Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Kuna muda inatakiwa tuwe tunatumia akili japo kidogo, wamesema wametangaza vita na watumiaji na wauzaji wa madawa ya kulevya ok fine, sasa tujiulize tu haya mwaswali;
  • Kwanini utumie majina ya watu yasiyotambulika kisheria kuwaita kwa ajili ya kuwahoji at the same time unasema ulianza uchunguzi muda mrefu (Kwa mkono mrefu wa serikali umeshindwaje kujua majina halisi ya hao watuhimiwa?????)
  • Unatangaza leo kumuita mtu unataka aende kujisalimisha baada ya siku 2-3 (Tena ijumaa ili akikosa dhamana akae hadi jumatatu(mtuhumiwa), kibaya zaidi akija central anahojiwa kisha anaambiwa twende nyumbani kwako tukafanye uchunguzi - SERIOUSLYYYYYYYYYYY????????? unategemea utakuta nini????????.
  • Serikali imeshindwa kujua majina halisi ya watu wake, hata majina ya hao wanaowaita wamiliki wa hotel kubwa kama Sleepway, Sea Cliff !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Huu ni utani,
  • Kwa jambo kubwa kama hili ambalo linaangamiza vijana wengi, unaenda kwenye media na karatasi iliyoandika kwa mkono (Picha za ofisini kwako zinaonesha unatumia computer ya monitor kubwa ya apple), huku hata hukijui kilichoandikwa humo mfano unataja mtu wa kinondoni Idd Azan Zungu sijui hata kama yupo!!!!, mdomoni unasema mbunge wa hai unataja jina la baba wa mbunge wa Hai (Aikael Mbowe), kwenye karatasi hakuna baba wala mtoto, TUKUELEWEJE MHESHIMIWA!!!!!!!
 
Muilizeni kama ameandaa fidia kuwalipa iwapo hawatopatikana na ushahidi, hii kesi tamu sana asidhanie kuwataja kina mbowe au manji watamvumilia kuwaharibia jina
Mwaka huu umeanza na sinema tamu sana mkuu,tuandae tu popcorn [emoji39] [emoji489]
Mabilioni ya shilingi yanaenda kutoka tena...
 
Respect,watu tulivyokuwa tunasema hii vita ni ngumu tulitarajia lazima watajitokeza wengi kumpinga Makonda.Angalia jinsi Polisi,Mwigulu walivyokuwa kimya
Kuwa kimya sio kupinga[emoji4]
 
hakuna aliye mkamilifu ila kwa hicho kidogo alicho fanya makondo ni kikubwa kwa upande mmoja au mwingine.
baadhi ya wahusika tulikuwa tunawataja tu humu JF lakini hawakuwahi kuitwa wala kutajwa na serikali.
hii kitu alivyo anzisha anatakiwa ku ungwa mkono.........!
 
c51f8eb9d98705a5427c168a6fd4cf51.jpg



Sijui mbowe atakutwa anatumia Anasafirisha Anauza Ananunua
Anafadhili
Hatasijui Ila like seriously Nimechoka sanaa nahisi jasho.

Jamani sijui tumeikosea nini serikali ya ccm maana huu sasa nizaidi ya uuwaji wa vyama pinzani Tanzania kweli ccm akili kubwaaaz kwa hapa mme win 200%

Mme mfungia biashara zake haijatosha kumlimbikizia kodi haija tosha pia sasa kumuweka ktk
Orodha ya watuhumiwa wa dawa za kulevya hapo Anasubiriwa lowassa sasa picha liwe the end

I know jf mtaifuta hii lakini narudia tenaa

Is not fear kabisaa huuu nimpango wa ukandamizwaji democracy nchini

Eemungu tuhurumie maana
Lumumba mmetushika Kunako
No kufurukuta 2020 so sad [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Nasikia Gwajima na Makonda wanatoka kijiji kimoja!!?

Ya kweli haya!!?
 
Kuna baadhi vyama mpaka leo havieleweki vinasimamia maslahi ya nani, kuna wawakilishi wao walikuwa wanapiga sana kelele juu ya madawa ya kulevya leo mtu anasimamia wao wanakuja juu kutetea hao wahusika kila siku mapovu yanawatoka juu ya mapapa wa madawa hamjui kuwa viongozi wenu pia ni wahusika wakuu wa madawa nani asiye urafiki wa Lowassa na Rostam, rostam na familia yake ni mmoja wa wahusika wakuu.
Je nani hajui kuhusu GWAJIMA ambaye ndiye alkua mlez wa CHADEMA nani hajui juu ya haya.

Naona humu tunashabikia tunapiga kelele juu ya kitu ambacho hatukijui, msifuate upepo nyie bendera.
Kwani umesahau hakuna upinzani nchi hii,kuna wapiga gombooo
 
Mí Nataka Niulize moja tu, hii nchi kuna askari polisi na usalama, hii nchi kuna vitendea kazi ambavyo vina kazi yakutambua mizigo inayo ingia na kutoka huko Airport na bandarini. Sasa haya madawa yapitia wapi yakitokea huko Brazil na Afghanistan?

Hii kuwataja wapinzani kujishughulisha na madawa ya kulevya ni siasa za kitoto, tunajua mapapa wakubwa ni kutoka vyama tawala ambao hawasumbuliwi na vyombo vya usalama.

Musilete siasa kwenye masuala ya kitaifa, anza kusafisha CCM kwanza ndio drugs dealers
 
Mwanzo nilimuunga mkono Mkono jamaa nikidhani hii vita ni for real, hata hivyo Hukumu ya Jana imethibitisha kuwa hao waliokamatwa ni insignificant, hawana impact yoyote katika biashara ya madawa!

Wema naona ameamua kumtunishia msuli wa kimamlaka!

Hii ni aibu!
Wewe umeona msuli gani?matumizi ya mdomo yaangaliwe ulimi unaponza
 
Back
Top Bottom