Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
.....
......Alama za Kushindwa
......Alama za Kushindwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
trueMajina yapo 65 na mbowe ndani....
Think big & I smell bad thing is on d way
Utakuwa umepunguaMbona kwenye hiyo list naona jina la "Philemon Mbowe" na si "Freeman Mbowe" au ni uwezo wangu wa kusoma na kuelewa umepungua
Kwa sababu katajwa Malaika wako Mbowe.?Sasa ni dhahiri vita ya madawa ya kulevya ni 20% , vita ya kisiasa ni 80% , mwisho wa uongo ni mbaya sana .
Kumekucha!!Ni siku nyingine tena,Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa wa Dsm,ndugu Paul Makonda ataongea leo na waandishi wa habari kuhusu muendelezo wa vita ya madawa ya kulevya ktk jiji la Dsm.
Mkuu wa Mkoa atakuwa mubashara Azam Tv mara ifikapo saa 05:00 asubuhi leo hii.
Tetesi ni kuwa,mkutano huo unaweza kuwa ni kujibu tuhuma za kuwa anawakabili "dagaa" na wakati "mapapa" wa biashara hiyo wapo.Na majibu ya mkuu wa mkoa yatakuwa ni kuwataja hao mapapa na kuelezea hatua zitakazochukuliwa...
Tega usikie....(Stay Tuned)
=======
UPDATE:
=======
ORODHA KAMILI:
View attachment 468414
View attachment 468415
View attachment 468416
View attachment 468420
Ameanza kwa Kumshukuru Rais wa Jamuhuri.
Paul Makonda asema anataka wauzaji wa dawa za kulevya wajulikane hadharani na hakuna sababu ya kuficha.
Paul Makonda asema vita vya dawa za kulevya vilianza muda mrefu kwa kufutilia hali ilivyo mitaani.
'Kuna watu nilitaka nikutane nao polisi, kuna tofauti kati ya kukamatwa na kuitwa, unapoitwa unapewa nafasi ya kusikilizwa'-RC Makonda
'Kampeni hii dawa ya dawa za kulevya si ya kufanyika kimyakimya tunataka hata watoto wadogo wajue dawa hizi ni hatari kwa afya'-RC Makonda
'Asante kwa watu kama TID, nawapongeza kwa kukiri na kusema kuwa wanatambua namna walivyoingia na kuomba serikali kuwasaidia'-RC Makonda
'Tumemaliza awamu ya kwanza vita ya dawa za kulevya, sasa hii ni awamu ya pili ambayo itakuwa si nyepesi itakuwa na mawimbi mengi-Makonda
'Awamu ya 2 ya vita ya dawa za kulevya tunaianza leo na tunaianza tukiwa tumekamilika, nimekuwa kwenye operesheni usiku na mchana- Makonda
'Watu wanafanya biashara za dawa za kulevya na meli zinazokuja na mafuta'-RC Makonda
'Kuna mama kazi yake ni kusafirisha watoto wa kike ambao wanapewa dawa za kulevya, wawili wako jela China na amewatelekeza'-RC Makonda
'Tukiendelea kuvutanavutana tutapoteza lengo la kupambana na dawa za kulevya'-RC Makonda
'Tukishindwa vita hii ya dawa za kulevya, hajashindwa Makonda au Rais Magufuli tumeshindwa wote'-Rais Makonda
'Tuko na majina 65, nitahitaji kukutana nao ijumaa, wako wanaosemekana wanatumia, wako wanasemekana wanazo taarifa zitakazotusaidia-Makonda
'Nawashukuru wenyeviti wa mitaa wameanza kuleta majina ya watu ambao wanawasiwasi nao kuhusu dawa za kulevya'-RC Malone's
'Kila tunayemuita tunamfahamu kuliko mnavyofikiri kazi yetu ni kuwasikiliza'- RC Makonda
'Zile nyumba mnazozitilia shaka, hamuelewi hata kinachoendelea ni wajibu wetu wananchi kutoa taarifa na taarifa zitakuwa ni siri-RC Makonda
'Kuna ambao tuliwaita wako nje ya DSM, wapo waliotoa taarifa na watafika ila wapo waliokimbia tunawafuatilia na tutawapata wote'- RC Makonda
'Nawashukuru ndugu zangu walioko nchi mbalimbali kwa kunipigia simu na kunipa taarifa mbalimbali'-RC Makonda
Na bila shaka huu ni wakati wa yeye ku step downLengo lao nikumtoa ktk uenyekiti wake wa chama baada ya kuona wanachemka kumuweka mtu wao
Tumetoka kwa kina dagaa, tupo kwenye samaki, watafuatia kina papa
Salute to you man. At least you have been honest enough!Mkuu Mimi ni siipendi ccm,ila kwq swala la MADAWA acha wakajibu. Sitetei MADAWA ya kulevya. Sitaki kuweka ukada wa kishamba kwenye swala la madawa
kwani azan hayupo kwenye list? halafu wakimtaja rizimoko itakuwa heri zaidi ..............Naona jamiiforums imepingwa ganzi baada ya mbowe kuweno katika list ya drug dealers. Jamani token njoni mtetee tena mana nyie ni mabingwa wa kusafisha na tutetea uozo.
Mwaka huu upinzani unapotea mana kila sehemu wamekabwa.
Kumbe ndo maana lisu mishipa nilitaka kupasuka kwa kuwatetea drug dealers ili lujihami kwa mwenyekiti wake!!!
Sasa mbowe kila uozo yumo. Kukwepa kodi yeye, kuharibu mazingira yeye,hata madawa? Sasa upinzani jamani si wangetuingiza chaka tungethubutu kuwachagua.
Asante mungu kwa kutuonesha hali halishi ya upinzani.
Lini mchaga akajifanya anakutetea ili we uwe na maisha mazuri?
hivi vipi na yeye kanyimwa dhamana au keshahukumiwaSalute Makonda!!! waungwana tupo nyuma yako
Msukuma uduni wa elimu ndio unaomla,
siku zote alikuwa wapi kuhoji hayo kama si hofu imezingira, na huenda ni mtumiaji au muuzaji hawezi tu kulipuka bure, hiyo ni defense mechanism kama yumo asubiri kutajwa........
The saga Continue