Vita dhidi ya Rais Samia ni vita dhidi Tanzania, hatutakubali mchafue taswira ya Rais wetu

[emoji23][emoji23]Hata aongoze miaka Ishirini hatokuja kuwa bora...ni failure from day 1.
 
bei imepanda kwenye soko la dunia ndio maana Joe Biden alitoa mapipa ya mafuta ku regulate bei hio duniani
kumbukeni watumiaji wakuu wa mafuta wamerudi kwenye uzalishaji baada ya korona kupungua na wazalishaji ndio wameanza operation zao
Sawa, mabati nondo na cement nako pametokea nn hata vipande bei?
Na gesi, sukari.............mtapata taabu sana kumuuza 2025!

Mfumuko wa bei + tozo za ajabu, unatuumiza sana wananchi. Mnajifanya mnalinda viwanda vyenu vya kinyonyaji" viwanda vya pombe, sigara, azam nk nani anavilinda? Mbona vinafanya vzri!?

Tangu mwaka 1961 mpka leo ccm imeshindwa hata kutokomeza malaria tu! Ni chama kilichfeli kuwaletea wananchi maendeleo.

"2025 kataa wahuni"
 
Et watanzania mko nyuma , Sema Wahuni mko nyuma na samia
 
Et watanzania mko nyuma , Sema Wahuni mko nyuma na samia
Halafu anasema eti "hakuna mtu alieuwawa wala kupotezwa"

Lakini hasemi (kabla yake) wangapi waliuwawa au kupotezwa. Ni wahuni tu hawa!
 
Naunga mkono hoja
P
 
wamwache mama afanye kazi maana huu ndo muda wake kufanya kazi
 
Pole! Iko siku utasifia harufu nzuri ya chooni. Yaani niumie kwa sababu ya Samia tu! Why? Mbona wadhaifu ni wengi pamoja na wewe na tunakutana nao kwenye dla dala kila siku? Hapa tunajadili sifa kumwangwa kusikotakiwa.
 
Huwezi kumfananisha na dikteta magufuli, kaigomea Corona,mwishoe ikasepanae
Kufananisha ni kitu gani? Nawe ni hao hao! Ina maana huoni hata mapungufu ya elimu yake? Alisema anatamani Ph.D ya wapi vile! Mwambie amuone Msukuma kwa maelekezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…