako...Fanya hivyo hivyo muda wa kurudi nyumbani.
NB: Tabia za kujichokoa puani zikome.
 
How.. Wewe ni mtumishi wa umma bado serikali inakuitaji uende kazini utakutana na watu ambao in one or another wanaweza kuwa wameambukizwa coz u never know route za kila MTU.. Hapo unaavoid vipi.. Hiyo individual effort inakuokoa vipi in that situation..

Mkiambiwa kila kitu kinasimama mnafikiri utani.. Akili ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app

Msiende kazini.
 
Kwa ninavyowafahamu watanganyika, hata serikali ikisema daladala zijaze "level seat", bado miwatu italalama tu!

Utashangaa kuona hao hao waliokuwa wanalilia level seat ndio wanakuwa namba moja kudandia magari hata kama yamejaa!

Tena huwa wanang'ang'ania kupanda hata gari liwe limejaa vipi! Atajichomeka humo mpaka aingie!

Ninyi subirini tu mfe kwa hiyo corona (kama kweli corona itawaua).

Hamuambiliki wala hamuelekezeki!

Bingo!
 
Basi kaeni nyumbani mlale, hakuna kutoka nje au mnataka tuambiwe tutembee kwa miguu kuanzia saivi


Haaaaaaaa nchi hiii ina watu walalamishi kama nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa letu liliasisiwa na wazee walioamini katika Mungu mmoja, Mweza wa yote, japo kuwa hawakutaka liongozwe kidini. Kusema tuahirishe ibada n kukiuka misingi yetu.
Tuchukue tahadhari, tuepuke tabia hatarishi, tumwombe Mungu. Hata yatapita.
 
Siyo lazima muambiwe msipande daladala.

Jiongezeni wenyewe.

Za kwenu mchanganye na za wengine.

Mtu kama unaona vipi...usipande daladala na mwendokasi.

Tembeeni. Endesheni baskeli, bodaboda, bajaji.

Pandeni maguta.
Ohoooo !!!
 
Tatizo hujanielewa Mimi hilo sina mashaka nalo mashaka yangu yanakuja pale mtu mwenye corona
Anapojichanganya katika mikusanyiko ya watu,

Ndo maana tukasema mikusanyiko ya watu tusipige marufuku masokoni, mitaani,kwenye daladala, mwendokasi hata katika nyumba za ibada ni sehemu yenye mikusanyiko ya watu
Hilo Taifa bila Mungu si kitu usijidanganye kufunga Makanisa na Misikiti yaani shetani anaaaacheeeka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaoumia ni sisi raia wa mwendokasi 😭. Imagine hizo bomba za kushikia ziwe na corona.

IMG_20200318_001330.jpg



IMG_20200318_001337.jpg
 
Kwa ugonjwa huu wa Corona mikusanyiko ya na misongamano ni kichocheo kikubwa cha maambukizi, ukiangalia hali ya hewa ya baadhi ya Maeneo ya nchi hasa ukanda wa pwani, mahsusi Dar as salaam.

Vituo vya mabasi vya Kimara mwisho, Ubungo, Ferry, Kariakoo Mbagala, utaona hilo ni bomu linalo Subiri kulipuka, nilipita Kariakoo misongamano ni mkubwa sana, inazidi hata baadhi ya mikusanyiko inayokuwepo wakati wa kuangalia ligi kuu ya mpira.

Kwanini serikali inashindwa kupiga Marufuku machinga kariakoo na wauza bidhaa barabarani kwa sababu wanasababisha misongamano isiyo ya lazima, wamepanga bidhaa zao chini na kusabisha Barabara kuwa nyembamba.

Hivi hatuoni mitaa ya nchi ya wenzetu kwa sasa walivyochukua hatua thabiti, mabasi na madaladala yanajaza kupita kipimo, tumeambiwa ugonjwa huu unaambukiza kwa chafya, kugusana na kupitia jasho

Machinga wanaouza vitu kwenye magari kwenye mataa wanasika kila kitu unaponunua kitu kwa machinga hatujui bidhaa hizo watu Wangapi wanakuwa wameshika! kwa kuangalia au kurudisha wakiwa na nia ya kununua, Machinga wanakuwa wametokwa na majasho kwa kushinda juani na hali ya hewa ilivyo Mungu saidia

Tunalipa pesa kama nauli na tunapokea chenji, tunapeleka nyumbani bidhaa na chenji fikiria kama kuna maambukizi, kesho yake pia tunakwenda kazini, yaani mzunguko ni mkubwa sana

Nafikiri ni busara tuchukue hatua sasa, Ulaya na Marekani ni Marufuku mikusanyiko ya watu zaidi ya 10 kukaa pamoja.

sisi tuna nini hadi tupuuze hayo, piga picha kama Machinga wataondolewa barabarani Kariakoo kutaonekana vipi naomba wahusika wachukue hatua haraka, kuna huduma za lazima kama wauza chakula nk wanaweza kubaki lakini siyo machinga wauza viatu nguo nk. Itabidi waondoke kutusitiri

Machinga wakiondolewa hata usafiri wa wala daladala na mabasi ya mwendo kasi utakuwa na ahueni


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi wanafunzi wanaosoma mbali na makazi yao, serikali inawalipia nauli kuwarudisha makwao au inampango gani kuwasaidia hawa wanafunzi? kwa level yoyote wapo primary wanasoma mbali na makazi yao, wapo wa secondary na wapo wa vyuo vikuu.
 
Back
Top Bottom