Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

wazunguwawili

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2019
Posts
3,984
Reaction score
4,132
Salamu kwenu.

Kupitia Wasafai FM 89.9 Mh. Makonda ameongoza ukemeaji kwa njia ya maombi dhidi ya corona.

Ameendelea kutoa tafakari/mahubiri ya mistari kadhaa kutoka ktk biblia. Mf. Isaya 18:1.

Hakika Dar tunakiongozi mwenye kipaji kama ambavyo daima amethubutu katika maamuzi mbali mbali.

Hapa ni sehemu tu ya maombi.

20200510_092444.jpeg

Sent using iphone pro max
 
Video inanigomea. Unaweza tune Wasafi TV upate upako zaidi kupitia kwa RC.

1589092748800.jpeg

Sent using iphone pro max
 
Wanabodi,
Wale wenye access ya Wasafi TV, angalia live ya asubuhi hii.

Wanabodi, kuna vitu niliwahi kuvisema humu kumhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda, kuwa huyu ni mpakwa mafuta wa Mungu, naomba tumshuhudie akihubiri live asubuhi hii kupitia Wasafi TV.

Kiukweli nimekuwa very impressed na huyu jamaa.

Makonda anatoa sifa 10 za Mungu, leo amezisema sifa 7, kutokana na muda, leo amezitaja sifa 7, na sifa 3 atazimalizia next time.
Jumapili asubuhi huwa namsikiliza Dr. Ellie kule Chomoza ya Clouds, hivyo baada ya Dr. Ellie ndio nimekuja Wasafi nimemkuta Pasta Makonda akiitaja sifa ya 7 ya Mungu ni yupo popote.

Kumbe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ni Bonge la Mhubiri!, Akifungua Kanisa Lake Litafunika Bovu!. Atisha!, Mshuhudie Live Wasafi TV!.

Paskali
 
Matendo ndio cha Mhimu sio unayoyasema...Wasemaji wazuri ni wengi ila Matendo yao yakoje!??
 
Hata Gwajima na Mzee wa upako nao ni wahubiri, haishangazi sana.
 
Huyu ni zaidi ya Marehemu Kanumba hata kule kwenye nguvu nyingine ni mtaalamu sana.
 
Wanabodi,
Wale wenye access ya Wasafi TV, angalia live ya asubuhi hii.

Wanabodi, kuna vitu niliwahi kuvisema humu kumhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda, kuwa huyu ni mpakwa mafuta wa Mungu, naomba tumshuhudie akihubiri live asubuhi hii kupitia Wasafi TV.

Kiukweli nimekuwa very impressed na huyu jamaa.

Kumbe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ni Bonge la Mhubiri!, Akifungua Kanisa Lake Litafunika Bovu!. Atisha!, Mshuhudie Live Wasafi TV!.

Paskali
Pascal anaamini Kila kitu.Wala sishangai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aulizwe kama akiamua kupiga maombi ili Marekani wapitiwe wapangue ile ban kama itawezekana
 
Back
Top Bottom