Lakini ashukuru tunamsaidia mengi. Hapa ndiyo sehemu pekee utaambiwa kwamba uko uchi au umevaa.hakuna sehemu inawaumiza kichwa kama hapa huyo malaika akija angeweza kuja azime kwanza humu kuwafumba midomo kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini ashukuru tunamsaidia mengi. Hapa ndiyo sehemu pekee utaambiwa kwamba uko uchi au umevaa.hakuna sehemu inawaumiza kichwa kama hapa huyo malaika akija angeweza kuja azime kwanza humu kuwafumba midomo kwanza
KabisaWatarudi tena kwenye uhakiki wa waajiriwa hewa na wenye vyeti fake. Serikali iliyojaa ubabaishaji ndivyo ilivyooo!!
Hawezi kuongelea hata siku moja, atakuwa anatafuta visingizio basi.Matokeo ya kidato cha nne ni mwiba kwake
Nakuunga mkono hii ni serikali ya ubabaishaji kabisa. Hao watumishi hewa tunaoaminishwa wameondolewa mbona hakuna jipya wamefanyiwa watumishi halali waliobaki.Watarudi tena kwenye uhakiki wa waajiriwa hewa na wenye vyeti fake. Serikali iliyojaa ubabaishaji ndivyo ilivyooo!!
ExemptedSadaka kanisani na msikitini kukatwa kodi
swissme
Wahamiaji haramu[/QUOTE
......
.....79%
Hii inabidi iende sekta ya MADini, tourism, Ujenzi kuna vijipu huku hatarivibali feki vya kazi
Am not blaming any body ila tujue kuwa tuna tatizo tena kubwa tu na tuna mass kubwa tu imeangamia na wengine kupoteza maisha.Hilo ni kweli lakini kama uijuavyo nchi yako hilo limepita. Jaribu kuvuta kumbukumbu ni jambo gani limewahi kufatiliwa hadi mwisho na tukaona matokeo chanya? Hivi unataja watu wanaojihusisha kwenye madawa ya kulevya kwa a.k.a zao kweli wengi eti huwajui majina unataja mmiliki wa..... na wengine unawakosea majina yao...... Are you serious with what you are doing!!
Hilo lilishapita mkuu kitambo na liliwashindaWahamiaji haramu
Aisee hii ishu ni bonge la janga eti inasadikika hadi mjengoni wapo?!! Kuna mashoga zaidi ya 200K Tz mmhh. Trump inabidi atokezeeNext issue ni mashoga maana mh naibu wazir amesema atakuja kutujuza mapunga...wasiwasi wangu ni kuwa kashawalinda wakubwa na cerebrities maana kasema atataja wale wanaojiuza mtandaoni tuu ila sio watuhumiwa wa ushoga so akna madimpoz,na adui wa mange kimambia nahsi washapona!
Halikuanzishwa na Makonda, mkuu wa kaya anamsikiliza Makonda anachotaka.Hilo lilishapita mkuu kitambo na liliwashinda
Mkuu nailewa dhamira yako lakini ujue kila kitu kina wakukisimamia. Nani anapaswa kuongoza hii vita? Si kila mtanzania. Mi sijui hata huo unga unafananaje. Sijui hata wanaununua wapi. Watu kama mimi ni wengi. La msingi wenye mamlaka wafanye kazi na si kutafuta umaarufu.Am not blaming any body ila tujue kuwa tuna tatizo tena kubwa tu na tuna mass kubwa tu imeangamia na wengine kupoteza maisha.
Bila kuangalia rank wala jina la MTU watanzania tuungane ktk hii vita otherwise naona kuna dalili za sabotage za wazi kabisa kwa visingizio vya sheria na wajibu.
Bila hivyo tunatwanga maji kwenye kinu na yote yatapita na biashara nitarudi pale pale.
Sabotage.. Sabotage... Sabotage!!!
Ni kweli kabisa mkuu. Tatizo episode hizi huwa zinaishia njiani. Mwisho wake huwa hatuupatiSiku hizi kila mtu anatega sikio kuona ni epsod ya ngapi inafata na itakuweje!!! Hii ni Season ya unga! !!!