Vita iliyo anzishwa kumuangusha Ayotullah imegeuka na wenda kumnufaisha kisiasa

Vita iliyo anzishwa kumuangusha Ayotullah imegeuka na wenda kumnufaisha kisiasa

Kwa maono yangu naona US anaihofia zaidi Iran kuliko hata hizo nchi za West(France, German na nyinginezo)maana akiwapiga mkwara hakuna kufanya biashara na Fulani na wanaufyata,hebu nitajieni nchi iliyowahi kusema napiga kambi za US na kweli akapiga,taja hata moja tu,US anajua uwezo alionao Iran na ndio maana kaamua kusitisha vita,sasa Israel kakomaa na Gaza unafikiri Iran ingekuwa nyepesi angetokako Leo,mwanzo Trump alisema hakuna kuamua,Tel Aviv ilivyobondwa Thaad na Irone Dome zikiwa zimesinzia na kuiabisha mifumo hiyo ili isikose solo kaamua kusimamisha vita
 
Marekani hajawahi kushinda vita yoyote duniani.
Huwa wakizidiwa wanachimba tu kama walivyochimba kwa Iran.

Imagine walitumia 16 years kupambana na Taliban ili wawarudishe Taliban hao hao.
Hivi walikwenda kuiondoa serikali ya Talebani kwasababu gani kweli? I mean, sababu hasa ya Marekani kupigana Afghanistan ilikua ni nini hadi Taleban wakaachia madaraka na baadae kurudi tena?
 
Huyu hapa trump mwenyewe

🇺🇸 Trump: "Israel was hit very hard. Especially in the last few days, Israel was really hit hard. boy, those ballistic missiles took out a lot of buildings."
 
Attachments

  • 1750856147972.mp4
    367.4 KB
Kwani wabongo wanaweza kuamini maneno hata ya Trump?watasema anajifanyisha ili awadanganye Iran, ukweli Ndio huo Trump kautoa ila sisi tunabisha
 
Huko ndiyo kushindwa Kijeshi!! Mfano Iran kwenye Operation The Promise-2 ilirusha makombola 400 huko Israel matokea 200 yalidunguliwa na 200 yaliangukia sehemu za wazi na kuua Palestina mmoja huko sasa wewe ndiyo kujaribu!!! Jiulize ni hasara kiasi gani kurusha hayo Makombola 400?

Kwa hili sasa ndiyo wa efa ya mambo ya kitoto kabisa harafu leo wanasherehekea ushindi!!! Ushindi gani huo wa kupoteza Makamanda waandamizi 30+ na wanasayansi wao 60+a.? Au wanasherehekea ushindi wa Majeshi ya Israel kulitawala anga la Iran maana tulikuwa tunaona ndege zao zinaingia na kutoka na haikudunguliwa hata moja!!!! Au wanasherehekea Majeshi ya Israel kuliangamiza jeshi la anga la Iran maana hatukuona ndege zozote za Iran zikileta upinzani kwenye anga Lao dhidi ya ndege-vita za Israel.

Au wanasherehekea kusimamishwa kwa mapigano ambako bila kusimama utawala huo ulikuwa unapigishwa magoti bila kupenda? Au wanafurahia kwa sababu Israel imekubali usitishwaji wa mapigano hayo?

Iran wangekuwa watu makini wangekataa maana wao ndiyo waliochokozwa walishambuliwa kwanza kwa hiyo wao wangekmba kuendelea na mapigano mpaka wamnyooshe adui yao aliyewachokoza!!! Tatizo wao wenyewe pumzi ilikuwa imewaishia ndiyo maana wakaona bora tu wakubali maana hawana jinsi!,,,!!!!!
 
  • 6109767-d26bef7a12c4ddfee9fb5a550d6e8df.mp4
    1.7 MB
Inshallah sasa nitaitembelea Iran
Nenda wakakunyonge. Weusi huwa waadhani wanapendwa na Waupe...

Mmmeumbwa ili mchochee moto wa Jehanam nyie ni kuni na Peponi haiingii rangi nyeusi. hata sigda ukiwa nayo huruhusiwi Jennah
 
Nenda wakakunyonge. Weusi huwa waadhani wanapendwa na Waupe...

Mmmeumbwa ili mchochee moto wa Jehanam nyie ni kuni na Peponi haiingii rangi nyeusi
Humu tu na lazima twende Iran
 
Attachments

  • Screenshot_20250625-075639.png
    Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 21
KAMA ISRAEL IMESHINDA, MBONA RAIA WAKE WANA MAJONZI MAKUBWA?
NA KAMA IRAN IMESHINDWA, MBONA RAIA WAKE WANA FUEAHA SANA NA KUMPONFEZA AYATOLLAAH?
Ni Kama simba atakavyoshinda Leo halafu anakuwa na majonzi.
 
Vita iliyo anzishwa na Netanyau kwa lengo la kumuangusha Ayatollah imekuwa kinyume chake na inaenda kumnufaisha kisiasa.
Nadhani ulimwengu wa kimagharibi utakuwa umeshangazwa,kufadhaishwa na kutamaushwa sana na raia wa Iran kwa kuungana na serikali yao hali yakuwa wamekuwa wakiamimisha watu duniani kupitia vyombo vyao vya habari kuwa raia wa Iran wameichoka serikali yao ya kidini kwa sababu inawakandamiza.

Lakini raia wa Iran wameonesha dunia kuwa mikwaruzano ya kisiasa ndani ya nchi yao haina mahusiano na msilahi ya kitaifa.
Na mikwaruzano ya kisiasa huwa ipo kila nchi duniani zikiwemo hiyo Israel na Marekani ambao walitaka kutumia mikwaruzano ya kisiasa ya ndani ya Iran kuiangusha serikali yake.
Hata Netanyau ndani ya nchi yake hatakiwi na raia wengu na huwa wana andamana kumpinga.

Kiukweli tukiachana na ushabiki Israel na Marekani walifanya kitu cha kipumbavu sana kuishambulia Iran wakati wakifanya mazungumzo, kitendo hicho kitawanyongonyeza wanasiasa wenye msimamo wa wastani ndani ya Iran walio kuwa wanapendelea mazungumzo na Marekani.
Malengo ya hii vita yalikuwa ni kwenda kuharibu vinu vya nukilia, kubadilisha utawala na kwenda kuirazimisha Iran kusaini makubaliano ya amani na Israel kama walivyo fanya kwa Misri na Jordan lakini yote yamegonga mwamba.
Kiufupi Netanyau raia wa Iran wamemdhalilisha sana Netanyau, nadhani sasa hivi akiona video zake za kuwaambia wairan kuwa amekuja kuwakomboa atakuwa ana tamani ardhi immeze.

Lakini pamoja na hayo yote Iran na penyewe kuna mapungufu makubwa na uzembe mwingi.
Taasisi zake za kijasusi zimejaa uzembe na utovu wa uwajibikaji ,kitendo cha hujuma dhidi ya mifumo ya ulinzi, mauaji ya viongozi na wanasayansi imeridhihirisha hilo.
Inatakiwa kufumua taasisi zake za kijasusi na kuzifanya kuwa na weledi unao takiwa tofauti na hapo maadui zake ipo siku watafanikisha wanacho kitaka kwa sababu kwa sasa wameenda kujipanga upya na watarudi na mbinu mpya.
Iran inatakiwa kuimarisha jeshi lake la anga,unajuwa unapo kuwa na jeshi zuri la anga hata ikitokea mifumo ya ulinzi imepofushwa , jeshi la anga lina uwezo mkubwa wa kililinda anga hasa dhidi ya adui anaye tegemea kukushambulia kwa kutumia ndege kama Israel.
Iran ingekuwa na jeshi la anga levo ya Pakistan tu hata hilo anga la Iraq lingekuwa chungu sana kwa ndege za Israel.
Cha mwisho Iran ifanye kila namna imiliki silaha za nyuklia ili ijihakikishie usalama wa milele tofauti na hapo hatokuwa salama ,sasa hivi wamemshindwa ila wataenda kujipanga upya hata kama ni miaka 20 na kurudi kujaribu kufanya kilicho washinda sasa hivi.
Umesoma muhtasari wa Vita? au ndio kubdi kubwa la wajinga wa jf low IQ
 
na kule qatar wameonja tu.wazungu walijua sasa mijengo yetu tuowekeza inashushwa muda si mrefu.
hahahahahahahahahahahahaha......!
trumph kapagawa kabisa.
mbaya zaidi wairan waliweka wazi kila sambulio.wakisema leo hamlali hawalali kweli.
 
Nakushangaa unashabikia kwenye Hamna ambako hakuna kombola lililopita yote yamepopolewa wewe ndiyo unasifia ujinga tu!!!
 
Nakushangaa unashabikia kwenye Hamna ambako hakuna kombola lililopita yote yamepopolewa wewe ndiyo unasifia ujinga tu!!!
pale wamewaonyesha tu kidogo.wangeendelea kushupaza shingo yangerushwa kama 400 hivi. ila waajem nao siowajinga wamewaambia tu.nyie nduguzetu wanafki.vipi mnasemaje tulianzishe na hapo.tuyapasue hayo majengo yetu yanayofanana na mapapai?

waliomba kila dua pale. usifanye mchezo. usifikili zile ni fataki za kusherehekea mwakampya..!!
 
Iran walishawahi kurusha makombola 400 wala hawakuua Myahudi hata mmoja huo ndiyo ujinga ninaousemea mimi!!!
 
Huyu hapa trump mwenyewe

🇺🇸 Trump: "Israel was hit very hard. Especially in the last few days, Israel was really hit hard. boy, those ballistic missiles took out a lot of buildings."
Trump yuko hapo kuwaganga mioyo aliwachapa mwenyewe na sasa hivi anawapa Panadol dawa ya kupunguza maumivu!!
 
Nenda wakakunyonge. Weusi huwa waadhani wanapendwa na Waupe...

Mmmeumbwa ili mchochee moto wa Jehanam nyie ni kuni na Peponi haiingii rangi nyeusi. hata sigda ukiwa nayo huruhusiwi Jennah
Iran na Tanzania wana mahusiano ya muda mrefu sana, Iran ina Vikwazo ila still inafanya biashara na Tanzania

Iran ndio nchi inayoongoza kuidai Tanzania mara kwa mara inaripotiwa Humu.

Bilateral-Creditors-1242x1536.jpg

Watu wa Iran (wa shirazi ama mbwera) wapo Tanzania toka Karne ya 10 na makabila mengi ya Pwani ya Tanzania wana Asili ya Iran.

Huko Iran nyimbo zao za zamani zamani na historia zao zinasifia watu kutoka Zanzibar, moja ya Nyimbo maarufu Iran ambayo Harusi haifungwi bila kupigwa inaitwa Jamali Jamalo inazungumzia Mwanaume toka Zanzibar

View: https://youtu.be/KN2G0Jiba7k?si=j5TA2NG84cK6rnH-

So mtu ambaye ame contribute pakubwa kuanzisha culture yao kuanzia unavyokula hadi kubehave hana maana, ila anayekutreat kama Nyani na kuona race yako imelaaniwa ndio anafaa.
 
Back
Top Bottom