Mgwila junior
Senior Member
- Jul 31, 2016
- 104
- 74
Camouflage kuhadaa wajinga.Jamaa yupo vizuri, ukiondoa maswala yale mengine hapa kwenye Neno namuelewa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Amri 10 za Mungu ni siasa piaLeo hakuna siasa ni neno tu
Chuki za kiitikadi kivipi?? Unajua itokadi yangu?? Unadhani kila anaepingana na ushetani wa Bashite yuko mlengo unaofikiria wewe?? Acha ku assume sio kila asiyekubaliana na Bashite basi ni opposition mm ninachopinga ni kumuita Bashite ni mpakwa mafuta wa BwanaAcha chuki mkuu ! tofaut zako za kiitikadi usizilete kwenye dini,shame!.Mnajua ku attack personalities tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha chuki mkuu ! tofaut zako za kiitikadi usizilete kwenye dini,shame!.Mnajua ku attack personalities tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amechagua fungu jema.Salamu kwenu.
Kupitia Wasafai FM 89.9 Mh. Makonda ameongoza ukemeaji kwa njia ya maombi dhidi ya corona.
Ameendelea kutoa tafakari/mahubiri ya mistari kadhaa kutoka ktk biblia. Mf. Isaya 18:1.
Hakika Dar tunakiongozi mwenye kipaji kama ambavyo daima amethubutu katika maamuzi mbali mbali.
Hapa ni sehemu tu ya maombi.
Sent using iphone pro max
Wanabodi,
Wale wenye access ya Wasafi TV, angalia live ya asubuhi hii.
Wanabodi, kuna vitu niliwahi kuvisema humu kumhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda, kuwa huyu ni mpakwa mafuta wa Mungu, naomba tumshuhudie akihubiri live asubuhi hii kupitia Wasafi TV.
Kiukweli nimekuwa very impressed na huyu jamaa.
Makonda anatoa sifa 10 za Mungu, leo amezisema sifa 7, kutokana na muda, leo amezitaja sifa 7, na sifa 3 atazimalizia next time.
Jumapili asubuhi huwa namsikiliza Dr. Ellie kule Chomoza ya Clouds, hivyo baada ya Dr. Ellie ndio nimekuja Wasafi nimemkuta Pasta Makonda akiitaja sifa ya 7 ya Mungu ni yupo popote.
Kumbe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ni Bonge la Mhubiri!, Akifungua Kanisa Lake Litafunika Bovu!. Atisha!, Mshuhudie Live Wasafi TV!.
Paskali
Acheni upumbavu Bible inasema mashetani wanalijua neno na kutetemeka sembuse huyo mjinga anaetumia maandiko kuficha ushetani wakeJamaa hata kama mnamsema kwa changamoto zake,neno la Mungu analielewa.
Lakini pia anajiamini sana, hata lugha ya malkia inapanda pia.
Mungu mbariki Makonda.
Sent using iphone pro max
Tuko pamojaBaada ya Pasta Makonda kutaja sifa 7 za Mungu, sasa Pasta Makonda anafundisha kuhusu aina za maombi.
P
Jamaa Upo word to word big up SanaMhubiri anasema Bible ni tamu sana ngoja tuone Mungu anatuambia nini baada ya haya Majukumu ya Mkoa.
Masanja kacheka kasema tutafute kiwanja.
Mtumishi Paulo anamaanisha nini hapa?
Anatakiwa afanye toba;Baada ya Pasta Makonda kutaja sifa 7 za Mungu, sasa Pasta Makonda anafundisha kuhusu aina za maombi.
P
Amen, asante tunafuatiliaMakonda yuko live wasafi TV, anahubiri
Mungu ambariki sana
Yuko vizuri..Makonda habwabwaji, chochote anatoa rejea ya biblia.
Sent using iphone pro max