Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Ni kweli na kuna wachezaji wanaondolewa hadi wapone, na kuna baashi ya mechi zinaahirishwa; kwa hiyo siyo jipya, Hoja iliyopo mezani ni kuwa Tanzania tunasema hakuna corona je hao waliogunduliwa kuwa na corona Angola waliipata wapi?- au kwenye ndege waliyosafiria!Mbona ata wachezaji wa nchi zilizoendelea wenye kila ujuzi wa kujikinga na Covid walishakutwa na Corona siku za nyuma,au aufatilii michezo?
Iweje kwa Tanzania uone tatizo ilhali ni janga la Dunia nzima?
Hivi kweli Watanzania ni wajinga kiasi hiki hata kusahau kuwa Rais wao mpendwa alitembelea moja ya nchi hizo wanachama wa SADC akapokelewa vizuri na kuondoka bila mkasa pamoja na Dreamliner yake mpaka yakampata yaliyompata Harare, Zimbabwe akiwa njiani kurudi. Wajinga humu JF wanamlaumu Balozi haijulikani wangetaka afanye nini kwani hayuko kule kubadili taratibu za nchi ile za kupokea wageni wakati huu wa Covid-19 ambapo kila nchi inayojali raia wake, inajitahidi kwa kila njia kulinda watu wake wasiambukizwe pneumonia. Pamoja na nchi yetu kutokuwa na gonjwa la Covid-19 na wachezaji walifukizwa kabla ya kuondoka lakini wanne waligundulika wana Virus na walipewa option waingie karantini au warudi walikotoka na gonjwa lao. CAF iliingilia kati ikafutilia mbali Mchezo kuwalinda Waangola!Inawazekana wewe au nyinyi ni wafuata redio,hili suala kama hulijui ulizia ,na si Angola tu hata Namibia,sio kila sehemu tulioshoroki katika harakati za ukombozi wa nchi zao wanatupenda kihiiiiiiivyoh,la hapana Angola ,namibia zisikie hivyohivyo ,Mtanzania kule anaonekana adui,nasema Mtanzania kama Mtanzania niondolee cheo cha mpigania ukombozi wa nchi za kusini,tuko pamoja au hujaelewa,iangalie South Afrika ya leo ,je Mtanzania bado anaonekana ndugu ? Sana sana tumebakiza Msumbiji.Halafu kuwa mwanachama isikufanye ujione unapendwa au unapendaza kwa nchi wanachama,vipi Malawi ? kwani so marafiki lakini ukichimba utaona tunavyokodoleana macho.
Achana na fitna za soka la AfricaKwa nini Balozi hakuziambia mamlaka za Angola kuwa majibu yao si sahihi maana hatuna Corona? Je, wanne hao hawatuletei Corona
Unadhani huwa nakoment ili nimfurahishe mtu! Pole sana.Nemsoma komment zote , hi yakwako ni Ya kibwege kuliko zote
Sasa maoni niliyotoa yana bomoa nini? Uliisikiliza au kuiangalia simulizi ya namna timu ya Namungo ilichofanyiwa na hao Waangola?Watu hukoment ili kutoa maoni yao na c kufurahisha kama unavyofikiria, maoni yanaweza yakawa yanajenga au yanabomoa , ukitoa maoni yanayobomoa lažima uonekane ni kituko
MENGI yanaweza kuzungumzwa kuhusiana na kadhia hiyo, na wazungumzaji hawaachi kujipambanua na itikadi yake ya kisiasa. Lakini serikali ilishaweka utaratibu wa kupimwa Corona kwa wasafiri wote wanaokwenda nje ya nchi, na wanaobainika kukutwa na maambukizo hukataliwa kusafiri.Kipimo kinaendelea kufanya kazi. Watu wanapimwa maana ni kati ya requirements za kusafiri nje ya nchi. Tatizo ni kuwa majibu yanaelekea kama vile ni ya kupangwa ili kuonyesha kuwa hakuna huo ugomjwa Bongo!
Ukiwa na covid lazima unyanyapaliwe,kule sio Bong ni nchi ya watu wanajali afya za watu wao wewe endelea kupiga nyungu corona hakunaSijafurahishwa kabisa na unyanyasaji walio fanyiwa hao wachezaji na viongozi wa Namungo Fc. Ni vyema mamlaka zetu nazo zikajipanga ili kuja kulipa kisasi kwa kuwafanyia fitna za kutosha hao kenge iwapo watakuja Nchini mwetu kucheza mechi ya aina yoyote ile. Yaani waliwageuza Watanzania wenzetu kama mbwa vile!! Nimekasirika sana!!😟
Ila siungi mkono pia ishu ya serikali kupotezea uwepo wa huu ugonjwa. Ni bora hata kile kituo chao cha kupimia sampuli za huo ugonjwa kinge endelea kutumika hasa kwa wale Watanzania wote wanao safiri nje ya nchi ili kuondokana na aina hii ya manyanyaso kwa Watanzania.
Usibwabwaje hapa,wewe unaweza changanyikana na mgonjwa wa corona huku unaona anavyokohoa au hata kama hakohoi umeambiwa anao unaweza changamana nae?Unadhani huwa nakoment ili nimfurahishe mtu! Pole sana.
Sasa maoni niliyotoa yana bomoa nini? Uliisikiliza au kuiangalia simulizi ya namna timu ya Namungo ilichofanyiwa na hao Waangola?
Nimeandika kwa hisia zangu kama Mtanzania. Sikufurahia kuona Watanzania wenzangu wanatengwa na kubaguliwa kama wanyama pori na Waafrika wenzao, kisa kikiwa ni Corona.
Sasa kutoa hisia na mawazo yangu, naona imegeuka kuwa kero kwenu. Nadhani tunatakiwa tuchukuliane wakati fulani tunapo jadili masuala ya Kitaifa. Ingekua ni ishu za kisiasa, simba na Yanga, ningekuelewa. Ila kwa hili, am very sorry. Nadhani niko sahihi kuliko unavyodhani.
We pumbavu kweli ww hujui hizo ni hujuma za sokaNdugu zangu tunazidi kuumbuka kuhusu janga la Corona.
Hadi niandikapo uzi huu, msimamo wa Serikali ya Rais Magufuli (si ya wananchi wa Tanzania) ni kwamba hakuna Covid-19 isipokuwa "changamoto ya upumuaji" hivyo basi ni dhambi ya mauti kutamka kuwa kuna "korona" Tanzania hata kama tunapukutika kama nzige wa jangwani waliopuliziwa dawa.
Vijana wetu wa Namungo FC waliondoka hapa nchini (kusiko na korono) kwenda kucheza nchini Angola (Champions Legue). Wamepimwa na kukutwa na ugonjwa huo ambapo ni wachezaji watatu na kiongozi mmoja wamekutwa na Corona. Mchezo wao umefutwa maana timu pinzani hawako tayari kurisk maisha yao. Wamehifadhiwa "jela".
Angola imeitangazia dunia kuwa Tanzania kuna Covid-19 mbele ya Balozi wetu nchini humo. Sasa wanne hao wanarejea nyumbani. Je, ndio wagonjwa wa kwanza hivyo tuwatenge na kuchunguza waliokutana nao kama yule mama wa Arusha mwaka Jana? Au watakapokanyaga ardhi tu ya Tanzania ugonjwa utakauka?
Kwa nini Balozi hakuziambia mamlaka za Angola kuwa majibu yao si sahihi maana hatuna Corona? Je, wanne hao hawatuletei Corona? Nawaza tu nikielekea kumzika Brigadier Mbena!
Waliipata Kenya.Ni kweli na kuna wachezaji wanaondolewa hadi wapone, na kuna baashi ya mechi zinaahirishwa; kwa hiyo siyo jipya, Hoja iliyopo mezani ni kuwa Tanzania tunasema hakuna corona je hao waliogunduliwa kuwa na corona Angola waliipata wapi?- au kwenye ndege waliyosafiria!
aka "nyumonia kalii""changamoto ya upumuaji"
Suruhisho si kulipa kisasi, suruhisho ni kufuata maagizo ya WHO kuhusu ugonjwa huu - kuna hatari michezo yetu yote ikafutwa tukabakia kama kisiwa.Sijafurahishwa kabisa na unyanyasaji walio fanyiwa hao wachezaji na viongozi wa Namungo Fc. Ni vyema mamlaka zetu nazo zikajipanga ili kuja kulipa kisasi kwa kuwafanyia fitna za kutosha hao kenge iwapo watakuja Nchini mwetu kucheza mechi ya aina yoyote ile. Yaani waliwageuza Watanzania wenzetu kama mbwa vile!! Nimekasirika sana!!😟
Ila siungi mkono pia ishu ya serikali kupotezea uwepo wa huu ugonjwa. Ni bora hata kile kituo chao cha kupimia sampuli za huo ugonjwa kinge endelea kutumika hasa kwa wale Watanzania wote wanao safiri nje ya nchi ili kuondokana na aina hii ya manyanyaso kwa Watanzania.
Aisee! Basi sawa.Ukiwa na covid lazima unyanyapaliwe,kule sio Bong ni nchi ya watu wanajali afya za watu wao wewe endelea kupiga nyungu corona hakuna
Angola waliogopa kufungiwa nyumbani kwao wakatafuta kisababu cha kuwavunja moyo Namungo baada ya kuona Simba walivyoua huko Congo! Walianza kwa kuwaweka karanatini mara baada ya kutua kwenye ndege; halafu baada ya usumbufu wote huo, ndipo wakajifanya kupima na wala hakuna ushahidi unaoonyesha kuwa ripoti yao ni sahihi kwani tests hizo hazikufanywa na independent entity!Ndugu zangu tunazidi kuumbuka kuhusu janga la Corona.
Hadi niandikapo uzi huu, msimamo wa Serikali ya Rais Magufuli (si ya wananchi wa Tanzania) ni kwamba hakuna Covid-19 isipokuwa "changamoto ya upumuaji" hivyo basi ni dhambi ya mauti kutamka kuwa kuna "korona" Tanzania hata kama tunapukutika kama nzige wa jangwani waliopuliziwa dawa.
Vijana wetu wa Namungo FC waliondoka hapa nchini (kusiko na korono) kwenda kucheza nchini Angola (Champions Legue). Wamepimwa na kukutwa na ugonjwa huo ambapo ni wachezaji watatu na kiongozi mmoja wamekutwa na Corona. Mchezo wao umefutwa maana timu pinzani hawako tayari kurisk maisha yao. Wamehifadhiwa "jela".
Angola imeitangazia dunia kuwa Tanzania kuna Covid-19 mbele ya Balozi wetu nchini humo. Sasa wanne hao wanarejea nyumbani. Je, ndio wagonjwa wa kwanza hivyo tuwatenge na kuchunguza waliokutana nao kama yule mama wa Arusha mwaka Jana? Au watakapokanyaga ardhi tu ya Tanzania ugonjwa utakauka?
Kwa nini Balozi hakuziambia mamlaka za Angola kuwa majibu yao si sahihi maana hatuna Corona? Je, wanne hao hawatuletei Corona? Nawaza tu nikielekea kumzika Brigadier Mbena!
Nilikuwa South Africa, nchi inayoongoza kwa wagonjwa na vifo, lakini sikuwa nasikia vifo mara kwa mara kama hapa.Namungo hachezi champions league, Timu nzima imerudi Tanzania na sio wale waliokutwa na Corona, Mchezo umefutwa lakini haina maana hawatakutana, Hakuna relationship yyte kati ya Balozi na Ugonjwa wa Corona ndani ya Namungo
Ile timu inaonyesha ni Jinsi gani baadhi ya Waafrika walivyo Malimbukeni. Tatizo lao hawakufuata utaratibu uliowekwa. Wamewa-treat Watu wa Namungo kama wanyama.