Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

Kama hayo Ndio maagizo ya dini yetu mbona tunaishi na wasiokua waislamu na hatufanyi hivyo?
Tangu umezaliwa umewona waislamu wangapi?
Mara ngapi umewaona wakiwasukumiza kwenye shimo?
Kuna vitu vingine havihitaji uwe na PhD kuelewa
Kama nilivyo sema awali, dini ni imani wewe endelea kuamini waislamu wanaamini vile wakati Sisi imani yetu ipo tofauti
Baba yangu anaitwa mussa wee ukilazimisha anaitwa Issa mimi takua nakupotezea tu muda maana mimi namjua baba yangu kuliko wewe
 
Apana hao watu sio magaidi, rejea tafsiri ya gaidi
Hao sio magaidi maana tafsiri halisi ya ugaidi (terrorism ) ni makundi ya kiislamu yanayo tafuta haki kwa njia ya fujo (violence ) so kua gaidi lazima uwe muislamu
 
Kama hauwavizii, hauwazingiri, hauwafungi minyororo na wala hauwasukumizi mtaroni wasiokuwa waislamu wewe haufuati mafundisho ya Muhammad na Allah
 
Kama hauwavizii, hauwazingiri, hauwafungi minyororo na wala hauwasukumizi mtaroni wasiokuwa waislamu wewe haufuati mafundisho ya Muhammad na Allahkwa
Kwa hio ulimwenguni hakuna waislami?
Maana hakuna anafanya hivyo
Sasa wewe unaamini wote ni makafiri wenzako?
 
Kwa hio ulimwenguni hakuna waislami?
Maana hakuna anafanya hivyo
Sasa wewe unaamini wote ni makafiri wenzako?
Ndio Kama hamfuati Muhammad na Allah hakuna waislamu , waislamu wamebakia vile vikundi vya ugaidi wale wanamfuata koran vizuri
 
Kweli hili swala ni gumu kwangu
Mimi nipo hapa sio tu nakemea Bali pia napinga kwa hoja zote lakini bado unanilazimisha kua mimi naunga mkono ugaidi
Sijui nifanyaje Ndio ujue mimi nalaani ugaidi
I am out of idea
Basi Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni
 
Kweli hili swala ni gumu kwangu
Mimi nipo hapa sio tu nakemea Bali pia napinga kwa hoja zote lakini bado unanilazimisha kua mimi naunga mkono ugaidi
Sijui nifanyaje Ndio ujue mimi nalaani ugaidi
I am out of idea
Ok. Mimi nimekuelewa kuwa unapinga ugaidi. Lakini unapinga pia vikundi vya kigaidi kama al shabab, boko haram na al qaida?
 
Ww ndio akili huna hujui hata hii dunia imetawaliwa na propaganda kila sehemu.kwani ww huwezi kuua huku ukisema Allahu akbar ???? Kusema Allahu akbar na kufuga ndevu haikufanyi kuwa muislamu

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Vipi sadam husein alivyoua maelfu ya waislam wenzake kwa gesi.vipi shia wanaposwali wanalipuliwa misikitini na waislam wenzao.Vipi shia na suni wanauana Iraq.Hao wote ni mabeberu
 
Hata hao bokoharam walishawai kukamatwa kwenye tukio wanavamia wakadakwa katika kuchunguzwa na kuhojiwa ikaonekana ni wakiristo ila.police wakavunga kwakuwa inajulikana ni project za watu zimeletwa KWA njia ya kanzu ya uislamu.

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza viongozi wa kiislamu unawajua??? Unataka uone makemeo wapi jamiiforums kwenye ulishawai kula tunda kimasihara..?

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Labda uislamu wa hivi mnafundishwa na askofu wenu ili chuki ziwaingie zaidi .kama unataka kujua uislamu utafute sehemu rasmi sio kuchukua kitu kimoja ukakitafsiri unavyojua ww alafu unakuja kwenye public kujifanya na ww unajua uislamu na kutaka kuuchafua.

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Ww ndio akili huna hujui hata hii dunia imetawaliwa na propaganda kila sehemu.kwani ww huwezi kuua huku ukisema Allahu akbar ???? Kusema Allahu akbar na kufuga ndevu haikufanyi kuwa muislamu

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Swali langu ambalo wenzako waliokutangulia hapa wamelikimbia wote ni hili:

Hao wanaosema "Alah akbar" na kuchafua jina la Alah na Uislam, Hao wanaotumia jina la Mungu wetu "Alah" kuua, Mmewahi kuwakemea popote pale?

Yaani mmewahi kujitokeza hata mara moja HADHARANI kuwakemea wasitumie Jina tukufu la Alah kwa hivyo vitendo vichafu?

Hili swali limekuwa gumu sana kwa wenzako na wote wamelikwepa, labda wewe unaweza kuwasaidia kujibu.
 
[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…