Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Ninajua waziri wa Tamisemi mh Jaffo na RC Makonda mnapita sana humu Jf.

Naomba mnipatie jibu la sawali langu kuhusu msongamano wa abiria ndani ya mabasi ya mwendokasi wakati huu wa Corona, Mnafeli wapi?

Ni hilo tu.

Maendeleo hayana vyama!
kwanini iwe Jaffo na Makonda?

Wanaowajibika na hayo mabasi ni akina nani?
 
Shule na vyuo kufungwa kisa korona. Bora madarasa yao na mabwen yangekuwa karantin yao kuliko walivyosambaa nchi nzima halaf watarud wakat korona ndio bado wanaongezeka. Think big wajamen. Nashauri wakirud wawekwe karantin siku 14

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wanavyopuyanga huko mtaani sasa

Siyo Kila Kiuzwacho Sokoni Chafaa Kununuliwa
 
Jionee Mwenyewe

========
Usalama wa wauzaji na wanunuzi wa samaki katika soko la "Ferry" Dar es Salaam uko mashakani kutokana na msongamano wao katika eneo moja hasa katika kipindi hiki ambacho serikali imezuia mikusanyiko kwa sababu ya corona.

Katika kipindi hiki cha mlipuko wa ugonjwa hatari wa corona bado hakuna utaratibu wa kupunguza mrundikano wa watu katika soko hilo, hali ambayo inatia mashaka iwapo atatokea mmojapo katika kundi kubwa lilipo hapo sokoni akawa na virusi vya corona basi uwezekano wa kuambukiza watu wengine ni mkubwa kwa kuwa hakuna tahadhari yoyote inayochukuliwa.

 
🚶‍♂️🚶‍♂️Ngoja nipite ivi nisijenikaambiwa siomzalemdo,
 
Back
Top Bottom