Ndio zao, waislam wote wa kusini mwa jangwa la sahara wamefanana vichwa. Wanajua kuonewa tuMtoa Mada ni Mweupe kichwan hajui kitu chochote kuhusu UGAIDI hajui chochote kuhusu CIA hajui chochote kuhusu vita baridi hajui chochote kuhusu mlengo wa vikundi vya kigaidi anachojua ni kuwa waislamu wanaonewa ndio maana ameanzisha Mada ambayo hawezi kujibu Ata swali dogo kuhusu kulipuliwa kwa ubarozi wa Marekani nchini Kenya na Tanzania hajui chochote yupo apa kulia Lia bila sababu mzungu amefata mafuta wenyew wameamisha magoli imekua vita ya kidini hopeless kabisa
Kwa nini unapinga maneno ya Allah na Muhammad.Ww uislamu umeijulia wapi?? Hadithi za mtume muhammad swallahullah alaih wasalam unazijua kuzitafsir ??? Au umeona sehemu kumeandikwa kiswahili unachukua kama ilivyo bila kujua mantiki yake ??? Hivi unajua mtume wetu alikuwa na ndugu wasio waislamu mbona hakuwaua ??? ACHA ujinga BAsi tumia hata akili yako
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
Mi sio muislamu ila ngoja nimsaidie kidogo mtoa mada kuna concept moja inasema hivo vikundi vimetengenezwa na mabeberu wenyewe ili kuweza kuchafua dini ya uislamu kwa manufaa yao wenyewe..Na sio kwamba wanashida na waislam kama waislam hapana wana shida na kuwatawala waarabu kwa ajili ya mali(madini,mafuta n.k). So mtoa mada anaeza kuwa sahihi kama hyo concept inaexist kweli ila target sio uislam ni waarabu ambao wengi ni waislamu.Wanadhuliwaje? Magaidi yote kina isis yanatakiwa kupigwa kabisa
NEWS...Una ushahidi ?
Sasa huoni kama umeshajijibu mwenyewe hapa kwamba akna hitler walivoshambuliwa kutoka na ugaidi.. Ko wewe umesikia ujerumani wakilalamika? Sas kwann waislam walalamike?Hitler ni mtu alieua watu wengi zaidi kwa muda mfuopi alikua Muislam?
Pablo escorber alikua muislamu?
Makundi ya kigaidi yanayo shughulika na Madawa ya kulevya kama mafia ni waislamu?
Colombia na Guatemala ni nchi za kiislamu?
Hakuna gaidi wa kiislamu wote ni ni makafiri
Osama hakua gaidi
Sadam hakua gaidi
Gaddafi hakua gaidi
Media umewahi kumtaja Mandela kua ni gaidi
Kwa roho ya binadamu ukimpa hizo option nyngne hyo ni kuvuli hapo na sawa na umemwambia aue 2 maan atakuwa na hasira muda huo maamuzi sio ya kufikiriaHiki kitabu kinakupa option mbili, mfano: kuua au kumsamehe aliyekuibia mke ni juu yako, hata ukiua hautahesabiwa dhambi, sasa wengine wanachagua kuua
Sasa wamarekani huoni ndo magaidi wenyeweMwambie Allah awalinde dhidi ya wamarekani Kama Ana ubavu
Uondoe ukiwa na uhakika ila ukiondoa kwa kuonea hakika umewatanguliza alafu wanakusubiria kwenye hesabu hakuna wakukuombea hapoJinsi ya kudeal na magaidi ni Kama kibiti ,ukiona kizazi hiki ni haohao ni kuondoa chote hakuna mahakama waliua wauawe.
Umesikia qur an wapiHaiwezekani asilani.Quran yenyewe ndiyo inaelekeza wanayotenda magaidi na wako sahihi kwa mujibu wa kitabu.kila wafanyalo Kuna Aya inasupport
Tumesomea kwa anti barakaQuran ni kitabu Cha ugaidi yote yanayofanywa Al shabab,Boko haramu,IS,alqaida nk yako sahihi kwa mujibu Quran.
Unatumia Kamusi gani niongeze ufahamu ndugu?Muslims and Islam
Ko wewe mtu asipokuwa muislam basi ni mkristo duuu. unewahi sikia hao ma-drug dealer wakiua kwa kutaja jina la yesu? Acha kukariri maisha wewe ndugu. Ngoj nkupe tafsiri ya m-kristo inaoneka huijui. Mkristo ni mfuasi wa kristo anaeamini anaenda mbinguni kupitia kristo means anafanya kila jambo kupitia jina la kristo. Sas lete clip inayomuonesha drug dealer anaomba kwa jina la yesu muda wa kuua mtu. Sas yesu kristo amefundisha kusamehe na hakuna condition ya kumsamehe mtu(7× 70), kutoshindana na adui zetu kwa akili zetu bali tumuachie mungu(mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na la kulia). Sas je m2 anaeua yapaswa kuitwa mkristo? Lakini kama quran inasema mtu akitembea na mke wako unaeza chagua kuua au kumsamehe it means muislamu anaeza kuua kupitia quran soma waraka wa fbi uliopostiwa hapo juu.Media wanayo haki ya kutangaza au kutokutangaza taarifa zetu
Bottom line is you must know what Islam teach or say about terrorism
Kuna waislamu wezi. Walevi. Wala nguruwe n, k
Hatuwezi kuwaandika na kalamu moja eti kwa sababu anaitwa Jina la kiislamu....
Hao magaidi ni waovu kama waovu wengine
Pia jua kuna makundi mengi ya kigaidi kule America ya kusini yanajishughulisha na Madawa ya kulevya lakini media hawasemi kua ni magaidi wa ki kristo ilihali wote ni wakatoliki
Sas unawekaje neno christian terrorism wakati wanaua hawataji jina la yesu au yehova. Halafu magaidi mexico wanafanya kazi hadi na dini mbali mbali zile cartel waarabu wamo wahindu wamo wachina wamo. Sas kwa bokho haram kama m2 anashiriki wakati wakuua mara nying wanataja allah it means waliopo pale wanashiriki hiyo ibada ya kiislamu. Je hao ni magaidi wa nn? Usichanganyikiwe kwa jina la kikundi wewe. Sas wamexico wenyewe walalamike kwasababu drug dealing cartel zinaitwa mexico drug cartel?Christian terrorists does not exist cos media hawatumii
Media haijawahi kusema white terrorists lakini ilikua inasema black South African terrorists
Anyways kila mtu anamaono yake....
Mimi ni muislamu na nimesoma dini yangu na hakuna sehemu tunafundushwa ugaidi
Kwa kua main stream media muislamu au mtu wenye Jina la kiislamu akifanya maovu anachukuliwa ni gaidi lakini none Muslim akifanya samething anakua muhalifu wa kawaida
Hivi majuzi kule Marekani ilitokea kitu inaitwa Capital riot na watu kadhaa wakauawa kikatili wengine kujeruhiwa
Fikiria hilo tendo lingefanywa na watu weusi Achilia waislam. Bado ingeitwa riot au terrorism?
Hope your matured enough to understand media languages
Unajua baada ya uchaguzi mbowe alishikiliwa kwa kesi ya ugaidi?
Je unajua so called Islamic terrorism imeanza lini?
Angalia ndani sio unadandia njiani
Wanamgambo wa kiislamu ni sawa na wanamgambo waliotumwa na dini ya kiislamu?Unamaana gani kwa kutumia uislamu?
Au ukisikia Allah Akbar unajua Ndio uislamu?
Ndugu kila mtu anaweza kufanya au kusema alitakalo
Kujua uislamu sio kusikia kwenye Redio
Unatakiwa kumuuliza muislamu je uislamu unasemaje kuhusu ugaidi?
Pia Alshabab. Boko haram. ISIS nk hawafiki hata 0,001% ya waislamu lakini wenzetu mnachukulia kundi dogo na kusema Ndio waislamu na sisi ambao sio magaidi mnatuona kama ni makafiri wenzenu
Sio kukemea tu huwa mnawahifadhi magaidi, mnawaficha misikitini wasikamatweNdugu msikitini kote kuna program maalumu za vijana kuwaonya juu ya makundi ya kigaidi
Kila mwaka wakati wa hija mlima wa Arafat masheikh wakubwa hupanda na kukemea ugaidi
Hebu niambie...
Unategemea Mufti aende kanisani kukemea?
Mimi naona wewe unataka kutufundisha dini yetu au unafikiri Unaijua dini yetu kuliko Sisi
Hao magaidi ni wahuni
Sasa wewe unaamini mbowe ni gaidi au mwanasiasa?
Ingekuwa hivyo tungesikia, hakuna kisichosikika hata mngekanyana wapi serikali ina masikio mapanaWewe unataka tuchukue maspika na gari tutembee barabarani?
Sisi tunanyumba zetu za ibada na ndio tunazungumza mambo yetu
Mara kadhaa Mufti anasema na viongozi wote wanakemea
Lakini kwa sababu wewe akili yako imejengwa hivyo Sina cha kusema
Dini ni imani na wewe endelea kuamini waislam ni magaidi life goes on
Mstari ganiWagalatia wagumu sana kuelewa
Kwenye biblia kuna mistari inasema ngurue ni haramu lakini wanabisha
Sasa utawasaidiaje??
Umerudi toka Cabo delgado mbio baada ya kutandikwa, unakurupukia humu JF kama unatoka kunya!! ovyo kabisa nyie magaidi wakubwa, mmechinja watu huko msumbiji unakuja na ujinga wako humu!! kwendaaa!!Tangu kuanguka kwa Ujamaa, Mabepari hawana mfumo unaowatisha na kuwapinga zaidi ya Uislamu. Hivyo miongoni mwa mbinu wanazotumia kuumaliza Uislamu bila mafanikio ni Vita dhidi ya ugaidi.
Kupitia Vita hii wamejihalalishia damu, dhuluma, na mateso kwa Waislamu dunia nzima wakiwatumia viongozi vibaraka wanaotawala nchi changa kwa niaba yao.
Nchi zinazokoloniwa(zinazoendelea) zikalazimishwa kupitisha Sheria ya ugaidi na kuua na kutesa raia wao ikiwaweka magerezani bila ushahidi, nk kwa hongo ya "misaada ya kupambana na ugaidi" huku viongozi wake ambao ni mbwa na watumwa wa Wakoloni wakiwaachia Wakoloni hao kupora Mali ya ummah kwa jina la uwekezaji
Mtwara vijijini mlifuata nini kuchinja wanakijiji??Unawazungumzia watu Kama Iraq ambao walivamiwa kwa madai ya uongo ya silaha za nyuklia ambazo hazijapatikana wakishuhudia mama zao wanabakwa na wanajeshi wa Marekani. Hawa wakijitoa muhanga na kuua wanajeshi hao ndiyo unaulizia Kama wapo sahihi au hawapo sahihi?