Vita dhidi ya Rais Samia ni vita dhidi Tanzania, hatutakubali mchafue taswira ya Rais wetu

Ngungenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
2,953
Reaction score
3,459
Rais Samia, Mama Mnyenyekevu, Mzalendo na Mchamungu,
ni kiongozi alitejawa akili za ajabu na mtu mwenye uelewa mkubwa anafanay kazi usiku na mchana kuhakikisha Tanzania inapata maendeleo.

Kikundi cha wapuuzi wachache wanaopambana kuchafua maamuzi na utendaji kazi wa Rais Samia tunatangaza vita kali dhidi yenu kuwa hamtaweza.
Watanzania tuko nyuma na Rais Samia na tutapambana kuhakikisha anaongoza kwa amani.
Wananchi wameanza kuneemeka
Mzunguko wa pesa unarudi,
Biashara zinakuwa watu wanaweza kukopa na kufanya marejesho,
Bandari inaongeza ukusanyaji wa mapato kuliko kipindi kilichopita,
Shule, Hospitali na Zahanati zinajengwa kila mahali nchini,
Hakuna mtu aliyeuwawa wala kupotezwa,
Ma benki wameongeza kukopesha watanzania,
Uwekezaji umeongezeka watu wanakuja Tanzania kuwekeza ili vijana wapate ajira,

Sasa tunatoa onyo kuwa icho kikundi chenu ambacho mnataka kuchafua taswira ya Rais Samia hamtaweza,
Tumetangaza vita na kwenye vita hii hamtaweza. Rais Samia yupo sana na ataendelea kuleta maendeleo Tanzania.
Magugu yote yatang'olewa hatuwezi kuwa na watu wasaliti ndani ya Chama.

RAIS SAMIA
#KAZI IENDELEE
 
Aisee 🤔🤔
 
Anarusha mawe na kusahau kuwa nyumba yake ni ya vioo, anajaribu kuficha udhaifu wake. Urais umempwaya sana
 
Kina nani
Wanamchafuaje kwa mfano
 
Mhuni mbobezi kazini 😁😁
 
🚮🚮
 
Chifu Hangaya ni Rais wa mchongo.Anapaswa kupigwa vitu na kila mtu hadi wafu.

Chifu Hangaya hana kibali cha wananchi.Ni Rais mwenye kibali cha mapolisi.Ni Rais wa aibu.

Aliikuta bei ya petroli 1,800 kwa lita 1 saizi ni 2,520. hata mwaka hajamaliza Uraisi unampwaya vibaya sana. Mzigo mkubwa unawaendea wananchi wanyonge
bei imepanda kwenye soko la dunia ndio maana Joe Biden alitoa mapipa ya mafuta ku regulate bei hio duniani
kumbukeni watumiaji wakuu wa mafuta wamerudi kwenye uzalishaji baada ya korona kupungua na wazalishaji ndio wameanza operation zao
 
Miezi 7 kakopa Trillion 8. Kazi gani hiyo anafanya?
Kazi kubwa inafanyika
Trillion 1 tumeona matunda yake
Trillion 6 ziko on the way zikifika utaona matunda yake
 
bei imepanda kwenye soko la dunia ndio maana Joe Biden alitoa mapipa ya mafuta ku regulate bei hio duniani
kumbukeni watumiaji wakuu wa mafuta wamerudi kwenye uzalishaji baada ya korona kupungua na wazalishaji ndio wameanza operation zao
Na mbolea nayo imepanda kwenye soko la dunia
 
Rais Samia, Mama Mnyenyekevu, Mzalendo na Mchamungu,
ni kiongozi alitejawa akili za ajabu na mtu mwenye uelewa mkubwa anafanay kazi usiku na mchana kuhakikisha Tanzania inapata maendeleo.

Kikundi cha wapuuzi wachache wanaopambana kuchafua maamuzi na utendaji kazi wa Rais Samia tunatangaza vita kali dhidi yenu kuwa hamtaweza.
Watanzania tuko nyuma na Rais Samia na tutapambana kuhakikisha anaongoza kwa amani.
Wananchi wameanza kuneemeka
Mzunguko wa pesa unarudi,
Biashara zinakuwa watu wanaweza kukopa na kufanya marejesho,
Bandari inaongeza ukusanyaji wa mapato kuliko kipindi kilichopita,
Shule, Hospitali na Zahanati zinajengwa kila mahali nchini,
Hakuna mtu aliyeuwawa wala kupotezwa,
Ma benki wameongeza kukopesha watanzania,
Uwekezaji umeongezeka watu wanakuja Tanzania kuwekeza ili vijana wapate ajira,

Sasa tunatoa onyo kuwa icho kikundi chenu ambacho mnataka kuchafua taswira ya Rais Samia hamtaweza,
Tumetangaza vita na kwenye vita hii hamtaweza. Rais Samia yupo sana na ataendelea kuleta maendeleo Tanzania.
Magugu yote yatang'olewa hatuwezi kuwa na watu wasaliti ndani ya Chama.

RAIS SAMIA
#KAZI IENDELEE
Wakati mwingine jitendee haki wewe mwenyewe,huu uchawa wako ni zaidi ya upumbavu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom