BUBERWA D.
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 2,293
- 1,170
Usiende kwenye gulio kaa kwako.tetesi ni kuwa tabata kimanga kuna proven cases.
ajabu leo kimanga kuna gulio na watu wanapishana kama mtaa wa congo.
je serekali inajali watu wake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiende kwenye gulio kaa kwako.tetesi ni kuwa tabata kimanga kuna proven cases.
ajabu leo kimanga kuna gulio na watu wanapishana kama mtaa wa congo.
je serekali inajali watu wake?
Mbona Bashite anawakusanya watu bila kukemewa?Leo Waziri wa Afya ametangaza virusi hatari vya Corona kuwepo nchini mwetu. Mgonjwa mmoja amethibitishwa kwa vipimo vinavyofanywa kwenye maabara moja tu hapa nchini kwetu.
Maana yake kuna uwezekano wa kuwepo wengine wenye virusi hivyo ambao hawajabahatika kufanyiwa vipimo hivyo au ni carriers.
Cha ajabu, baada ya tangazo hilo, kiongozi wa chama kimoja kikubwa cha siasa katangaza kufanyika mikutano ha hadhara nchi nzima kila siku bila kikomo kuanzia wiki ijayo hadi Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020.
Tusifanye mzaha na virusi hivi vya Corona. Na vikiendelea kuwepo hata Uchaguzi mkuu wa mwaka huu lazima tutauahirisha.
----
Serikali ipige marufuku machinga mjini
-----
Misongamano kwenye usafiri wa umma idhibitiwe
----
Maeneo ya kufunga na mambo ya kuzuia ili kuepusha coronavirus Dar es Salaam
Bashite ana haki zote za kuitisha mikusanyiko Dar bila kipingamizi chochote!Polepole ana haki zote za kuzunguka Tanzania Bara na Unguja kukiimarisha chama
Mbona nyie CCM huwa mnaingiwa na kiwewe na mikutano ya Chadema? Si siku zote mnasema Chadema haipo tena?Vita dhidi ya corona haina chama wala dini wala ukabila. Kuna uwezekano hata ibada za siku kuu za Pasaka mwaka huu hazitakuwepo.
Huko Italy na Vatican, wananchi wote wako under house quaranteen (hawatoki nje ya nyumba zao) isipokuwa watoa huduma wa hospitalini tu na polisi. Sisi tunataka kufanya maandamano na mikutano ya hadhara isiyo na kikomo kila siku kama ile ya UKUTA ya 2017! Hata jumuiya za kimataifa zitatushangaa!
Watanzania bado hawajachukulia serious huu ugonjwa nakushauri tu jiwekee Isolation mwenyewe usisubiri mtu akutangazie, kama unajijali fanya maamuzi mwenyewe,Serikali ichukue hatua za haraka kuzuia jumuia za wakristo majumbani ili kudhibiti usambaaji wa Corona. Familia zetu nyingi si wakweli zinaweza kuwa na mgonjwa ndani na zitamficha eti kuogopa lawama ya kumtenga ndugu, wiki iliyopita familia huko Kenya ilifiwa na ndugu yao huko marekani cha ajabu wanafamilia walikuwa wakitaka maiti iletwe ili wamzike ndugu yao! Hapa zipo familia zinazoficha wagonjwa majumbani na inawezekana hata baadhi ya nyumba wanakokutana wanajumuia wamo bila kujulikana kwa wanakikundi wengine wa jumuia husika, kwa Corona kitendo hicho kinaweza kusababisha kusambaa Corona mitaani.