Allah alikuwa anajua dunia nzima kuna wakristo na wayahudi tu ?Hakuna sehemu inasema muwachukie mayahudi wala wakristo Bali tunaambiwa tusifanye alliance nao maana wao kwa wao ni alliance against us
Aya ingine inasema tusifanye makafiri ni wapenzi wetu badala ya waumini
Sio tuwachukie