Vita kati ya Israel na Hamasi juu ya ardhi ya Palestina inanikumbusha marehemu Hamza

Vita kati ya Israel na Hamasi juu ya ardhi ya Palestina inanikumbusha marehemu Hamza

Canabian Rasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2022
Posts
775
Reaction score
1,745
Ikiwa sasa imepita takribani masiku zaidi ya thelathini ya kushindana kumwaga damu za wasio na hatia kwa pande zote, basi nimekua nikifatilia na kutafakari jinsi haki inavyotafutwa hasa kwa hii style ya jeshi la HAMASI kupambana na ISRAEL.

Mawazo yamenifanya nimkumbuke kamanda jasiri marehemu HAMZA yule wa ubalozini (Mungu amlaze mahara pema/ hamsamee madhambi yake),

Nimekumbuka jinsi alivo amsha vita na kuimaliza mwenyewe, nimekumbuka jinsi alivokua akiwatoa watu barabarani na kuwaelekeza sehem safe ili wasiumie na kinachoendelea, nimekumbuka alivosimama bila kuhusisha familia yake wala rafiki zake japo huenda alilokua anapigania lilikua na manufaa kwa hao wote walio nyuma yake.
Hakika alifaa kuongoza hata hii vita dhidi ya Islael.

Nimeseme tu kua hii vita ni batiri hasa kwa HAMAS wanachokifanya sio sawa hata kidogo, najaribu kuwaza leo hii baba wa familia niamue kupigania ardhi yangu kwa kumuweka mbele mtoto wangu tena mpaka yule asiyejitambua mbele ya adui!!! hapana hii sio sahihi kabisa, napinga Israel wanachokifanya ni UKATIRI ila pia napinga HAMASI wanachokifanya ni HAIBU KUBWA.
 

Attachments

  • BB902DC9-F9CB-4F71-9ECC-52C808370000.png
    BB902DC9-F9CB-4F71-9ECC-52C808370000.png
    34.5 KB · Views: 7
Magaidi ya arab hamas yamelaanika?

Inaniuma sana, yani mtu umejiweka kwenye handaki chini then juu unaacha watoto vichanga kama bulletproof yako then unasema unapambana vita!!!. No this is not right.
 
"Mashujaa" Hamas wanapambana na "makafir mayahudi" wakiwa wamejificha kwenye mawowowo ya akina mama,migongo ya watoto na kujilaza kwenye wadi za wagonjwa.
 
Back
Top Bottom