#COVID19 Vita dhidi ya COVID-19 Angola imetuumbua, Balozi awajibike?

Ndugu zangu tunazidi kuumbuka kuhusu janga la Corona.

Hadi niandikapo uzi huu, msimamo wa Serikali ya Rais Magufuli (si ya wananchi wa Tanzania) ni kwamba hakuna Covid-19 isipokuwa "changamoto ya upumuaji" hivyo basi ni dhambi ya mauti kutamka kuwa kuna "korona" Tanzania hata kama tunapukutika kama nzige wa jangwani waliopuliziwa dawa.

Vijana wetu wa Namungo FC waliondoka hapa nchini (kusiko na korono) kwenda kucheza nchini Angola (Champions Legue). Wamepimwa na kukutwa na ugonjwa huo ambapo ni wachezaji watatu na kiongozi mmoja wamekutwa na Corona. Mchezo wao umefutwa maana timu pinzani hawako tayari kurisk maisha yao. Wamehifadhiwa "jela".

Angola imeitangazia dunia kuwa Tanzania kuna Covid-19 mbele ya Balozi wetu nchini humo. Sasa wanne hao wanarejea nyumbani. Je, ndio wagonjwa wa kwanza hivyo tuwatenge na kuchunguza waliokutana nao kama yule mama wa Arusha mwaka Jana? Au watakapokanyaga ardhi tu ya Tanzania ugonjwa utakauka?

Kwa nini Balozi hakuziambia mamlaka za Angola kuwa majibu yao si sahihi maana hatuna Corona? Je, wanne hao hawatuletei Corona? Nawaza tu nikielekea kumzika Brigadier Mbena!
Umbali wote waliosafiri na chombo cha ndege inayopandwa na watu wa aina mbalimbali kisha hao wachezaji wamepimwa tayari wako nchi hiyo hiyo inayowatuhumu kuwa na UVIKO halafu unarusha kwa Rais Magufuli na Balozi wa nchi hivi kweli wewe unatumia akili za kibinadamu au ni kwa sababu ya CHUKI binafsi zinazothihirika hapa kwa kuwataja kwa majina unaowachukia?

Unachuki binafsi na wewe ni mpinzani wa kutumwa. Hapo ulipo wewe ni mgonjwa wa huo ugonjwa pamoja na kwamba unafuata taratibu zote za afya.

Huu ni ukosefu wa AKILI
 
Ndugu zangu tunazidi kuumbuka kuhusu janga la Corona.

Hadi niandikapo uzi huu, msimamo wa Serikali ya Rais Magufuli (si ya wananchi wa Tanzania) ni kwamba hakuna Covid-19 isipokuwa "changamoto ya upumuaji" hivyo basi ni dhambi ya mauti kutamka kuwa kuna "korona" Tanzania hata kama tunapukutika kama nzige wa jangwani waliopuliziwa dawa.

Vijana wetu wa Namungo FC waliondoka hapa nchini (kusiko na korono) kwenda kucheza nchini Angola (Champions Legue). Wamepimwa na kukutwa na ugonjwa huo ambapo ni wachezaji watatu na kiongozi mmoja wamekutwa na Corona. Mchezo wao umefutwa maana timu pinzani hawako tayari kurisk maisha yao. Wamehifadhiwa "jela".

Angola imeitangazia dunia kuwa Tanzania kuna Covid-19 mbele ya Balozi wetu nchini humo. Sasa wanne hao wanarejea nyumbani. Je, ndio wagonjwa wa kwanza hivyo tuwatenge na kuchunguza waliokutana nao kama yule mama wa Arusha mwaka Jana? Au watakapokanyaga ardhi tu ya Tanzania ugonjwa utakauka?

Kwa nini Balozi hakuziambia mamlaka za Angola kuwa majibu yao si sahihi maana hatuna Corona? Je, wanne hao hawatuletei Corona? Nawaza tu nikielekea kumzika Brigadier Mbena!
Na bado. Subiri mbalamwezi ichomoze. Mziki utaanza.
 
Sijafurahishwa kabisa na unyanyasaji walio fanyiwa hao wachezaji na viongozi wa Namungo Fc. Ni vyema mamlaka zetu nazo zikajipanga ili kuja kulipa kisasi kwa kuwafanyia fitna za kutosha hao kenge iwapo watakuja Nchini mwetu kucheza mechi ya aina yoyote ile. Yaani waliwageuza Watanzania wenzetu kama mbwa vile!! Nimekasirika sana!![emoji45]

Ila siungi mkono pia ishu ya serikali kupotezea uwepo wa huu ugonjwa. Ni bora hata kile kituo chao cha kupimia sampuli za huo ugonjwa kinge endelea kutumika hasa kwa wale Watanzania wote wanao safiri nje ya nchi ili kuondokana na aina hii ya manyanyaso kwa Watanzania.
Nemsoma komment zote , hi yakwako ni Ya kibwege kuliko zote
 
Ndiyo kwanza kituo kinapima mapapai, mbuzi, kware na ngedere kama wana corona.
Wabongo wasubiri matokeo ya utafiti wa vipimio vyetu, kabla ya wao kuanza kupimwa covi dii
 
Ndugu zangu tunazidi kuumbuka kuhusu janga la Corona.

Hadi niandikapo uzi huu, msimamo wa Serikali ya Rais Magufuli (si ya wananchi wa Tanzania) ni kwamba hakuna Covid-19 isipokuwa "changamoto ya upumuaji" hivyo basi ni dhambi ya mauti kutamka kuwa kuna "korona" Tanzania hata kama tunapukutika kama nzige wa jangwani waliopuliziwa dawa.

Vijana wetu wa Namungo FC waliondoka hapa nchini (kusiko na korono) kwenda kucheza nchini Angola (Champions Legue). Wamepimwa na kukutwa na ugonjwa huo ambapo ni wachezaji watatu na kiongozi mmoja wamekutwa na Corona. Mchezo wao umefutwa maana timu pinzani hawako tayari kurisk maisha yao. Wamehifadhiwa "jela".

Angola imeitangazia dunia kuwa Tanzania kuna Covid-19 mbele ya Balozi wetu nchini humo. Sasa wanne hao wanarejea nyumbani. Je, ndio wagonjwa wa kwanza hivyo tuwatenge na kuchunguza waliokutana nao kama yule mama wa Arusha mwaka Jana? Au watakapokanyaga ardhi tu ya Tanzania ugonjwa utakauka?

Kwa nini Balozi hakuziambia mamlaka za Angola kuwa majibu yao si sahihi maana hatuna Corona? Je, wanne hao hawatuletei Corona? Nawaza tu nikielekea kumzika Brigadier Mbena!
Bila shaka kwa mtazamo wako Hata Kaizer Chiefs waliokataliwa kuingia Morocco nao wanatokea Ubaruku, Mbeya sio?
 
Namungo hachezi champions league, Timu nzima imerudi Tanzania na sio wale waliokutwa na Corona, Mchezo umefutwa lakini haina maana hawatakutana, Hakuna relationship yyte kati ya Balozi na Ugonjwa wa Corona ndani ya Namungo

Ile timu inaonyesha ni Jinsi gani baadhi ya Waafrika walivyo Malimbukeni. Tatizo lao hawakufuata utaratibu uliowekwa. Wamewa-treat Watu wa Namungo kama wanyama.
 
Mlipeleka supply Angola mkastukiwa, mitano again.
Mbona ata wachezaji wa nchi zilizoendelea wenye kila ujuzi wa kujikinga na Covid walishakutwa na Corona siku za nyuma,au aufatilii michezo?
Iweje kwa Tanzania uone tatizo ilhali ni janga la Dunia nzima?
kwasababu covid ilikimbia Tanzania kwa maombi ndiyo maana tunaona maajabu.
 
Unadhani huwa nakoment ili nimfurahishe mtu! Pole sana.
Watu hukoment ili kutoa maoni yao na c kufurahisha kama unavyofikiria, maoni yanaweza yakawa yanajenga au yanabomoa , ukitoa maoni yanayobomoa lažima uonekane ni kituko
 
Mbona ata wachezaji wa nchi zilizoendelea wenye kila ujuzi wa kujikinga na Covid walishakutwa na Corona siku za nyuma,au aufatilii michezo?
Iweje kwa Tanzania uone tatizo ilhali ni janga la Dunia nzima?
Kwani Tanzania kuna korona?

Kwa mujibu wa jiwe ambalo ww unalihisudiu na kutaka liongezewe muda ni kwa Tanzania hakuna COVID 19
 
Mbona ata wachezaji wa nchi zilizoendelea wenye kila ujuzi wa kujikinga na Covid walishakutwa na Corona siku za nyuma,au aufatilii michezo?
Iweje kwa Tanzania uone tatizo ilhali ni janga la Dunia nzima?
Point yake imejikuta kwenye taarifa ya serikali,msemaji mkuu wa serikali, waziri wa afya na katibu mkuu wizara ya afya wote wamejitokeza kusema Tanzania hakuna korona. Je hawa wachezaji wapeta wapi hii UVIKO19
 
Back
Top Bottom