Wanabodi,
Wale wenye access ya Wasafi TV, angalia live ya asubuhi hii.
Wanabodi, kuna vitu niliwahi kuvisema humu kumhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda, kuwa huyu ni mpakwa mafuta wa Mungu, naomba tumshuhudie akihubiri live asubuhi hii kupitia Wasafi TV.
Kiukweli nimekuwa very impressed na huyu jamaa.
Makonda anatoa sifa 10 za Mungu, leo amezisema sifa 7, kutokana na muda, leo amezitaja sifa 7, na sifa 3 atazimalizia next time.
Jumapili asubuhi huwa namsikiliza Dr. Ellie kule Chomoza ya Clouds, hivyo baada ya Dr. Ellie ndio nimekuja Wasafi nimemkuta Pasta Makonda akiitaja sifa ya 7 ya Mungu ni yupo popote.
Kumbe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ni Bonge la Mhubiri!, Akifungua Kanisa Lake Litafunika Bovu!. Atisha!, Mshuhudie Live Wasafi TV!.
Paskali