Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

Vita dhidi ya corona: RC Makonda aiombea Dar na Tanzania

Makonda Ni mpakwa mafuta mteule watu hawajui tuh,jamaa anakipawa kikubwa ndani yake

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Salamu kwenu.

Kupitia Wasafai FM 89.9 Mh. Makonda ameongoza ukemeaji kwa njia ya maombi dhidi ya corona.

Ameendelea kutoa tafakari/mahubiri ya mistari kadhaa kutoka ktk biblia. Mf. Isaya 18:1.

Hakika Dar tunakiongozi mwenye kipaji kama ambavyo daima amethubutu katika maamuzi mbali mbali.

Hapa ni sehemu tu ya maombi.

Sent using iphone pro max
Atakuwa anakemea malaika wa Mungu ambao ndio wanatulinda.
 
kabla kuiombea Tz anapaswa kutubu. Mambo yamchukizayo Mungu aliyoyafanya sirini na hadharani yote Mungu anayajua
Toba ameizungumzia vizuri sana. Hata namna nzuri ya kufanya toba ili maombi yako yapokelewe. Bila shaka toba anaifanya.

Tuondoe kinyongo juu yake.

Sent using iphone pro max
 
Hayo ya mahubiri hayanihusu kabisa na wala sitaki kuyasikia...but kwa upande mwingine huyu jamaa namkubali sana japo sina chama....kwanza kabisa huyu jamaa anawasaidia sana wasio na uwezo kimaisha, wagonjwa, mayatima, walemavu na hata kifikra ama kimawazo...yule Ahmed albait alikuwa na hali mbaya sana kama unaroho ndogo utatoa machozi jinsi alivyoteseka alimsimamia mwanzo mwisho mpaka akapona, alimpeleka india kwa gharama zake sio chini ya milioni 100 na ushee, na si huyo tu wengi tu amewasaidia....Mungu amuongoze na amlinde dhidi ya maadui...hasidi ama mwenye chuki siku zote hapendi kuona fulani anajitolea kusaidia ama kufanikisha...narudia kwa mara nyingine, sina chama....
 
Wanabodi,
Wale wenye access ya Wasafi TV, angalia live ya asubuhi hii.

Wanabodi, kuna vitu niliwahi kuvisema humu kumhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda, kuwa huyu ni mpakwa mafuta wa Mungu, naomba tumshuhudie akihubiri live asubuhi hii kupitia Wasafi TV.

Kiukweli nimekuwa very impressed na huyu jamaa.

Makonda anatoa sifa 10 za Mungu, leo amezisema sifa 7, kutokana na muda, leo amezitaja sifa 7, na sifa 3 atazimalizia next time.
Jumapili asubuhi huwa namsikiliza Dr. Ellie kule Chomoza ya Clouds, hivyo baada ya Dr. Ellie ndio nimekuja Wasafi nimemkuta Pasta Makonda akiitaja sifa ya 7 ya Mungu ni yupo popote.

Kumbe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ni Bonge la Mhubiri!, Akifungua Kanisa Lake Litafunika Bovu!. Atisha!, Mshuhudie Live Wasafi TV!.

Paskali
Kila ninavyosoma michango yako huwa naishia kusikitika tu yani nachefuka. Dah haya kila mtu na opinion but you are not the Pascal we knew uess kuna kitu unatafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salamu kwenu.

Kupitia Wasafai FM 89.9 Mh. Makonda ameongoza ukemeaji kwa njia ya maombi dhidi ya corona.

Ameendelea kutoa tafakari/mahubiri ya mistari kadhaa kutoka ktk biblia. Mf. Isaya 18:1.

Hakika Dar tunakiongozi mwenye kipaji kama ambavyo daima amethubutu katika maamuzi mbali mbali.

Hapa ni sehemu tu ya maombi.

Sent using iphone pro max
....... Numberd
 
😅😅duh wanaosali Hilo kanisa Ni marehemu wanaotembea tu.
 
Back
Top Bottom