Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Msukuma uduni wa elimu ndio unaomla,
siku zote alikuwa wapi kuhoji hayo kama si hofu imezingira, na huenda ni mtumiaji au muuzaji hawezi tu kulipuka bure, hiyo ni defense mechanism kama yumo asubiri kutajwa........
The saga Continue


But still Makonda ana hoja ya kujibu kuhusu huo utajiri wake!
 

we teja??

huyo msukuma ni mbunge si aende mahakamani?

umeongea utopia, mwenzako makonda anafanya action ambazo ndio topic zenu

ulichoongea hapo juu ni hadithi za kudhania tu
 
Kumbe ndio maana kina Escobar huwa mnapigwa risasi hadharani
Sababu huwa mnafanya makosa madogo madogo yanayowaudhi watu,na watu wanajiuliza huu ni uzembe au makusudi?Unamkumbuka Escobar wa Colombia aliyepigwa risasi kwa kuifungisha team yake Kombe la Dunia?

Mbona nimeandika 05:00 asubuhi?Kwa "common sense" tu unafikiri inweza kuwa saa kumi na moja alfajiri?Au ndio unathibitisha "Not all common senses are common"
 
Tusubiri kuyaona na kusikia ambayo hatujawahi kusikia..!
 
Nawashauri Idara ya Usalama wa Taifa kumdhibiti Makonda.
Boss wake juzi amemsifia tena amemtaka atembee KIFUA MBELE, hiyo Idara itamdhibiti vipi unadhani??
 
Wewe ndo unajichanganya. Mleta mada kaandika vizuri na tumemwelewa. Rudi kasome tena mada
 
Hii movie ni tamu mi napenda iendelee
Maana tutasikia mengi
Ktk vitu ambavyo nahakikisha ni kuwa na bando la kutosha maana sitaki kupitwa na episode sinavyotoka
Siku hizi siaangalii tena tv maana simu inakila kitu

Najua leo huo muda itazinduliwa new episod
 
mimi ni tajiri kuliko makonda njoo mniulize

kama msukuma analipenda taifa angetakiwa kulisemea kabla ya makonda kuamka na hii operations

makonda anakamata, anafanya

msukuma anasema tu...

ona tofauti ya wanaume hapo

Hongera kawa kuwa tajiri ndugu Waberoya natumai umeupata huo utajiri kwa njia zilizo halali kabisa.

Hoja kwa Mamkonda sio utajiri tu bali muda alio upata huo utajiri! Mishahara ya RC na DC inajulikana na amseshika vyeo hivyo kwa miaka mitatu tu.

And dont get me wrong I dont support Msukuma in any way of his! Just another crook to me.......
 

Massive campain = true 100%

Makonda anafanya oneman show off


Massive campain ni wao huko ndani ya office zao kwa ushirikiano wa wizara husiki, idara za upelelezi, ikulu, wadau husika, magereza nk


Hii sio siasa majukwaani.......ni vita kubwa wa sio ya kimkowa tu nk.
 

unamaanisha Nape na Msukuma hawaeleweki??
 
Wawakilishi wepi hao wanaopiga kelele kina Musukuma au Nape, kwa hiyo wewe unataka wakae kimya kama kina Mwigulu, mbona Lumumba hamueleweki.
 

mkuu kabla ya hapo utajiri wake ulikuwaje? na then ulivyoongezeka umeongezeka kwa sh ngapi? mtoa tuhuma ana data kuhusu hili?
 
mkuu kabla ya hapo utajiri wake ulikuwaje? na then ulivyoongezeka umeongezeka kwa sh ngapi? mtoa tuhuma ana data kuhusu hili?

Nunua gazeti la Mwananchi la leo wameweka vizuri sana wasifa wake na ni rahisi kuona jinsi alivyopata utajiri huo!!!
 


Nilipokuwa nasikia hawa mapapa wa madawa ya kulevya wananguvu sana nilijihoji maswali wananguvu gani na wanazitumiaje, kumbe wanatumia watu kama hawa watoa post kudhohofisha mtu yoyote anayepambaba nao? Yaani wanatumia mbinu ya kumbambika tuhuma kama zao.

Najihoji mwananchi mzalendo unayeona madhara ya madawa haya unawezaje kupinga harakati izi za Makonda mtu ajafanya kazi aliyokusidia lakini tayari umeishamuhuku kuwa ameferi kama wewe si muuzaji au mnufaikaji ni nini kinakukereketa hadi unashindwa kuwa na subira ya kuona Makonda anafikia wapi.

Unataka mapapa mapapa unawajua wewe? Kama unawajua mbona kwenye post yako haujataja hata mmoja why uwezi kuwataja pamoja na kuwa unatumia ID feki.

Tupunguze miemko, nchi ni yetu sote hawa viongozi tumewakathimisha madaraka kwa muda tu.
 
mpelekee Makonda ripoti ili aifanyie kazi , na mkumbushe majina 58 ayafuate ikulu babo yapo .ENDELEA NAWE KUCHEZA NGOMA NA MKURUPUKAJI MWENZAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…