Vita itageuka kuwa ya Waarabu tu, hakuna Marekani atakayeumia

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Sasa Iran anazishambulia nchi za waarabu wenzake ikiwemo nchi yao ya Saudi Arabia yenye chimbuko la wavaa kobazi alafu unakuta mvaa kobazi wa Yombo Vituka au Bonyokwa anashangilia Iran kuwapiga makombora wavaa kobazi wenzake.

Marekani yeye anakuletea vita mlango kwako either utake au usitake. Tumeshuhudia vita ya Ukraine na Urusi, jinsi Marekani alivyotumua Ukraine kumdhoofisha Mrusi. Hata huko nyuma enzi za Vietnam, mnakumbuka vita vya vya dunia na kadharika.

Marekani siku zote hakupi nafasi ya wewe kumsogelea, ni labda yeye hakupelekee moto ukiwa kwako. Venezuela alitaka kujichanganya kumkaribisha Jackie Chan (Mchina) na wengineo pale kwake ambao ni maadui, kilichotokea ni ndoto ya kutisha vya Rais wa Venezuela, hivyo hivyo iliyokea kwa serikali ya Panama na wengineo... hata kuona nchi yoyote ya bara la Marekani ikikaribisha vibaka pale Amerika.

Sasa yeye utuma wazee waende kuzungumza na nchi jirani za maadui zake hili iwe rahisi kuwapiga pale pale akitokea jirani.

Sasa Marekani kupiga nchi za jirani kisa tu kuna kambi za Marekani ni sawa tu na kutekenya. Yeye angetuma makombora pale New York
 
Kama vita vitachukua mwezi mzima sidhani kama kobazi watataenda saudia kwa utalii wa kidini mwaka huu! Maana iran analipiza kisasi kwa washirika wa marekani walioko ghuba ya uajemi, kina bahrain, UAE, qatar, kuwait na saudia wanatupiwa makombora na iran. Hija mwaka huu inaweza isiwepo kama vita hii itadumu mwezi mzima au uharibifu mkubwa kama utatokea saudia uliko mji wa maka kwenye kaaba
 
Marekani ashapoteza wanajeshi 14 ndani ya kambi yake moja tu ya Bahrain. Sasa sijui hizo kambi za nchi zilizobaki itakuaje.
 
Kama vita vitachukua mwezi mzima sidhani kama kobazi watataenda saudia kwa utalii wa kidini mwaka huu! Maana iran analipiza kisasi kwa washirika wa marekani walioko ghuba ya uajemi, kina bahrain, UAE, qatar, kuwait na saudia wanatupiwa makombora na iran. Hija mwaka huu inaweza isiwepo kama vita hii itadumu mwezi mzima au uharibifu mkubwa kama utatokea saudia uliko mji wa maka kwenye kaaba
Alenge pale Macca
 
Sasa Iran anazishambulia nchi za waarabu wenzake ikiwemo nchi yao ya Saudi Arabia yenye chimbuko la wavaa kobazi alafu unakuta mvaa kobazi wa Yombo Vituka au Bonyokwa anashangilia Iran kuwapiga makombora wavaa kobazi wenzake.

Marekani yeye anakuletea vita mlango kwako either utake au usitake. Tumeshuhudia vita ya Ukraine na Urusi, jinsi Marekani alivyotumua Ukraine kumdhoofisha Mrusi. Hata huko nyuma enzi za Vietnam, mnakumbuka vita vya vya dunia na kadharika.

Marekani siku zote hakupi nafasi ya wewe kumsogelea, ni labda yeye hakupelekee moto ukiwa kwako. Venezuela alitaka kujichanganya kumkaribisha Jackie Chan (Mchina) na wengineo pale kwake ambao ni maadui, kilichotokea ni ndoto ya kutisha vya Rais wa Venezuela, hivyo hivyo iliyokea kwa serikali ya Panama na wengineo... hata kuona nchi yoyote ya bara la Marekani ikikaribisha vibaka pale Amerika.

Sasa yeye utuma wazee waende kuzungumza na nchi jirani za maadui zake hili iwe rahisi kuwapiga pale pale akitokea jirani.

Sasa Marekani kupiga nchi za jirani kisa tu kuna kambi za Marekani ni sawa tu na kutekenya. Yeye angetuma makombora pale New York
Hao siyo waarabu wenzake
 
Great Thinker wanajua kabisa hii vita ni ya kuzugia na kuwa zima macho WAJINGA!
Baada ya Viongozi wakubwa na watu maarufu zaidi duniani Kutajwa kwenye Uchafu, unaoweza kulinganishwa na shetani (Epstein Scandal); wakiwemo hao vinara wa Vita
Inaonekana ndio sababu ya Kuleta Vita haraka haraka ili kuhamisha watu WAJINGA wanaoshabikia vita kutoka kwenye Epstein scandal kwenda kwenye Vita

ANAYESHABIKIA WATU KUUWAWA (VITA) NI WAKALA WA SHETANI BILA MWENYEWE KUJIJUA
 
Sasa Iran anazishambulia nchi za waarabu wenzake ikiwemo nchi yao ya Saudi Arabia yenye chimbuko la wavaa kobazi alafu unakuta mvaa kobazi wa Yombo Vituka au Bonyokwa anashangilia Iran kuwapiga makombora wavaa kobazi wenzake.

Marekani yeye anakuletea vita mlango kwako either utake au usitake. Tumeshuhudia vita ya Ukraine na Urusi, jinsi Marekani alivyotumua Ukraine kumdhoofisha Mrusi. Hata huko nyuma enzi za Vietnam, mnakumbuka vita vya vya dunia na kadharika.

Marekani siku zote hakupi nafasi ya wewe kumsogelea, ni labda yeye hakupelekee moto ukiwa kwako. Venezuela alitaka kujichanganya kumkaribisha Jackie Chan (Mchina) na wengineo pale kwake ambao ni maadui, kilichotokea ni ndoto ya kutisha vya Rais wa Venezuela, hivyo hivyo iliyokea kwa serikali ya Panama na wengineo... hata kuona nchi yoyote ya bara la Marekani ikikaribisha vibaka pale Amerika.

Sasa yeye utuma wazee waende kuzungumza na nchi jirani za maadui zake hili iwe rahisi kuwapiga pale pale akitokea jirani.

Sasa Marekani kupiga nchi za jirani kisa tu kuna kambi za Marekani ni sawa tu na kutekenya. Yeye angetuma makombora pale New York
Very soon itageuka kuwa Shia vs Sunni.
 
Kama vita vitachukua mwezi mzima sidhani kama kobazi watataenda saudia kwa utalii wa kidini mwaka huu! Maana iran analipiza kisasi kwa washirika wa marekani walioko ghuba ya uajemi, kina bahrain, UAE, qatar, kuwait na saudia wanatupiwa makombora na iran. Hija mwaka huu inaweza isiwepo kama vita hii itadumu mwezi mzima au uharibifu mkubwa kama utatokea saudia uliko mji wa maka kwenye kaaba
Kabisa
 
Back
Top Bottom