Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

  • Kweli mnampango wa kuua upinzani ila makonda nampa pole mana kuna vitu anajilopokea tu kisa kaahidiwa ulinzi
 
Good job PAUL MAKONDA. ..MOLA AKUTANGULIE
 
Kwa hiyo nikimpigia simu na kumwambia nanihii naye anatumia dawa, kesho atakwenda kwenye media kumtaja??? Ha ha ha, hii nchi sasa inakuwa hatari kweli kweli...
 
Kutokana na Mwenyekiti wa CHADEMA kuhitajika kituo kikuu cha Polisi kutokana na kuhisiwa kufanya biashara ya mihadarati, je Mwanasheria wake TUNDU ANTIPASI LISSU atakuwa tayari kwenda kumtetea mwenyekiti wake kama atahitajika kupandishwa kizimbani?
Haya yalishapangwa ndio maana walianza kumkamata kwanza tundu lisu ili leo wamtaje mbowe wanapanga kuua upinzani kupitia makonda
 
Mpaka sasa nashangaa kinachoendelea ama kuna tatizo. Kwenye structure ya serikali vitendo vyote vya kihalifu inaangukia Wizara ya Mambo ya Ndani. Lakini kwa muda wa wiki naona mkuu wa mkoa wa Dar ndio amekuwa mstari wa mbele kwenye vita vya madawa ya kulevya yuko wapi Waziri ama Naibu wa Wizara ya mambo ya ndani?
Upande wa Polisi namuona kamanda Sirro pekee, Jeshi la polisi lina Kamishina wa kitengo cha madawa ya kulevya yupo wapi?
Upande mmoja wamekaimu madaraka na Upande mwingine wamekasinu
 
Ila pale alimpotaja idd azan nimemuelewa sana...nasikia wanasema gwajima kajaza helikopta mafuta full tank...[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]


Mkuu hyo full tank haimfikishi popote....helicopter inakunywa mafuta kama jini...akijifanya kichwa ngumu itazimikia huko angani shauri yake.
 
Back
Top Bottom