Kula Like mkuuMimi huyo ney ndio nna Wasiwasi nae,manake mambo anayofanya ndio ya kike..hawezi kuwa kila nyimbo anaongelea wasanii wenzie hata kama kutafuta kkiki babu,iyo yake imezidi..halafu ushamba unamsumbua...namnukuu AY "unaweza kuwa na mkwanja na bado ukaonekana mshamba"
Hapana ni UHANITHI......Nimebahatika kusikiliza hii nyimbo ya msanii mmoja anaitwa Neymitego kama sijakosea, kuna kipande cha mstari anasema 'fulani' jogoo halipandi mtungi halafu anamalizia kusema na kumaanisha huyo 'fulani' kuwa ni shoga.
Sasa nimepata ukakasi kidogo wa kufanya tafakuri. Hivi mtu ambaye viungo vya uzazi havisimami kwa mwanaume is it necessary kwamba yeye ni shoga? Maana mi katika maisha yangu ya mtaa kuna case nyingine unasikia unakuta mwanaume yupo poa na anafamilia na watoto lakini bado unapata kuambiwa kwamba ni shogo.
Sasa mimi nachotaka ni kusikia na ku clear hii misconception kwamba mtu asiposimamisha basi ni shoga. Halafu pia kwa wataalamu watuambie kuna uhusiano gani wa mtu kuwa shoga na kushindwa kusimamisha kama ikiwa hoja namba moja ni kweli.
kuna kutokusimamisha uume hii inaitwa uhanithi mwanaume wa namna hii wengi wao sio mashoga ni vile tu hawawezi kujimai na mwanamke. kuna mtepwe huyu anaweza kusimamisha lakini akawa anaingiliwa na wenzake(kupumuliwa) shoga sio neno rasmi ni kiswahili cha mtaani.. hyo ngoma ya ney nimeiskiza ila huyu jamaa anatafuta kick tu.. ila ile ya ray mhhh eti anakaa kwao ela anayopata anaishia kujichubuaNimebahatika kusikiliza hii nyimbo ya msanii mmoja anaitwa Neymitego kama sijakosea, kuna kipande cha mstari anasema 'fulani' jogoo halipandi mtungi halafu anamalizia kusema na kumaanisha huyo 'fulani' kuwa ni shoga.
Sasa nimepata ukakasi kidogo wa kufanya tafakuri. Hivi mtu ambaye viungo vya uzazi havisimami kwa mwanaume is it necessary kwamba yeye ni shoga? Maana mi katika maisha yangu ya mtaa kuna case nyingine unasikia unakuta mwanaume yupo poa na anafamilia na watoto lakini bado unapata kuambiwa kwamba ni shogo.
Sasa mimi nachotaka ni kusikia na ku clear hii misconception kwamba mtu asiposimamisha basi ni shoga. Halafu pia kwa wataalamu watuambie kuna uhusiano gani wa mtu kuwa shoga na kushindwa kusimamisha kama ikiwa hoja namba moja ni kweli.
Mm nimemuona dimpoz siyo anasema vitu anavyokula ataishia kuviona kwenye tv alafu anamalizia kwenye madema wa ney naye alishakuwa na mmoja apo anamanisha nnkwani ney ni jina la kiume????!