Allah alikuwa anajua dunia nzima kuna wakristo na wayahudi tu ?Hakuna sehemu inasema muwachukie mayahudi wala wakristo Bali tunaambiwa tusifanye alliance nao maana wao kwa wao ni alliance against us
Aya ingine inasema tusifanye makafiri ni wapenzi wetu badala ya waumini
Sio tuwachukie
hebu ongelea juu ya al shabab, boko haram na ISIS wanaochinja watu. kwa muono wako unasemaje?Kuwa na akili basi!
Unajua nimeandika hivyo kwa sababu gani au unajiandikia tu ili kujifurahisha, nimeandika hivyo kutokana na maswali aliyokuwa anaulizwa mtoa mada na wadau sasa nakushangaa wewe unavyoniletea habari za al shabaab!
Yani Uislam ni chuki na gubu mda wote tofauti na dini zingine zote.Allah mpaka mzazi wako kama ni dini nyingine amesema usifanye urafiki nae (chuki za allah mpaka kwa ndugu wa damu)
Maneno ya Allah
9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani. Na katika nyinyi atakaye wafanya hao ndio vipenzi vyake, basi hao ndio madhaalimu
hebu ongelea juu ya al shabab, boko haram na ISIS wanaochinja watu. kwa muono wako unasemaje?
Wakristo. Wayahudi na makafiriAllah alikuwa anajua dunia nzima kuna wakristo na wayahudi tu ?
Tafadhali elewaAllah mpaka mzazi wako kama ni dini nyingine amesema usifanye urafiki nae (chuki za allah mpaka kwa ndugu wa damu)
Maneno ya Allah
9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani. Na katika nyinyi atakaye wafanya hao ndio vipenzi vyake, basi hao ndio madhaalimu
Mpaka Muhammad alikuwa anapambana na Wakristo na Wayahudi tuWakristo. Wayahudi na makafiri
Wanasema waarabu hapo hapo wanasema Ndio walileta dini ya uislamuKwa kuwa wamesema waarabu basi walimaanisha waislamu? Wewe mbona zaidi ya mjinga?
Mbona hujazungumzia pia wakoloni waliokuja kututawala na kuua pia Babu zetu? Au hatujafundishwa kuwa wakoloni waliua Babu zetu?
Ukiambiwa usiwafanye kua marafiki haina maana muwachukieKwanini waislamu mmeamua kutokufuata chuki za Allah kwa wakristo na wayahudi.
Maneno ya chuki kutoka kea Allah
5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao.
3;28. Waumini wasiwafanye makafiri kuwa wapenzi wao badala ya Waumini. Na anaye fanya hivyo, basi hatakuwa chochote mbele ya Allah.
Kwa nini Allah alikuwa anawachukia wakristo na wayahudi tu hakuona imani zingine?
Fake quotesMpaka Muhammad alikuwa anapambana na Wakristo na Wayahudi tu
Abu Huraira aliripoti Mjumbe wa Allaah akisema: Usiwasalimie Wayahudi na Wakristo kabla ya kukusalimu na ukikutana na yeyote kati yao kwenye barabara mlazimishe aende sehemu nyembamba kabisa njia, mtaroni.
Sahih Muslim 2167
Makafiri wanaandika vitabu kila kukicha halafu wanasema ni vitabu vya waislamuMpaka Muhammad alikuwa anapambana na Wakristo na Wayahudi tu
Abu Huraira aliripoti Mjumbe wa Allaah akisema: Usiwasalimie Wayahudi na Wakristo kabla ya kukusalimu na ukikutana na yeyote kati yao kwenye barabara mlazimishe aende sehemu nyembamba kabisa njia, mtaroni.
Sahih Muslim 2167
Wewe ni muislamu na hujui kitabu kinaitwa Sahihi muslim, hajabu sana hiiMakafiri wanaandika vitabu kila kukicha halafu wanasema ni vitabu vya waislamu
Mbona kwenye mkataba zetu hivyo vitabu hakuna?
Kitabu cha waislamu ambacho ni rasmi kabisa Qur'aanWewe ni muislamu na hujui kitabu kinaitwa Sahihi muslim, hajabu sana hii
Yani wewe muislamu alafu mmeita kitabu Sahih alafu hapo hapo unakipinga mbona hajabu sanaKitabu cha waislamu ambacho ni rasmi kabisa Qur'aan
Ilisimuliwa kwamba Abu Hurairah alisema: "Muhammad (ﷺ) alisema:" Nimeamriwa kupiga watu mpaka watakapomshuhudia La ilaha ill-allah na kwamba mimi ni Mtume wa Allah, na watafanya sala za kawaida na kutoa Zaka. '" Book 1, Hadith 71Ukiambiwa usiwafanye kua marafiki haina maana muwachukie
Hebu tafuta Aya ya Qur'aan inayo sema hivyoIlisimuliwa kwamba Abu Hurairah alisema: "Muhammad (ﷺ) alisema:" Nimeamriwa kupiga watu mpaka watakapomshuhudia La ilaha ill-allah na kwamba mimi ni Mtume wa Allah, na watafanya sala za kawaida na kutoa Zaka. '" Book 1, Hadith 71
Hakuna ibada ya kwenda kubusu Jiwe kwenye uislamu na ibada ya swala tano ipo kwenye Qur'aanYani wewe muislamu alafu mmeita kitabu Sahih alafu hapo hapo unakipinga mbona hajabu sana
Ukiulizwa ibada ya kwenda kubusu jiwe kwenye koran imeandikwa wapi huna jibu
Ukiulizwa swala tano kwenye koran imeandikwa wapi huna jibu , alafu hapo hapo unapinga kitabu cha sahih muslim
Usitoke nje ya madaHebu tafuta Aya ya Qur'aan inayo sema hivyo
Maandishi hayo yapo kwenye biblia
Basi nitakuwa na debate na mtu ambae sio muislamu,Hakuna ibada ya kwenda kubusu Jiwe kwenye uislamu na ibada ya swala tano ipo kwenye Qur'aan