Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Saa tano si ndo hii ngoja tusubir kidogo tuone mheshimiwa atakuja na tamkoo ganii
 
Na utu uzima wako wote ukaamini kuwa makonda atapambana na hawa watu wa madawa. Pole sana!
 
Sijaona kiongozi yoyote kuanzia ccm mpaka nje ya ccm anaeweza kupambana na madawa ya kulevya hayupo, huyo kaamua kututoa kwenye reli tu ya matokeo ya form 4 hana zaidi
 
Kwahiyo makonda hii vita sio yake?
 
Tangu lini Gwajima alikuwa Mlezi WA CHADEMA? Hivi kina Msukuma na Nape nao Ni CHADEMA? Kusema vidagaa wanaonewa wanaachwa mapapa si ndo njia nzuri ya kugundua kuwa wapo Mapapa kwenye dawa za Kulevya na sii ajabu wanafichwa? Kuwa mwanaccm unahitaji kuwa mfu!
 
Unga haukamatwi hivyo labda dona kwa maneno maneno na ujanja ujanja tuu...
 
Kwanini asiende TBC ?? Tunakolipia kodi zetu .
Huko MAWINGU kuna nini si nimeskia nao wako kwenye ile list au atawasafisha kwenye tuhuma
Why mawingu ?

Mkuu, umefanya vizuri kunikumbusha kuhusu TBC, hivi kumbe bado ipo?
 
Huyo WEMA anaandaliwa mashtaka mengine ya kumtukana Mkuu wa mkoa na kutoa lugha zilizokosa maadili, Ili akipandiswa mahakamani ajibu tuhuma zote!
Ukweli maneno aliongea alikua polisi na chini ya ulinzi ni mahijiano . Yeye hakua na simu hivyo walotoa nje ndio wamevunja masharti ya mahojiano....
 
Kuna sehem wema alimuita boss mat*k* km ukisikiza ile clip vizur
Hio ni clip akiwa chini ya ulinzi wa polisi. Ilikua ni sehemu ya mahijiano.
Hakua na simu. Aloyatoa nje ndo kafanya kosa
 
Hio ni clip akiwa chini ya ulinzi wa polisi. Ilikua ni sehemu ya mahijiano.
Hakua na simu. Aloyatoa nje ndo kafanya kosa
Kwa hyo kutukana ni sawa?mi naona aliyemrecord na kuisambaza ndo kamuharibia wema ila aliyerecord sidhan km atapata tuhuma
 
Mkuu wa mkoa anaongea saa 5 ya kingereza yaani saa 11 au mbona giza tu na sasa ni saa tano inaelekea na nusu au kaahilisha.
mwenye kujua atujuze popcorn zinaisha
 
Mkuu wa mkoa anaongea saa 5 ya kingereza yaani saa 11 au mbona giza tu na sasa ni saa tano inaelekea na nusu au kaahilisha.
mwenye kujua atujuze popcorn zinaisha
 
Respect,watu tulivyokuwa tunasema hii vita ni ngumu tulitarajia lazima watajitokeza wengi kumpinga Makonda.Angalia jinsi Polisi,Mwigulu walivyokuwa kimya
Ukimya wa Mwigulu kuhusiana na swala hili unatia mashaka sana.Jamani hata pamoja na bosi wake kuliongelea,yeye hajaamsha hata mdomo!Why?Kweli ni vigumu kujua nia halisi ya RC. Makonda katika hili swala,lakini yeye kama Waziri wa Mambo ya Ndani alipaswa kutoa msimamo wake hata kama ni kwa ku-pretend tu.
 
Mkuu wa mkoa anaongea saa 5 ya kingereza au? yaani saa 11 au mbona giza tu na sasa ni saa tano inaelekea na nusu au kaahilisha.
mwenye kujua atujuze popcorn zinaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…