wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Daa natamani miaka 5 iliyobaki iishe haraka ili nione km huyu jamaa ataendeleza upuuzi wake
Pascal anaamini Kila kitu.Wala sishangaiWanabodi,
Wale wenye access ya Wasafi TV, angalia live ya asubuhi hii.
Wanabodi, kuna vitu niliwahi kuvisema humu kumhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda, kuwa huyu ni mpakwa mafuta wa Mungu, naomba tumshuhudie akihubiri live asubuhi hii kupitia Wasafi TV.
Kiukweli nimekuwa very impressed na huyu jamaa.
Kumbe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ni Bonge la Mhubiri!, Akifungua Kanisa Lake Litafunika Bovu!. Atisha!, Mshuhudie Live Wasafi TV!.
Paskali