Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Nilijua tu hizi nguvu za kuwatetea wauza Sembe ni kwamba chadema wanahusika na uuzaji Sembe, sasa Tundu Lisu abanwe mpka aseme Sembe huwa wanatoa wapi!
Umeongea point na Leo utaona mapovuu mengi
 
  • Kweli mnampango wa kuua upinzani ila makonda nampa pole mana kuna vitu anajilopokea tu kisa kaahidiwa ulinzi
 
Good job PAUL MAKONDA. ..MOLA AKUTANGULIE
 
Kwa hiyo nikimpigia simu na kumwambia nanihii naye anatumia dawa, kesho atakwenda kwenye media kumtaja??? Ha ha ha, hii nchi sasa inakuwa hatari kweli kweli...
 
Kutokana na Mwenyekiti wa CHADEMA kuhitajika kituo kikuu cha Polisi kutokana na kuhisiwa kufanya biashara ya mihadarati, je Mwanasheria wake TUNDU ANTIPASI LISSU atakuwa tayari kwenda kumtetea mwenyekiti wake kama atahitajika kupandishwa kizimbani?
Haya yalishapangwa ndio maana walianza kumkamata kwanza tundu lisu ili leo wamtaje mbowe wanapanga kuua upinzani kupitia makonda
 
Upande mmoja wamekaimu madaraka na Upande mwingine wamekasinu
 
Kwa mara ya kwanza namuunga mkono makonda kwa list hii ya leo
 
Ila pale alimpotaja idd azan nimemuelewa sana...nasikia wanasema gwajima kajaza helikopta mafuta full tank...[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]


Mkuu hyo full tank haimfikishi popote....helicopter inakunywa mafuta kama jini...akijifanya kichwa ngumu itazimikia huko angani shauri yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…