Marekani ashapoteza wanajeshi 14 ndani ya kambi yake moja tu ya Bahrain. Sasa sijui hizo kambi za nchi zilizobaki itakuaje.Sasa Iran anazishambulia nchi za waarabu wenzake ikiwemo nchi yao ya Saudi Arabia yenye chimbuko la wavaa kobazi alafu unakuta mvaa kobazi wa Yombo Vituka au Bonyokwa anashangilia Iran kuwapiga makombora wavaa kobazi wenzake.
Marekani yeye anakuletea vita mlango kwako either utake au usitake. Tumeshuhudia vita ya Ukraine na Urusi, jinsi Marekani alivyotumua Ukraine kumdhoofisha Mrusi. Hata huko nyuma enzi za Vietnam, mnakumbuka vita vya vya dunia na kadharika.
Marekani siku zote hakupi nafasi ya wewe kumsogelea, ni labda yeye hakupelekee moto ukiwa kwako. Venezuela alitaka kujichanganya kumkaribisha Jackie Chan (Mchina) na wengineo pale kwake ambao ni maadui, kilichotokea ni ndoto ya kutisha vya Rais wa Venezuela, hivyo hivyo iliyokea kwa serikali ya Panama na wengineo... hata kuona nchi yoyote ya bara la Marekani ikikaribisha vibaka pale Amerika.
Sasa yeye utuma wazee waende kuzungumza na nchi jirani za maadui zake hili iwe rahisi kuwapiga pale pale akitokea jirani.
Sasa Marekani kupiga nchi za jirani kisa tu kuna kambi za Marekani ni sawa tu na kutekenya. Yeye angetuma makombora pale New York
Wanakadiriwa kufikia 200 mpaka sasaMarekani ashapoteza wanajeshi 14 ndani ya kambi yake moja tu ya Bahrain. Sasa sijui hizo kambi za nchi zilizobaki itakuaje.
kwa hiyo?Iran sio waarabu🐼
Alenge pale MaccaKama vita vitachukua mwezi mzima sidhani kama kobazi watataenda saudia kwa utalii wa kidini mwaka huu! Maana iran analipiza kisasi kwa washirika wa marekani walioko ghuba ya uajemi, kina bahrain, UAE, qatar, kuwait na saudia wanatupiwa makombora na iran. Hija mwaka huu inaweza isiwepo kama vita hii itadumu mwezi mzima au uharibifu mkubwa kama utatokea saudia uliko mji wa maka kwenye kaaba
Hao siyo waarabu wenzakeSasa Iran anazishambulia nchi za waarabu wenzake ikiwemo nchi yao ya Saudi Arabia yenye chimbuko la wavaa kobazi alafu unakuta mvaa kobazi wa Yombo Vituka au Bonyokwa anashangilia Iran kuwapiga makombora wavaa kobazi wenzake.
Marekani yeye anakuletea vita mlango kwako either utake au usitake. Tumeshuhudia vita ya Ukraine na Urusi, jinsi Marekani alivyotumua Ukraine kumdhoofisha Mrusi. Hata huko nyuma enzi za Vietnam, mnakumbuka vita vya vya dunia na kadharika.
Marekani siku zote hakupi nafasi ya wewe kumsogelea, ni labda yeye hakupelekee moto ukiwa kwako. Venezuela alitaka kujichanganya kumkaribisha Jackie Chan (Mchina) na wengineo pale kwake ambao ni maadui, kilichotokea ni ndoto ya kutisha vya Rais wa Venezuela, hivyo hivyo iliyokea kwa serikali ya Panama na wengineo... hata kuona nchi yoyote ya bara la Marekani ikikaribisha vibaka pale Amerika.
Sasa yeye utuma wazee waende kuzungumza na nchi jirani za maadui zake hili iwe rahisi kuwapiga pale pale akitokea jirani.
Sasa Marekani kupiga nchi za jirani kisa tu kuna kambi za Marekani ni sawa tu na kutekenya. Yeye angetuma makombora pale New York
Sasa Iran anazishambulia nchi za waarabu wenzake ikiwemo nchi yao ya Saudi Arabia yenye chimbuko la wavaa kobazi alafu unakuta mvaa kobazi wa Yombo Vituka au Bonyokwa anashangilia Iran kuwapiga makombora wavaa kobazi wenzake.
Marekani yeye anakuletea vita mlango kwako either utake au usitake. Tumeshuhudia vita ya Ukraine na Urusi, jinsi Marekani alivyotumua Ukraine kumdhoofisha Mrusi. Hata huko nyuma enzi za Vietnam, mnakumbuka vita vya vya dunia na kadharika.
Marekani siku zote hakupi nafasi ya wewe kumsogelea, ni labda yeye hakupelekee moto ukiwa kwako. Venezuela alitaka kujichanganya kumkaribisha Jackie Chan (Mchina) na wengineo pale kwake ambao ni maadui, kilichotokea ni ndoto ya kutisha vya Rais wa Venezuela, hivyo hivyo iliyokea kwa serikali ya Panama na wengineo... hata kuona nchi yoyote ya bara la Marekani ikikaribisha vibaka pale Amerika.
Sasa yeye utuma wazee waende kuzungumza na nchi jirani za maadui zake hili iwe rahisi kuwapiga pale pale akitokea jirani.
Sasa Marekani kupiga nchi za jirani kisa tu kuna kambi za Marekani ni sawa tu na kutekenya. Yeye angetuma makombora pale New York
Very soon itageuka kuwa Shia vs Sunni.Sasa Iran anazishambulia nchi za waarabu wenzake ikiwemo nchi yao ya Saudi Arabia yenye chimbuko la wavaa kobazi alafu unakuta mvaa kobazi wa Yombo Vituka au Bonyokwa anashangilia Iran kuwapiga makombora wavaa kobazi wenzake.
Marekani yeye anakuletea vita mlango kwako either utake au usitake. Tumeshuhudia vita ya Ukraine na Urusi, jinsi Marekani alivyotumua Ukraine kumdhoofisha Mrusi. Hata huko nyuma enzi za Vietnam, mnakumbuka vita vya vya dunia na kadharika.
Marekani siku zote hakupi nafasi ya wewe kumsogelea, ni labda yeye hakupelekee moto ukiwa kwako. Venezuela alitaka kujichanganya kumkaribisha Jackie Chan (Mchina) na wengineo pale kwake ambao ni maadui, kilichotokea ni ndoto ya kutisha vya Rais wa Venezuela, hivyo hivyo iliyokea kwa serikali ya Panama na wengineo... hata kuona nchi yoyote ya bara la Marekani ikikaribisha vibaka pale Amerika.
Sasa yeye utuma wazee waende kuzungumza na nchi jirani za maadui zake hili iwe rahisi kuwapiga pale pale akitokea jirani.
Sasa Marekani kupiga nchi za jirani kisa tu kuna kambi za Marekani ni sawa tu na kutekenya. Yeye angetuma makombora pale New York
KabisaKama vita vitachukua mwezi mzima sidhani kama kobazi watataenda saudia kwa utalii wa kidini mwaka huu! Maana iran analipiza kisasi kwa washirika wa marekani walioko ghuba ya uajemi, kina bahrain, UAE, qatar, kuwait na saudia wanatupiwa makombora na iran. Hija mwaka huu inaweza isiwepo kama vita hii itadumu mwezi mzima au uharibifu mkubwa kama utatokea saudia uliko mji wa maka kwenye kaaba