Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitimoto maelekezo yapoje? Tuendelee kula au mpaka sanitizer?
How.. Wewe ni mtumishi wa umma bado serikali inakuitaji uende kazini utakutana na watu ambao in one or another wanaweza kuwa wameambukizwa coz u never know route za kila MTU.. Hapo unaavoid vipi.. Hiyo individual effort inakuokoa vipi in that situation..
Mkiambiwa kila kitu kinasimama mnafikiri utani.. Akili ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ninavyowafahamu watanganyika, hata serikali ikisema daladala zijaze "level seat", bado miwatu italalama tu!
Utashangaa kuona hao hao waliokuwa wanalilia level seat ndio wanakuwa namba moja kudandia magari hata kama yamejaa!
Tena huwa wanang'ang'ania kupanda hata gari liwe limejaa vipi! Atajichomeka humo mpaka aingie!
Ninyi subirini tu mfe kwa hiyo corona (kama kweli corona itawaua).
Hamuambiliki wala hamuelekezeki!
Ohoooo !!!Siyo lazima muambiwe msipande daladala.
Jiongezeni wenyewe.
Za kwenu mchanganye na za wengine.
Mtu kama unaona vipi...usipande daladala na mwendokasi.
Tembeeni. Endesheni baskeli, bodaboda, bajaji.
Pandeni maguta.
Hilo Taifa bila Mungu si kitu usijidanganye kufunga Makanisa na Misikiti yaani shetani anaaaacheeeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli? Hebu weka picha tuone..
Labda wabembelezwe !mwaka wa uchaguzi machinga hawasumbuliwagi sijui mwaka huu.
Kwa level hii niliyopo andaa BMW tyuuh na ATM isomee miamala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli? Hebu weka picha tuone..
Mkifungua shule,uje uchukue madaftari na kalamu