Hivi wewe unaijua corona au unaisikia, corona ikikuchapa ndg homa kali koo linakauka uwezi panda ndenge,acheni properganda za kijinga kwani ni mara ya kwanza kusingizia Watanzania kuwa wana corona?kila siku madreva wa moroli ya mizigo walikuwa wanakataliwa kuingia Kenya,Rwanda,uganda kisa eti wana corona, lakini atukuona wakidondoka au kufa,mwisho wa siku yakaisha,sasa hivi wameanza tena mchezo wao.Mbona Simba wameenda Congo hawajakutwa nayo?au mbona Tip-mazembe na All-haly walikuwa hapa wakizurula wamerudi kwao akuna mtu aliyekutwa na huo ugonjwa?endeleheni kuiombea nchi mabaya lakini amtafanikiwa