shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Mzungu wa unga anashindwa kulipa deni? Tumia akili wewe! Hii njama ita backfire soon. Mungu anawajua watetezi wa watu wake na analipa kwa maonevu yao. Ndoto ile ya Arusha yaweza timiaHata Madeni mlisema hivyo hivyo mkafungua kesi Mahakamni ili kuuwa soo lkn mwisho wa siku ukweli ukashinda na Mbowe ni kweli alikuwa anadaiwa na bado anadaiwa hajalipa fedha zetu, hivyo hata hili Mbowe ni muuza Unga!
Nimejikalia zangu pembeni nikisubiria kwa hamu na wengine huu mwaka unaitwa na ita miujizaMboweeeeeeeeeeee! Gooooooooooooo!
Political dirt gamesExplain the above jargon
Chadema ni Mbowe?Nunueni wanachama kuwa wanarudisha kadi kama kawa.Chadema ni taasisiWakuu Mimi kuanzia Leo siyo mwanachadema tena ni aibu kubwa sana mwenyekiti wetu kuwa na tuhuma kama hizi hata kama siyo kweli ni tuhuma kubwa kwake.
Nilivumilia ile ya kunywa Viroba Kwa sababu ni tabia binafsi ya mtu ila kwa hili la Kuuza dawa za kulevya limenichosha
Baada ya jina lake kutajwa nimedondosha simu yangu na kuvuja kioo kwa kweli imeniuma sana.
Sio Vita kinachotendeka sasa ni mwamvuli wa kuua upinzani...Hii vita Uchwara itamshinda vibaya sanna..
Muda utasema
Nadhani kinachofanyika kina hasara zaidi kuliko hasara ulizojaribu kuainisha hapa! Inaweza kuwa vigumu kuelewa, lakini huo ndio ukweli na mwingine ni ushabiki usio na tija katika jambo "sensitive"!Huyu RC ana busara sana na anajua nini anaongea, wakati gani, namna gani kwa utaratibu upi.... Pia anajua nini kianze na kipi kifuhate..... Tumuunge mkono........ Sasa wanaopiga kelele (Wanajijua kama wana maslahi ama kwa ushabiki tu) baadaye kidogo mtaamua wenyewe kwa busara zenu kuchagua ushabiki wa kijingakijinga ama ukweli wenye faida kubwa kwa maslahi ya nchi hii kupunguza hili tatizo ama kulimaliza kabisa..... Madawa ya kulevya hayana maana kabisa anayeshabikia hii biashara ni wa kuwamwonea huruma sana sana..... Waathirika wenyewe wanaomba kusaidiwa maana ni sawa na utumwa, unakuwa mtumwa hata kama hupendi, hali ile ni mbaya kabisa, Hasara zake ni nyingi mno; inachangia uhalifu kwenye jamii, inapoteza nguvu kazi muhimu, upeo wa kufikiri unashuka chini (Elimu) Inachangia kuenea kwa magonjwa (Afya) nk ...........Big Up RC! Tuko pamoja sana
Hahaha Walizoea kwa JkHata Madeni mlisema hivyo hivyo mkafungua kesi Mahakamni ili kuuwa soo lkn mwisho wa siku ukweli ukashinda na Mbowe ni kweli alikuwa anadaiwa na bado anadaiwa hajalipa fedha zetu, hivyo hata hili Mbowe ni muuza Unga!
Hapa tatizo sio haraka.. Kwanini hakumtaja kama alivyofanya kwa akina pamba kali?Haraka ya nini
Unaelewa tofauti ya umiliki na management? Kajifunze kwanzaAcha uzuzu wewe!
Mbowe ni mmiliki wa Billicanas& Cassino na kwenye mahoteli makubwa matumizi ya madawa yapo juu so hata kama hafanyi yeye kama hotel yake imeorodheshwa basi atatoa ushirikiano kwa kamanda Sirro
Be quiet.