Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Pole sana kama haya ndio unayoyaona muhimu kuliko watoto wa kitanzania wanaoumia na madawa ya kulevya.Hahaha, hana wa kumlinda huko, hana maslahi....huku kwenye sembe kuna wadau wake. Kama alishawahi kwenda hata Nairobi kabla ya kuwa RC, sitashangaa kwenda mapumziko Dubai au Paris
Amalizie kwanza kuwata wauza unga aanze na lizoneMkuu wa mkoa unaendelea kulisaidia taifa kuondokana na biashara ya madawa ya kulevya.
Na umeonyesha ujasiri na ukomavu pale ulipotaja majina yao kwenye vyombo vya habari, na kuwataka uliwataja kufika polisi.
Inamaanisha unaweza kujenga taifa likaondokana na biashara ya madawa ya kulevya ambazo kila mtu anajua madhara yake.
Lengo letu ni taifa lisonge mbele siyo tu kwa kumaliza hii vita ya madawa ya kulevya.
Kwa kuwa umekuwa jasiri wa kutaja majina na tunakupa hongera.
*SIYO MADAWA YA KULEVYA PEKEE YAKE YANORUDISHA NYUMA MAENDELEO YA TAIFA HATA WALIOTUIBIA FEDHA ZA TAIFA LETU WAMETURUDISHA NYUMA*
NAOMBA:-
TUNAKUOMBA UWATAJE MAJINA NA WAJE KITUONI WARUDISHE FEDHA.
1.LUGUMI
2.ESCROW
3.WALIOFICHA FEDHA NJE YA NCHI MAJINA YAPO.
TUNAKUOMBA KUPITIA TV NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI WAITE KITUONI KWA KAMANDA SIRO.
Kweli kabisa maana kwa maana hiyo humanisha kuwa wao hawakosei na hawapaswi kusemwa maana wao wanaita n udhalilishajiKwetu sisi wenye umri mkubwa kidogo hoja ya wabunge kuita watu bungeni ati kwa kisingizio cha kudhalilishwa hakikuanza leo. Mwanzoni wa miaka ya 2000 kuna Mhariri aliwahi kuitwa kwa sababu gazeti lake lilichapisha 'habari za kudhalilisha wabunge'.
Kwa kipindi cha takribani mwaka mmoja wabunge hususani wa upinzani wamekuwa wakipigania kile kinachoitwa 'udikteta' wa raisi, kwamba hataki kukosolewa. wamesema kila aina ya lugha chafu hadi kufikia 'kupanga njama za mauaji' kwa kisingizio cha unabii lakini haya yote yanaonekana ni demokrasia.
Zitto Kabwe akijenga hoja amesema 'kila muhimili una wivu' sasa kama ni hivyo kwanini hakuna heshima kwa Raisi (mhimili wa dola)? Kila kukicha mmewatukana wakuu wa mikoa,wilaya kuwa ni vibaraka je huu si udhalilishaji?
Kama Makonda eti kwa tuhuma za kusema 'wabunge wanachekesha, wanasinzia' amedhalilisha bunge na wabunge kiasi cha kutoa hoja afutwe kazi basi hatuna uhalali wa kumtetea Lema na Mkewe kwa kumdhalilisha Raisi Dr.Magufuli na RC Gambo tena kwa ushahidi.
wakiwajibika Makonda na Mnyeti basi Lema,Lissu,Mke wa Lema na wengineo hawatapona kwani hukumu hiyo ya wabunge inatengeneza 'rejeo' la mhimili mmoja kutoingilia mhimili mwingine kuwa ni kosa.
Leo wanaojiita wanademokrasia' wanatumia kanuni za bunge kuwaminya wakosoaji wa wabunge, Leo mbunge anaongopa eti kapigiwa simu huku anayemshitaki hayupo bungeni? ni wapi sasa tuna uhalali wa kudai 'natural justice'
Hoja hii ya wabunge sasa inahalalisha ni haki na sahihi kabisa kwa Dola kuwachukulia hatua wabunge wote wanaokosoa na kumdhihaki Raisi nje ya bunge.
Mkuu wa mkoa unaendelea kulisaidia taifa kuondokana na biashara ya madawa ya kulevya.
Na umeonyesha ujasiri na ukomavu pale ulipotaja majina yao kwenye vyombo vya habari, na kuwataka uliwataja kufika polisi.
Inamaanisha unaweza kujenga taifa likaondokana na biashara ya madawa ya kulevya ambazo kila mtu anajua madhara yake.
Lengo letu ni taifa lisonge mbele siyo tu kwa kumaliza hii vita ya madawa ya kulevya.
Kwa kuwa umekuwa jasiri wa kutaja majina na tunakupa hongera.
*SIYO MADAWA YA KULEVYA PEKEE YAKE YANORUDISHA NYUMA MAENDELEO YA TAIFA HATA WALIOTUIBIA FEDHA ZA TAIFA LETU WAMETURUDISHA NYUMA*
NAOMBA:-
TUNAKUOMBA UWATAJE MAJINA NA WAJE KITUONI WARUDISHE FEDHA.
1.LUGUMI
2.ESCROW
3.WALIOFICHA FEDHA NJE YA NCHI MAJINA YAPO.
TUNAKUOMBA KUPITIA TV NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI WAITE KITUONI KWA KAMANDA SIRO.
Mkuu kw hiyo wabunge wasisemwe? wasikosolewe? wauze mihadarati? wafanye watakalo? kama ambavyo tunamkosoa raisi lazima kila mtu akosolewe, sasa kwa hili la wabunge kuwanyamazisha wanaowakosoa inahalalisha dola kunyamazisha wanaikosoa. Haya, Kwa msingi huu Lema na Mkewe hawatapona kwa kuukosoa mhimili wa dola kama Makonda atakuwa na hatia kwa kuwakosoa wabunge.Serikali lazima isemwe.......
Mahakama lazima isemwe .....
Rais kachaguliwa na wananchi na wabunge wamechaguliwa na wananchi hivyo bunge kumsema Rais( Serikali) ni wajibu wake.......
Msituletee porojo za kichama kimoja na Mawazo mgando ya kupiga mapambio kwa kila kitu......
Kama rais na serikali Yake hawataki kusemwa dawa ni kujiuzulu tu......
Awaite kwani yeye anamamlaka gani?
Ni nani katika nchi hii, vita hii ya ufisadi inawatu wake ambao wanalindana tu
Mbona tuliwasema juzi hapo baada ya kuhongwa mil 10? Kwani walifanyaje?....Mkuu kw hiyo wabunge wasisemwe? wasikosolewe? wauze mihadarati? wafanye watakalo? kama ambavyo tunamkosoa raisi lazima kila mtu akosolewe, sasa kwa hili la wabunge kuwanyamazisha wanaowakosoa inahalalisha dola kunyamazisha wanaikosoa. Haya, Kwa msingi huu Lema na Mkewe hawatapona kwa kuukosoa mhimili wa dola kama Makonda atakuwa na hatia kwa kuwakosoa wabunge.
Ficha uwezo wako wa kufikiria!Tanzania ilimuhitaji Makonda na Magufuli.