Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Makonda ndo kamaliza au kuna UPDATE nyingine naona habar haijitoshelezi
 
Hata Madeni mlisema hivyo hivyo mkafungua kesi Mahakamni ili kuuwa soo lkn mwisho wa siku ukweli ukashinda na Mbowe ni kweli alikuwa anadaiwa na bado anadaiwa hajalipa fedha zetu, hivyo hata hili Mbowe ni muuza Unga!
Mzungu wa unga anashindwa kulipa deni? Tumia akili wewe! Hii njama ita backfire soon. Mungu anawajua watetezi wa watu wake na analipa kwa maonevu yao. Ndoto ile ya Arusha yaweza timia
 
Watu wanapambania madawa ya kulevya we we unaongea maneno ya kwenye kanga , watu wamekua kama mazombi mjini ni watoto Wa watu kama ulivyo wewe lakini unga unawamaliza na wanajitaidi wapone lakini ndiyo ivyo hawezekani tena
 
Makonda asitaje taje majina hovyo hovyo hao wakina mbowe manji gwajima idd azani sio type yakina wema ,tid awe na ushahidi wakutosha vinginevyo atashinda mahakamani kila inapoitwa leo ,otherwise kama anauhakika na anachokifanya congrats kwake
 
Sasa hapa ndio penyewe Makonda anauwasha Moto,japo kamkingia kifua masogange ila ukweli utajulikana sitaamini kama Mbowe na Gwajima watakaa kimya katika hili
 
jamani hamna aliyeipata hiyo list aitupie hapa watu tufanye visual inspection maana hapa sina raha hata kupumua siwezi kabisa
 
Wakuu Mimi kuanzia Leo siyo mwanachadema tena ni aibu kubwa sana mwenyekiti wetu kuwa na tuhuma kama hizi hata kama siyo kweli ni tuhuma kubwa kwake.

Nilivumilia ile ya kunywa Viroba Kwa sababu ni tabia binafsi ya mtu ila kwa hili la Kuuza dawa za kulevya limenichosha

Baada ya jina lake kutajwa nimedondosha simu yangu na kuvuja kioo kwa kweli imeniuma sana.
Chadema ni Mbowe?Nunueni wanachama kuwa wanarudisha kadi kama kawa.Chadema ni taasisi
 
Watu wanapambania madawa ya kulevya we we unaongea maneno ya kwenye kanga , watu wamekua kama mazombi mjini ni watoto Wa watu kama ulivyo wewe lakini unga unawamaliza na wanajitaidi wapone lakini ndiyo ivyo hawezekani tena
 
Hii vita Uchwara itamshinda vibaya sanna..
Muda utasema
Sio Vita kinachotendeka sasa ni mwamvuli wa kuua upinzani...
Ishu ilkua kumkamata lisu' pasipo usumbufu Ila hii movie imewanogea atii.... Wataendelea
 
Huyu RC ana busara sana na anajua nini anaongea, wakati gani, namna gani kwa utaratibu upi.... Pia anajua nini kianze na kipi kifuhate..... Tumuunge mkono........ Sasa wanaopiga kelele (Wanajijua kama wana maslahi ama kwa ushabiki tu) baadaye kidogo mtaamua wenyewe kwa busara zenu kuchagua ushabiki wa kijingakijinga ama ukweli wenye faida kubwa kwa maslahi ya nchi hii kupunguza hili tatizo ama kulimaliza kabisa..... Madawa ya kulevya hayana maana kabisa anayeshabikia hii biashara ni wa kuwamwonea huruma sana sana..... Waathirika wenyewe wanaomba kusaidiwa maana ni sawa na utumwa, unakuwa mtumwa hata kama hupendi, hali ile ni mbaya kabisa, Hasara zake ni nyingi mno; inachangia uhalifu kwenye jamii, inapoteza nguvu kazi muhimu, upeo wa kufikiri unashuka chini (Elimu) Inachangia kuenea kwa magonjwa (Afya) nk ...........Big Up RC! Tuko pamoja sana
Nadhani kinachofanyika kina hasara zaidi kuliko hasara ulizojaribu kuainisha hapa! Inaweza kuwa vigumu kuelewa, lakini huo ndio ukweli na mwingine ni ushabiki usio na tija katika jambo "sensitive"!
 
Hata Madeni mlisema hivyo hivyo mkafungua kesi Mahakamni ili kuuwa soo lkn mwisho wa siku ukweli ukashinda na Mbowe ni kweli alikuwa anadaiwa na bado anadaiwa hajalipa fedha zetu, hivyo hata hili Mbowe ni muuza Unga!
Hahaha Walizoea kwa Jk
sasa awamu hii hakuna kuangalia Sura
 
Tuache siasa kwenye jambo kama hili,ikibainika mbowe anahusika apewe hukumu anayostahili.
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Acha uzuzu wewe!
Mbowe ni mmiliki wa Billicanas& Cassino na kwenye mahoteli makubwa matumizi ya madawa yapo juu so hata kama hafanyi yeye kama hotel yake imeorodheshwa basi atatoa ushirikiano kwa kamanda Sirro
Be quiet.
Unaelewa tofauti ya umiliki na management? Kajifunze kwanza
 
Back
Top Bottom