Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
Hivi vitu viwili huwa viko hiviii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi napinga vikundi vyote vinavyoua watu wasio na hatia wawe ni vikundi au mmoja mmojaOk. Mimi nimekuelewa kuwa unapinga ugaidi. Lakini unapinga pia vikundi vya kigaidi kama al shabab, boko haram na al qaida?
Muslims and IslamMkuu naomba tafsiri yako fupi ya neno Ugaidi,
Kama hutajali lakini.
No kafiri sio Jina bayaKafiri ni wewe hapo na wenzako wa dini ya kiarabu
Basi itaneni hukohuko msikitini hilo jina ambalo sio bayaNo kafiri sio Jina baya
Kafiri ni mtu anapiga uislamu
Kuwa na akili basi!tunazungumzia watu kama al shabab na boko haram famba we. mbona unajifanya huelewi?
Thread closed!HUWEZI kuutenga Uislam na Ugaidi.! hapo awali niliwaza Kama Wewe kua Ugaidi ni watu tu wenye interest zako Ila 28.12.2020 nilibadili msimamo Kwa niliyoyaona. Tandahimba kijiji cha Michenjele,, unawasikia kabisa wanasema Takbiriiiii ,,,,Allah Akbar,, wamevaa makanzu na mandevu na evendence zilipatikana kua wanahifadhiwa Kwa baadhi ya misikiti ... wanajiita " Answar Sunna wa jamaa" KUTOKA SIKU HIYO NAJIHADHARI NA NYINYI
Mzee mbona unaulizwa swali jepesi ila unalifanya liwe gumu!Kutoka hadharani maana yake nini?
Au tuchukue maspika na gari tuzungumze dunia nzima?
Bottom line uliza uislamu unasemaje kuhusu mauaji ya watu wasio na hatia
Swala la nani anakemea na nani anapinga huwezi jua maana haupo na sisi
Pombe, zinaa, nguruwe nk ni haramu
Je umewahi kuona sheikh gani anakemea unavyotaka wewe?
Je kwa sababu hujawahi kusikia hadharani Ndio Pombe iwe halali?
Unaona sasa mwingine huyu!Kwanza viongozi wa kiislamu unawajua??? Unataka uone makemeo wapi jamiiforums kwenye ulishawai kula tunda kimasihara..?
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Mkuu, sio kwamba hili swali halielewi. Amelielewa sana.Mzee mbona unaulizwa swali jepesi ila unalifanya liwe gumu!
Nalirudia tena kwa niaba ya..
Ikikojolewa Qur'an mnatoka hadharani makundi kwa makundi mkikemea na kulaani mbali zaidi mkitaka kumtia adabu mkojoleaji
Sasa umeombwa hapo umtaje angalau kiongozi hata mmoja aliyetoka hadharani na kukemea na kulaani hivi vitendo kama mfanyanvyo Qur'an ikifanyiwa kile kitendo
Vile vikundi ni project zao za kueneza Uislam na kumtii Alah, wanaita Jihad.Majuzi Rais wa Ufaransa Macron aliwachana ukweli kuwa " Uislam ndo chanzo cha dunia kuteseka kupitia ugaidi" Waislam acha wammaindi imefikia hatua hadi baadhi ya nchi za Uarabuni kuacha kususia bidhaa za Ufaransa.
Lakini kwa wakati huo huo Waislam wanalalamika Macron kuisema vibaya dini hiyo lakini huwasikii wakikemea vile vikundi vya kigaidi ambavyo vinaifanya dunia kupitia wakati mgumu sasa unajiuliza hawa watu vipi
Watu wamejazwa chuki ya uislamuLabda uislamu wa hivi mnafundishwa na askofu wenu ili chuki ziwaingie zaidi .kama unataka kujua uislamu utafute sehemu rasmi sio kuchukua kitu kimoja ukakitafsiri unavyojua ww alafu unakuja kwenye public kujifanya na ww unajua uislamu na kutaka kuuchafua.
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Wewe uliona mama zao wakibakwa?Unawazungumzia watu Kama Iraq ambao walivamiwa kwa madai ya uongo ya silaha za nyuklia ambazo hazijapatikana wakishuhudia mama zao wanabakwa na wanajeshi wa Marekani. Hawa wakijitoa muhanga na kuua wanajeshi hao ndiyo unaulizia Kama wapo sahihi au hawapo sahihi?
Dini zingine hazina mafundisho ya kuua watu kwa kuwa tu Wana Imani tofauti.Wao huenda hawaonewi kwa vile dini zao zinakubaliana na ubepari na unyonyaji
Kenya,Mali, Tanzania (ubalozi wa USA), Nigeria,misri, Algeria, Uganda, Chad, nk.mamia waliuawa kwa jina la AllahUnawazungumzia watu Kama Iraq ambao walivamiwa kwa madai ya uongo ya silaha za nyuklia ambazo hazijapatikana wakishuhudia mama zao wanabakwa na wanajeshi wa Marekani. Hawa wakijitoa muhanga na kuua wanajeshi hao ndiyo unaulizia Kama wapo sahihi au hawapo sahihi?
Hawa magaidi Wanayoyatenda yote yapo sahihi kwenye hicho kitabu kizuri.na ndio maana wanashindwa kuwakana. wakishughulikiwa wanaona unashughulikiwa uislamuShida hao magaidi wanatumia uislam kuwaponza waislam wenzao. Quran ni kitabu kizuri ila kuna wanaokitumia kuhalalisha ugaidi