Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnataka kumtoa kwenye reli,akimaliza vita hii ndio mtamhoji mambo yake binafsiBut still Makonda ana hoja ya kujibu kuhusu huo utajiri wake!
kwanini umeona Mbowe tu ndo kasingiziwa, unafiki utatubakisha hapahapa tulipo watanzaniaNaona baada ya kukosa Mbowe kila mahali naona hii ndiyo ngazi ya mwisho kumbambikizia madawa any way ngoja tusubiri ushahidi
Lazima kielewekeNilijua tu hizi nguvu za kuwatetea wauza Sembe ni kwamba chadema wanahusika na uuzaji Sembe, sasa Tundu Lisu abanwe mpka aseme Sembe huwa wanatoa wapi!
Mbona Ridhiwan Kikwete Hajatajwa hapo sasa?
Yani makelele kiasi cha kwamba wanawapa room wahusika kupoteza ushahidi...jokes...isitoshe kesi za namna hii zinategemea Sana ushahidi..kwanini uchunguzi usifanyike tukatangaziwa mrejesho wa majina ya waliohukumiwa...Nape alikua na ushauri mzuri ila vichwa vingine vimejaa ujuzi havihitaji extra from watu wa pembeniVita dhidi ya madawa ya kulevya inahitaji mikakati na umakini wa hali ya juu lakini kwa jinsi hali inavyoenda sidhani kama kuna mwanga mbele zaidi ya siasa za muda mfupi
Namshangaa sana Mwigulu!Respect,watu tulivyokuwa tunasema hii vita ni ngumu tulitarajia lazima watajitokeza wengi kumpinga Makonda.Angalia jinsi Polisi,Mwigulu walivyokuwa kimya
Muambie yeye aijaze tu Ila wakiruka watoe taarifa kwa wazee wa angaDereva wa helikopta yake ni ndugu yangu, ananiambia kapigiwa simu na Mchungaji msaidizi wa Gwajima ajze Helikopta full tank...🙂
Upo sawa kakaMakonda anapaswa aungwe mkono kwa nguvu zote.
hahahahahahahahahahahaAkomae, vita dhidi ya madawa ya kulevya ni kali sana.
Ndio maana hao akina MSUKUMA wamenyanyuka juu yake baada ya kuona maslahi yao yameguswa!
Ila pale alimpotaja idd azan nimemuelewa sana...nasikia wanasema gwajima kajaza helikopta mafuta full tank...[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]Nazitaongeza nyingi sana.
Ngoja tuone nini kitafuata au kuna awamu ya tatu
Kuna haja Kubwa ya hawa Jamaa Kurudi tena Shule za Jornalism aisee. Mwandishi wa habari anapaswa Kuwa Msomi wa Hali ya Juu.
Labda nae ni mmoja wao.Nawashauri Idara ya Usalama wa Taifa kumdhibiti Makonda.
Musukuma humpongezi?Ndio Maana Naipenda CCM!
Inazalishwa makada wakakamavu na wanaojiamini!
Asante Makonda!
Umethubutu!
Gwajima katajwa kidini.Mbowe katajwa kisiasa
Kuna hidden agenda mbona mwenye St.Maria hajatajwa??Kupitia Clouds TV Makonda anamtaja Mbowe kuwa anahusika na madawa ya kulevya. Jee haya ni mapambano ya madawa ya kulevya au kuna hidden agenda?