Vita kali: Ommy Dimpoz na Ney wa Mitego waingia kwenye mtifuano

Kul
Mimi huyo ney ndio nna Wasiwasi nae,manake mambo anayofanya ndio ya kike..hawezi kuwa kila nyimbo anaongelea wasanii wenzie hata kama kutafuta kkiki babu,iyo yake imezidi..halafu ushamba unamsumbua...namnukuu AY "unaweza kuwa na mkwanja na bado ukaonekana mshamba"
Kula Like mkuu
 
Nimebahatika kusikiliza hii nyimbo ya msanii mmoja anaitwa Neymitego kama sijakosea, kuna kipande cha mstari anasema 'fulani' jogoo halipandi mtungi halafu anamalizia kusema na kumaanisha huyo 'fulani' kuwa ni shoga.

Sasa nimepata ukakasi kidogo wa kufanya tafakuri. Hivi mtu ambaye viungo vya uzazi havisimami kwa mwanaume is it necessary kwamba yeye ni shoga? Maana mi katika maisha yangu ya mtaa kuna case nyingine unasikia unakuta mwanaume yupo poa na anafamilia na watoto lakini bado unapata kuambiwa kwamba ni shogo.

Sasa mimi nachotaka ni kusikia na ku clear hii misconception kwamba mtu asiposimamisha basi ni shoga. Halafu pia kwa wataalamu watuambie kuna uhusiano gani wa mtu kuwa shoga na kushindwa kusimamisha kama ikiwa hoja namba moja ni kweli.
 
unaweza ukawa shoga na unasimamisha yote yanashabihana
 
Hapana ni UHANITHI......
 
kuna kutokusimamisha uume hii inaitwa uhanithi mwanaume wa namna hii wengi wao sio mashoga ni vile tu hawawezi kujimai na mwanamke. kuna mtepwe huyu anaweza kusimamisha lakini akawa anaingiliwa na wenzake(kupumuliwa) shoga sio neno rasmi ni kiswahili cha mtaani.. hyo ngoma ya ney nimeiskiza ila huyu jamaa anatafuta kick tu.. ila ile ya ray mhhh eti anakaa kwao ela anayopata anaishia kujichubua
 
nadhani UHANITHI (kutosimamisha uume) na USHOGA (kuliwa kisoda) ni vitu viwili tofauti, japo vina uhusiano kidogo.

Mtu hanithi sio lazima awe shoga. Pia kuna mashoga ambao wanazalisha na wana mke & watoto.
 
hiv huyu dimpoz bongo kagonga demu gan jaman tujue kwanza nay anaongea vitu vya ukweli na naomba mfikilie kuhusu nay na diamond ni marafiki sana tena sana na huyo huyo diamond alikuwa rafk na ommy sasa diamond baada ya kukosana na dimpoz akawa karbu na nay na ni mangap ameambiwa kuhusu dimpoz nay kasema kweli , hata mm ukiwa wajua nina ukimwi na kweli ninao ila ww unayejua mm ninao na baada ya siku unanitangazia hadharan nitafuta mabango kukutukana na kukupnga huku moyon najiona
 
huyu mshikaj kumuelewa unatakiwa uwe nunda ila msema ukweli balaa omy tujuze izo passport tatu zinajaa kwa video ya wanjera na achia nyuch au nawe punda wa ngada
 
Chokochoko za Nay zinamuweka mjini as a superstar,coz tutamjadili sana.Anyway,nampa big up kwa kuitumia vizuri fursa hiyo.
 
Ommy dimpoz huyu dogo ni bonge la snitch,halafu mwanaume gani ana hipsi kama rose ndauka na vile vinguo vyake vya kubana anavyo vaa vinamchoresha kinoma.mtoto mchele mchele huyu.WTF!!
 
6ca5bc80ab90a66b4ad25c8603cf1f3e.jpg
 
Back
Top Bottom