#COVID19 Vita dhidi ya COVID-19 Angola imetuumbua, Balozi awajibike?

Umbali wote waliosafiri na chombo cha ndege inayopandwa na watu wa aina mbalimbali kisha hao wachezaji wamepimwa tayari wako nchi hiyo hiyo inayowatuhumu kuwa na UVIKO halafu unarusha kwa Rais Magufuli na Balozi wa nchi hivi kweli wewe unatumia akili za kibinadamu au ni kwa sababu ya CHUKI binafsi zinazothihirika hapa kwa kuwataja kwa majina unaowachukia?

Unachuki binafsi na wewe ni mpinzani wa kutumwa. Hapo ulipo wewe ni mgonjwa wa huo ugonjwa pamoja na kwamba unafuata taratibu zote za afya.

Huu ni ukosefu wa AKILI
 
Na bado. Subiri mbalamwezi ichomoze. Mziki utaanza.
 
Nemsoma komment zote , hi yakwako ni Ya kibwege kuliko zote
 
Ndiyo kwanza kituo kinapima mapapai, mbuzi, kware na ngedere kama wana corona.
Wabongo wasubiri matokeo ya utafiti wa vipimio vyetu, kabla ya wao kuanza kupimwa covi dii
 
Bila shaka kwa mtazamo wako Hata Kaizer Chiefs waliokataliwa kuingia Morocco nao wanatokea Ubaruku, Mbeya sio?
 
Walipimwa kwa kutumia kipimo hiki Kipya?
 
Namungo hachezi champions league, Timu nzima imerudi Tanzania na sio wale waliokutwa na Corona, Mchezo umefutwa lakini haina maana hawatakutana, Hakuna relationship yyte kati ya Balozi na Ugonjwa wa Corona ndani ya Namungo

Ile timu inaonyesha ni Jinsi gani baadhi ya Waafrika walivyo Malimbukeni. Tatizo lao hawakufuata utaratibu uliowekwa. Wamewa-treat Watu wa Namungo kama wanyama.
 
Mlipeleka supply Angola mkastukiwa, mitano again.
Mbona ata wachezaji wa nchi zilizoendelea wenye kila ujuzi wa kujikinga na Covid walishakutwa na Corona siku za nyuma,au aufatilii michezo?
Iweje kwa Tanzania uone tatizo ilhali ni janga la Dunia nzima?
kwasababu covid ilikimbia Tanzania kwa maombi ndiyo maana tunaona maajabu.
 
Unadhani huwa nakoment ili nimfurahishe mtu! Pole sana.
Watu hukoment ili kutoa maoni yao na c kufurahisha kama unavyofikiria, maoni yanaweza yakawa yanajenga au yanabomoa , ukitoa maoni yanayobomoa lažima uonekane ni kituko
 
Mbona ata wachezaji wa nchi zilizoendelea wenye kila ujuzi wa kujikinga na Covid walishakutwa na Corona siku za nyuma,au aufatilii michezo?
Iweje kwa Tanzania uone tatizo ilhali ni janga la Dunia nzima?
Kwani Tanzania kuna korona?

Kwa mujibu wa jiwe ambalo ww unalihisudiu na kutaka liongezewe muda ni kwa Tanzania hakuna COVID 19
 
Mbona ata wachezaji wa nchi zilizoendelea wenye kila ujuzi wa kujikinga na Covid walishakutwa na Corona siku za nyuma,au aufatilii michezo?
Iweje kwa Tanzania uone tatizo ilhali ni janga la Dunia nzima?
Point yake imejikuta kwenye taarifa ya serikali,msemaji mkuu wa serikali, waziri wa afya na katibu mkuu wizara ya afya wote wamejitokeza kusema Tanzania hakuna korona. Je hawa wachezaji wapeta wapi hii UVIKO19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…