Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Watarudi tena kwenye uhakiki wa waajiriwa hewa na wenye vyeti fake. Serikali iliyojaa ubabaishaji ndivyo ilivyooo!!
Nakuunga mkono hii ni serikali ya ubabaishaji kabisa. Hao watumishi hewa tunaoaminishwa wameondolewa mbona hakuna jipya wamefanyiwa watumishi halali waliobaki.
 
Reactions: BAK
Am not blaming any body ila tujue kuwa tuna tatizo tena kubwa tu na tuna mass kubwa tu imeangamia na wengine kupoteza maisha.

Bila kuangalia rank wala jina la MTU watanzania tuungane ktk hii vita otherwise naona kuna dalili za sabotage za wazi kabisa kwa visingizio vya sheria na wajibu.

Bila hivyo tunatwanga maji kwenye kinu na yote yatapita na biashara nitarudi pale pale.

Sabotage.. Sabotage... Sabotage!!!
 
Aisee hii ishu ni bonge la janga eti inasadikika hadi mjengoni wapo?!! Kuna mashoga zaidi ya 200K Tz mmhh. Trump inabidi atokezee
 
Mkuu nailewa dhamira yako lakini ujue kila kitu kina wakukisimamia. Nani anapaswa kuongoza hii vita? Si kila mtanzania. Mi sijui hata huo unga unafananaje. Sijui hata wanaununua wapi. Watu kama mimi ni wengi. La msingi wenye mamlaka wafanye kazi na si kutafuta umaarufu.
 
Dah. I guess Itakuwa viroba na fegi[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Siku hizi kila mtu anatega sikio kuona ni epsod ya ngapi inafata na itakuweje!!! Hii ni Season ya unga! !!!
 
Siku hizi kila mtu anatega sikio kuona ni epsod ya ngapi inafata na itakuweje!!! Hii ni Season ya unga! !!!
Ni kweli kabisa mkuu. Tatizo episode hizi huwa zinaishia njiani. Mwisho wake huwa hatuupati
 
G Lema yuko jela mpaka sasa, halafu bila aibu watu tunajiita sisi ni chaguo la Mungu?
Ewe Mungu tunakuomba sikiliza kilio cha waliodhulimiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…