Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Aisee, noma. Sema hii ya wachinjaji nyama machinjioni nilishaisikia kuna mtu alinambia kaa mbali kabisa na hao jamaa, kuchezea damu, visu na mapanga kwao washazoea sasa wewe peleka mwili wakoBora Ukutane na Majambazi kuliko kukutana na Jangili huyu ameshazoea kuziona damu.
Ni sawa na Bora ukutane na Muuzaji Bucha ya nyama kuliko kukutana na Mtu wa machinjioni ya mifugo hawa nao wana roho ngumu kuna jamaa angu aliwahi kuchomwa kisu mguuni kikatokea chini kwenye sori ya kiatu