Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Shuka kidogo kuhusu nyati. Hivi ndo wale huliwa kwa wingi na mamba etNyati msikie tu, bora ukitane na pride ya simba ila sio nyati nakumbuka miaka hiyo nilipokuwa nafanya tafiti katika mbuga ya Serengeti ile wakati wa kufanya darting kuna mzungu mmoja alikoswa koswa kupigwa pembe..