Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mhubiri Paulo yupo pampja na mchungaji masanja. Wakihubiri neno la Bwana na wanaichambua Bible
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pascal nilikuwa nakuona mtu wa maana kumbe nawewe ni hovyo kiasi hiki?? Bashite ni mpakwa mafuta wa Bwana?? Mbona mnapenda kumdhihaki Mungu kiasi hiki??Wanabodi,
Wale wenye access ya Wasafi TV, angalia live ya asubuhi hii.
Wanabodi, kuna vitu niliwahi kuvisema humu kumhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda, kuwa huyu ni mpakwa mafuta wa Mungu, naomba tumshuhudie akihubiri live asubuhi hii kupitia Wasafi TV.
Kiukweli nimekuwa very impressed na huyu jamaa.
Makonda anatoa sifa 10 za Mungu, leo amezisema sifa 7, kutokana na muda, leo amezitaja sifa 7, na sifa 3 atazimalizia next time.
Jumapili asubuhi huwa namsikiliza Dr. Ellie kule Chomoza ya Clouds, hivyo baada ya Dr. Ellie ndio nimekuja Wasafi nimemkuta Pasta Makonda akiitaja sifa ya 7 ya Mungu ni yupo popote.
Kumbe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ni Bonge la Mhubiri!, Akifungua Kanisa Lake Litafunika Bovu!. Atisha!, Mshuhudie Live Wasafi TV!.
Paskali
Matayo 6:33ANamwambia masanja amuangalizie kile kitabu kinachosema utafuteni kwanza ufalme wa Mungu .! Nadhani mtumishi mistari itakuwa kaisahau.
Dah, we jamaaANamwambia masanja amuangalizie kile kitabu kinachosema utafuteni kwanza ufalme wa Mungu .! Nadhani mtumishi mistari itakuwa kaisahau.
Wanahubiri amani huku wameficha majanga by Professor Jay 😁😁😁😁😁 they preach what they dont practices ila jambo moja Kuwa Mungu hadhihakiwiSalamu kwenu.
Kupitia Wasafai FM 89.9 Mh. Makonda ameongoza ukemeaji kwa njia ya maombi dhidi ya corona.
Ameendelea kutoa tafakari/mahubiri ya mistari kadhaa kutoka ktk biblia. Mf. Isaya 18:1.
Hakika Dar tunakiongozi mwenye kipaji kama ambavyo daima amethubutu katika maamuzi mbali mbali.
Hapa ni sehemu tu ya maombi.
Sent using iphone pro max
Mkuu fungua 88.9 au wasafi tv dstv 286. Yupo live mtumishiDah, we jamaa
Mkuu fungua 88.9 au wasafi tv dstv 286. Yupo live mtumishi
SanaaaJamaa yupo vizuri, ukiondoa maswala yale mengine hapa kwenye Neno namuelewa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu kwa kurekebisha
Acha chuki mkuu ! tofaut zako za kiitikadi usizilete kwenye dini,shame!.Mnajua ku attack personalities tu.Pascal nilikuwa nakuona mtu wa maana kumbe nawewe ni hovyo kiasi hiki?? Bashite ni mpakwa mafuta wa Bwana?? Mbona mnapenda kumdhihaki Mungu kiasi hiki?? Acha kumtaja Mungu kupitia huyo jamaa Pascal,binafsi nimetune channel nyingine baada ya kumuona huyo punguani kwenye kipindi, WASAFI Tv wapuuzi sana hiki ni kipindi cha dini wanamualika mwanasiasa mjinga Kama Bashite nonsense
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize vipi wabunge washaondoka dar?Mhubiri Paulo yupo pampja na mchungaji masanja. Wakihubiri neno la Bwana na wanaichambua Bible
Leo hakuna siasa ni neno tuMuulize vipi wabunge washaondoka dar?