Vita itageuka kuwa ya Waarabu tu, hakuna Marekani atakayeumia

Kwamba Epstein scandal inashida gani, sio kipaumbele... Marekani wangetaka hiyo document isitoke isingetoka
 
Sawa ila wote ni jamii ile ile
Kuna post anatunatuma hapo ndugu yetu Mshana Jr lakini mnazipita kimya kmya licha ya kuwa katuma zaidi ya mara 7,
Hii vita sirahisi kwa upande wowote.
Marekan hatumi kombora kutokea USA thats why Iran anaanza kuharibu miundombinu ya karibu 🙏
 
Ubaya wa makambi ya Marekani ndo huo, nchi yako inakuwa na tishio la kiusalama Kwa lazima maana Iran lazima akurushie makombora haijalishi limepiga au halijapiga, Raia wanaingizwa kwenye hofu au vita ambayo haiwahusu kabisa.
 
Marekani aingii Kiboya kwenye vita hasiyoimudu.... muulize Japan alichofanywa baada ya kuleta ushubwada.

Marekani alishajua athari kitambo tu kwamba Iran itashambulia kambi. Lakini haiwezi kugusa ardhi ya Marekani, lakini tazama Iran anapelekewa mashambulizi katika ardhi yake.

Ogopa sana adui anayekupigia mlangoni kwako, alafu wewe kwake ata ugusi
 
Kwani si walizuia hadi Bunge likashinikiza ndio Trump akasaini itoke kwa kuogopa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye...... Soma huo ushetani wa hao unawapigia magoti... kama roll model wako
Sasa huo ushatani una shida gani kwa sera za Marekani au nani kafungwa kisa hilo faili... hiyo ni mbwembwe, Epstein ingekuwa na uzito ungeona watu wanashitakiwa.

Mafaili muhimu hayaachiwi kiboya, yanabaki chini ya jeshi au majasusi
 
Alenge pale Macca
maka ni kituo kikuu cha saudia kujipatia fedha kwa utalii wa kidini duniani, kikilipuliwa hata hao iran watakikosa maana huwa wanakitamani sana wakiteke kiwe kwenye milki yao sema tu ni ngumu mmarekani ana kambi ya kijeshi saudia iran haitaweza kuiteka maka
 
Ubaya wa makambi ya Marekani ndo huo, nchi yako inakuwa na tishio la kiusalama Kwa lazima maana Iran lazima akurushie makombora haijalishi limepiga au halijapiga, Raia wanaingizwa kwenye hofu au vita ambayo haiwahusu kabisa.
Kwa nini wasirushe kwenda Marekani ambaye ndio adui...

Iran muoga
 
Hivi kina Iran hawawezi kurusha makombora Hadi USA?
 
Iran ajutahidi kurusha makombora Hadi USA au akapeleke ndege,mbona Osama aliweza?
 
Kwa nini wasirushe kwenda Marekani ambaye ndio adui...

Iran muoga
Hana huo uwezo bado wa kurusha Hadi US, kambi za US middle east zinatumika pia kwenye kuorganize mashambulizi Kwa Iran, hivyo Iran lazima ashambulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…