Vita dhidi ya ugaidi inavyotumika kudhulumu Waislamu

tunazungumzia watu kama al shabab na boko haram famba we. mbona unajifanya huelewi?
Kuwa na akili basi!

Unajua nimeandika hivyo kwa sababu gani au unajiandikia tu ili kujifurahisha, nimeandika hivyo kutokana na maswali aliyokuwa anaulizwa mtoa mada na wadau sasa nakushangaa wewe unavyoniletea habari za al shabaab!
 
Thread closed!

Umemaliza kila kitu ambacho nimekiongea hapo juu
 
Mzee mbona unaulizwa swali jepesi ila unalifanya liwe gumu!

Nalirudia tena kwa niaba ya..

Ikikojolewa Qur'an mnatoka hadharani makundi kwa makundi mkikemea na kulaani mbali zaidi mkitaka kumtia adabu mkojoleaji

Sasa umeombwa hapo umtaje angalau kiongozi hata mmoja aliyetoka hadharani na kukemea na kulaani hivi vitendo kama mfanyanvyo Qur'an ikifanyiwa kile kitendo
 
Kwanza viongozi wa kiislamu unawajua??? Unataka uone makemeo wapi jamiiforums kwenye ulishawai kula tunda kimasihara..?

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Unaona sasa mwingine huyu!

Unaleta habari za mimi kumjua kiongozi wa Kiislam, ishu iliyopo hapa ni wewe kuleta ushahidi wa viongozi wenu wakikemea huo ujinga basi
 
Majuzi Rais wa Ufaransa Macron aliwachana ukweli kuwa " Uislam ndo chanzo cha dunia kuteseka kupitia ugaidi" Waislam acha wammaindi imefikia hatua hadi baadhi ya nchi za Uarabuni kuacha kususia bidhaa za Ufaransa.

Lakini kwa wakati huo huo Waislam wanalalamika Macron kuisema vibaya dini hiyo lakini huwasikii wakikemea vile vikundi vya kigaidi ambavyo vinaifanya dunia kupitia wakati mgumu sasa unajiuliza hawa watu vipi
 
Kutaka kumfanya mtu kuamini namna unavyo amini wewe ni mzani tosha wa kupima fikra pana na fikra ndogo kabisa.

Wakuu mlio kuwepo kipindi cha mkasa wa ubalozi wa USA, Dar kushambuliwa kuna kiongozi wa dini ya uislamu alijitokeza kulaani kitendo kile?
 
Mkuu, sio kwamba hili swali halielewi. Amelielewa sana.
Nimeliuliza zaidi ya mara 10 ila jamaa anapiga danadana tu.

Na hii ni kwa sababu HANA JIBU, Hawezi kumtaja kiongozi yoyote aliyewahi kukemea kwa sababu huyo kiongozi HAYUPO.
 
Vile vikundi ni project zao za kueneza Uislam na kumtii Alah, wanaita Jihad.

Huwezi kuwasikia wakikemea hata siku moja.
 
Watu wamejazwa chuki ya uislamu
 
Wewe uliona mama zao wakibakwa?
 
Kenya,Mali, Tanzania (ubalozi wa USA), Nigeria,misri, Algeria, Uganda, Chad, nk.mamia waliuawa kwa jina la Allah
 
Shida hao magaidi wanatumia uislam kuwaponza waislam wenzao. Quran ni kitabu kizuri ila kuna wanaokitumia kuhalalisha ugaidi
Hawa magaidi Wanayoyatenda yote yapo sahihi kwenye hicho kitabu kizuri.na ndio maana wanashindwa kuwakana. wakishughulikiwa wanaona unashughulikiwa uislamu
 
Waislamu wengi wanawachukia wamerekani,wazungu .ndio wanaongoza kuwafuta kwao ulaya!mpaka wanafia baharini kwa maelfu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…