Kwamba Epstein scandal inashida gani, sio kipaumbele... Marekani wangetaka hiyo document isitoke isingetokaGreat Thinker wanajua kabisa hii vita ni ya kuzugia na kuwa zima macho WAJINGA!
Baada ya Viongozi wakubwa na watu maarufu zaidi duniani Kutajwa kwenye Uchafu, unaoweza kulinganishwa na shetani (Epstein Scandal); wakiwemo hao vinara wa Vita
Inaonekana ndio sababu ya Kuleta Vita haraka haraka ili kuhamisha watu WAJINGA wanaoshabikia vita kutoka kwenye Epstein scandal kwenda kwenye Vita
ANAYESHABIKIA WATU KUUWAWA (VITA) NI WAKALA WA SHETANI BILA MWENYEWE KUJIJUA
Kuna post anatunatuma hapo ndugu yetu Mshana Jr lakini mnazipita kimya kmya licha ya kuwa katuma zaidi ya mara 7,Sawa ila wote ni jamii ile ile
Marekani aingii Kiboya kwenye vita hasiyoimudu.... muulize Japan alichofanywa baada ya kuleta ushubwada.Kuna post anatunatuma hapo ndugu yetu Mshana Jr lakini mnazipita kimya kmya licha ya kuwa katuma zaidi ya mara 7,
Hii vita sirahisi kwa upande wowote.
Marekan hatumi kombora kutokea USA thats why Iran anaanza kuharibu miundombinu ya karibu 🙏
Sasa huo ushatani una shida gani kwa sera za Marekani au nani kafungwa kisa hilo faili... hiyo ni mbwembwe, Epstein ingekuwa na uzito ungeona watu wanashitakiwa.Kwani si walizuia hadi Bunge likashinikiza ndio Trump akasaini itoke kwa kuogopa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye...... Soma huo ushetani wa hao unawapigia magoti... kama roll model wako
maka ni kituo kikuu cha saudia kujipatia fedha kwa utalii wa kidini duniani, kikilipuliwa hata hao iran watakikosa maana huwa wanakitamani sana wakiteke kiwe kwenye milki yao sema tu ni ngumu mmarekani ana kambi ya kijeshi saudia iran haitaweza kuiteka makaAlenge pale Macca
Kwa nini wasirushe kwenda Marekani ambaye ndio adui...Ubaya wa makambi ya Marekani ndo huo, nchi yako inakuwa na tishio la kiusalama Kwa lazima maana Iran lazima akurushie makombora haijalishi limepiga au halijapiga, Raia wanaingizwa kwenye hofu au vita ambayo haiwahusu kabisa.
Hivi kina Iran hawawezi kurusha makombora Hadi USA?Sasa Iran anazishambulia nchi za waarabu wenzake ikiwemo nchi yao ya Saudi Arabia yenye chimbuko la wavaa kobazi alafu unakuta mvaa kobazi wa Yombo Vituka au Bonyokwa anashangilia Iran kuwapiga makombora wavaa kobazi wenzake.
Marekani yeye anakuletea vita mlango kwako either utake au usitake. Tumeshuhudia vita ya Ukraine na Urusi, jinsi Marekani alivyotumua Ukraine kumdhoofisha Mrusi. Hata huko nyuma enzi za Vietnam, mnakumbuka vita vya vya dunia na kadharika.
Marekani siku zote hakupi nafasi ya wewe kumsogelea, ni labda yeye hakupelekee moto ukiwa kwako. Venezuela alitaka kujichanganya kumkaribisha Jackie Chan (Mchina) na wengineo pale kwake ambao ni maadui, kilichotokea ni ndoto ya kutisha vya Rais wa Venezuela, hivyo hivyo iliyokea kwa serikali ya Panama na wengineo... hata kuona nchi yoyote ya bara la Marekani ikikaribisha vibaka pale Amerika.
Sasa yeye utuma wazee waende kuzungumza na nchi jirani za maadui zake hili iwe rahisi kuwapiga pale pale akitokea jirani.
Sasa Marekani kupiga nchi za jirani kisa tu kuna kambi za Marekani ni sawa tu na kutekenya. Yeye angetuma makombora pale New York
Kwa mujibu wa Jeshi la Iran na sio vyombo huruWanakadiriwa kufikia 200 mpaka sasa
Iran ajutahidi kurusha makombora Hadi USA au akapeleke ndege,mbona Osama aliweza?Marekani aingii Kiboya kwenye vita hasiyoimudu.... muulize Japan alichofanywa baada ya kuleta ushubwada.
Marekani alishajua athari kitambo tu kwamba Iran itashambulia kambi. Lakini haiwezi kugusa ardhi ya Marekani, lakini tazama Iran anapelekewa mashambulizi katika ardhi yake.
Ogopa sana adui anayekupigia mlangoni kwako, alafu wewe kwake ata ugusi
Hana huo uwezo bado wa kurusha Hadi US, kambi za US middle east zinatumika pia kwenye kuorganize mashambulizi Kwa Iran, hivyo Iran lazima ashambulie.Kwa nini wasirushe kwenda Marekani ambaye ndio adui...
Iran muoga
Siyo jamii moja ndio maana karibu nchi zote za kiarabu ni maadui wa Iran.Sawa ila wote ni jamii ile ile
They're Persians(Waajemi)Hao siyo waarabu wenzake