Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

nimekuwa nikifuatilia snaa hizi inshu za drug dealers america ..karibia kila kiongozi yoyote america anapokuja na sera za kuwakamta wauzaji na wasambazaji wa madawa ya kulevya america huwa anaishia kufa gafla au kupigwa risasi....

hii ni kwa sabab drug dealers wana mtandao mkubwa sna na wanafadhiliwa na watu wenye pesa kama mtandao wenyew unavyojulikana kuwa kuna pesa ....yani kila drug dealer mkubwa lazima awe na bastola yani hicho ni kitu cha kawaida snaa ....manake kama ingekuwa ni america wew unayetangaza watu hadharani na kusema wajisalimishe yan tayr unaanza kuwindwa na wew..unawinda huku inawindwa pia ...
ile ni vita kubwa snaa sijui kwa hapa bongo
..(cursed skinned ppl)
itakuwaje...
kama kweli na wao wana mtandao mkubwa sijui tu lazima mtu afe hapa...unless otherwise wawe ni drug dealers uchwara.....
but kama kweli ni drug dealers under sponsored mamaaaae kuna damu zinamwagwa...

[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
na serikali yetu imepania kufuta vyama vingi vya siasa kwa mtindo ungine tumpongeze raisi wetu na mkuu wa mkoa kwa mipingo yao mizur ya kupambana na madawa ya kukevya 2020 tunataka ibaki ccm tu.
 
Nimependa haka ka wimbo ka
Wako wanaosemekana
Nasisitizia kachorus WANAOSEMEKA!!!
msininukuu vby maana Hanna dogo nyie wanajamvi
 
Nani yuko upinzani kwa ajili ya kumtetea Mbowe. Tunachojua Mbowe ni mwenyeki
 
Subiri kwanza tunajipanga tutoke vipi. Tutakuja muda si mrefu tuko PM kwanza
 
kwani azan hayupo kwenye list? halafu wakimtaja rizimoko itakuwa heri zaidi ..............

my friend kama wanauza unga wahukumiwe tu kila nikiona mateja walivyo napata uchungu sana awe mbowe hata mamake kama wanajihusisha na unga sheria ifwate mkondo wake unga ni dangerous hata haya makelele tunayopiga hapa si lolote
 
Msukuma uduni wa elimu ndio unaomla,
siku zote alikuwa wapi kuhoji hayo kama si hofu imezingira, na huenda ni mtumiaji au muuzaji hawezi tu kulipuka bure, hiyo ni defense mechanism kama yumo asubiri kutajwa........
The saga Continue

Kwa lugha nyepesi kabisa, unamaanisha hakuna haja ya kuhoji kuhusu utajiri Wa Makonda alioupata kwa kipindi cha mwaka mmoja.
 
Nyie Lumumba kashikeni ukuta magogoni. Upinzani na Mbowe ni namba ingine labda muanze kumlamba makalio uchwara.
 
Kwanza nasapoti sana vita unayoifanya dhidi ya madawa ya kulevya.usikate tamaa, pambana na nakuhakikishia una my full support na utafanikiwa.
Nataka kukusahihisha kuhusu technology wanayoitumia kujua position ya mapipa kama ulivosema, siyo GPRS bali ni GPS.
GPRS=General Parket Radio Service
Hii ni technology ya mawasiliano ya simu yenye uwezo wa 2.5G (ina ubora wa mawasiliano ulio kwenye kundi kati ya 2G na 3G).Haihusiki kabisa na kujua position ya vitu kwenye uso wa dunia

GPS=Global Position System
Hii ni technology inayotumia satellite kutambua position na muda(time) wa vitu mbalimbali duniani.hicho kifaa kinachofungwa kwenye mapipa kinaitwa GPS receiver na kinawasiliana na GPS satellite.

Ni hilo tu kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…