LAPTOP2016
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 728
- 2,140
Kuna muda inatakiwa tuwe tunatumia akili japo kidogo, wamesema wametangaza vita na watumiaji na wauzaji wa madawa ya kulevya ok fine, sasa tujiulize tu haya mwaswali;
- Kwanini utumie majina ya watu yasiyotambulika kisheria kuwaita kwa ajili ya kuwahoji at the same time unasema ulianza uchunguzi muda mrefu (Kwa mkono mrefu wa serikali umeshindwaje kujua majina halisi ya hao watuhimiwa?????)
- Unatangaza leo kumuita mtu unataka aende kujisalimisha baada ya siku 2-3 (Tena ijumaa ili akikosa dhamana akae hadi jumatatu(mtuhumiwa), kibaya zaidi akija central anahojiwa kisha anaambiwa twende nyumbani kwako tukafanye uchunguzi - SERIOUSLYYYYYYYYYYY????????? unategemea utakuta nini????????.
- Serikali imeshindwa kujua majina halisi ya watu wake, hata majina ya hao wanaowaita wamiliki wa hotel kubwa kama Sleepway, Sea Cliff !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Huu ni utani,
- Kwa jambo kubwa kama hili ambalo linaangamiza vijana wengi, unaenda kwenye media na karatasi iliyoandika kwa mkono (Picha za ofisini kwako zinaonesha unatumia computer ya monitor kubwa ya apple), huku hata hukijui kilichoandikwa humo mfano unataja mtu wa kinondoni Idd Azan Zungu sijui hata kama yupo!!!!, mdomoni unasema mbunge wa hai unataja jina la baba wa mbunge wa Hai (Aikael Mbowe), kwenye karatasi hakuna baba wala mtoto, TUKUELEWEJE MHESHIMIWA!!!!!!!